wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukishinda Urais, vitu gani vitano utafanya katika utendaji wako?

    Ndio umeshinda urais wa awamu ya saba. Ni vitu gani vi-5 utaviondoa au kuvifanyia reformation ili utendaji wako na maendeleo ya wananchi viwe thabiti. Karibuni wakuu.
  2. JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

    Hii imekaaje wakuu, mbona km tumeoa wake za watu?
  3. JamiiForums Tanzania Kama mzazi angekua anaitwa kila unapozingua kazini mzazi wako angekuwa ameshaitwa mara ngapi mpaka sasa?

    Wakuu, Nimekumbuka kipindi tuko shule, ukifanya kosa au kuwa mtundu shuleni mzazi wako anakuwa hakauki shuleni. Sasa usiombe ukadakwa kwenye skendo kubwa kama kudakwa na boifrendi/gelifrend hapo ndio unapelekwa asembo kabisaaa, unachapwa mbele za watu na suspenshen juu!😂😂 Ila waalimu...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Sekiboko awataka Wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais Samia ambaye ni suluhu ya matatizo

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Husna Sekiboko amewataka Wanakilindi na Wanatanga kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, anayetarajia kuanza ziara mkoani hapa tarehe 23 Februari, 2025. Akizungumza katika ziara yake...
  5. JamiiForums Tanzania Anajua walipo na kama wako hai ama la

    Nyakati zitasema naye na wote waliohusika Asili inaona na haijakaa kimya!.. Hata wengine wasipolipa kisasi.. Asili itafanya.. Karma haikopeshi.. Asili hulipa kisasi kwa niaba Asili hukifanya kisasi kitunge mimba Asili hukifanya kisasi kizae , kikuze kisha kikomaze.. Kisasi kikishakomaa...
  6. JamiiForums Tanzania 2025 hii, Vipi mpenzi wako yuko vile vile kama mlivyokutana au kabadilika?

    Mpenzi wako au mume wako au mke wako, tabia yake iko vile vile kama ulivyomkuta na kumpenda au kabadilika? Vipi bebi wako mbususu na rungu anakupa kwa spidi ile ile kama mlivyoanza au siku hizi unapimiwa? Mwisho kabisa, Je bebi wako muonekano wa kimaumbile yuko vile vile kama mlivyokutana au...
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Kwenda mbiguni kwa elfu 20 wachache tungetoboa kama watz Kauli ya mh Heche , Wasira na uzee wako njoo.

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake . Mh Mbowe amelitendea haki Taifa , kwa kuwapika vijana, leo chadema ni Taifa jingine . Tumeanza kuona ccm inapigwa kama ngoma chini ya uongozi mpya wa chadema. Mbaya na kutosha M/ mwenyekiti Chadema anasema KAMA KWENDA...
  8. JamiiForums Tanzania Kally Ongala tunaokujua tulijua tu kuwa Leo iwe isiwe utawapa Zawadi kutokana na Unazi wako Kwao na Unafiki wako uliopitiliza

    Sasa kwanini usiombe tu Kazi huko Kwao ili tujue moja? Mechi yetu nawe najua utatukazia mno na hata Kushirikiana nao Kuroga / Kuturoga.
  9. JamiiForums Tanzania Mechi ukitolea pesa lazima ushinde kwa magoli mengi mwisho ya siku mnaweza kuwa sawa na mpinzani wako kwa point!

    Haishangazi kufunga goli nyingi zote ni hesabu za mwisho wa mwaka hizo goli nyingi kwa kipindi ndio wakati wake ukipewa hela ya watu lazima ufungwe 6 mpaka 7 ili mwisho wa ligi watu wahesabu magoli!......biashara wazi wazi!
  10. JamiiForums Tanzania Angalia umri wako ujue kundi lako

    Kumbuka umri wako Vyombo Kumbuka kikundi chako cha umri leo katika mwaka huu 2025 usije ukasahau kusudi lako maishani! Umri wa nyongeza 1925 - miaka 100 1926 - miaka 99 1927 - miaka 98 1928 - miaka 97 1929 - miaka 96 1930 - miaka 95 1931 - miaka 94 Umri wa jua 1932 - miaka 93 1933 - miaka 92...
  11. JamiiForums Tanzania Sawa mambo yako hayaendi lakini usidhalilishe utu wako

    Sio kwamba hauna thamani ni basi tu uko unappreciated Fanya mabadiliko. Jiweke miongoni mwa wanaoona thamani yako then angalia jinsi utakavyoboreka haraka. Wakati ua halichanui, rekebisha mazingira ili liweze kukua, Sio kurekebisha au kubadirisha ua. Tusisubirie vya kuja kuthamini ubora wetu...
  12. JamiiForums Tanzania Ukipoteza Kumbukumbu zako zote ungependa nani akusimulie historia ya maisha Yako? Rafiki Yako mnayelewa pamoja? Mke/Ex Wako? Mtoto wako?

    Ni usiku wa kawaida jijini Mbeya. Clara, binti mrembo mwenye tabasamu la upole lakini macho yenye siri nzito, yupo na marafiki zake wawili pamoja na mpenzi wake, Anthony. Wanaketi kwa utulivu wakifurahia biriani na bia, wakicheka kwa sauti nyororo zinazopotelea gizani. Katika mtiririko huu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ulimpendea sura, shepu au tabia? Tuambie Kigezo cha kumchagua mpenzi wako uliyenaye 2025 kilikuwa nini?

    Mambo yamekua mengi wanawake wanapenda hela, wengine wanajenga nyumba za siri, wanaume kataa ndoa wanaongezeka na walio ndani ya ndoa wanachepuka, kila kona ni vurugu. Wewe huyo bebi wako uliyenaye 2025 ulimchagua kwa kigezo gani? Nini kilikuvutia, na je bado yuko vile vile au amebadilika?
  14. JamiiForums Tanzania Raisi Wangu Mama Samia Nikumbuke Kwenye Ufalme wako

    Kwa jinisi raisi wangu Mama Samia Suluhu Hassan anavomwaga ajira kwa graduates imenibidi namimi mgonga ulimbo nizidishe maombi kwake awe na afya njema. Maana naona mwanga wa kulamba ajira ndani ya muhula wake wa kiuongozi. Aisee marafiki zangu wa karibu wengi wameitwa kazini bado mimi tu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kuandika SMS kwa namna hii kunaweza kusabisha kizaa zaa kwenye ndoa ya mtu wako wa karibu

  16. JamiiForums Tanzania Kwa wasio oa, ukiendekeza sana wanawake utajikuta husaidii wazazi wako

    Miongoni mwa watu ambao wanatakiwa kula hela Yako ni wazazi wako hasa mama. Ila kama utaendekeza wanawake basi nguvu yote itaishia kwa wanawake.
  17. JamiiForums Tanzania Usijipe umuhimu kwa mtu ambaye haoni umuhimu wako

    Siku hizi watu wanapokea simu ambazo zina umuhimu, zina faida, zinawapa furaha, au zina wito maalum kwenye mambo yao. Ukiona simu zako hazipokelewi jiongeze! Wakati mwingine unaweza kumpigia mtu simu zaidi ya mara tano lakini hupokelewi. Unatuma jumbe nyingi lakini hujibiwi. Tangu ulipomtafuta...
  18. JamiiForums Tanzania Job Ndugai, Ujumbe Wako Tumeuelewa Tutatekeleza na Kuueneza Watu Wengine Wauelewe.

    Hakika kama Spika ulipokuwa ofisini kwako ulikuwa na nafasi ya kuelewa mengi na kwa undani zaidi. Hivyo kama ilivyo, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na dhahiri anakuwa adui wa shetani. Tumeelewa. Sasa kwa kuenzi huo ukweli aupendao mwenyezi Mungu tumekuelewa na tutausambaza kila kona ya nchi na...
  19. JamiiForums Tanzania Hilo penzi lenu na huyo baby wako mmefikia hatua gani hadi sasa?

    eti wakuu? Hilo penzi lenu na huyo baby wako mmefikia hatua gani hadi sasa? Je mnajiona mkitoboa miezi 6 au tuwaache kwanza?
  20. JamiiForums Tanzania Mwambieni tundu lissu siasa ni kumfarakanisha adui ili umnase kwenye mtego wako ,ccm ya sasa imeungana sana inahitajika mkakati wa kuwafarakanisha.

    Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…