wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. MSIDNGANYIKE MKIUZA KIWANJA AMA NYUM.BA SERKL ZA MITAA HAPEWI KITU UNLESS N UTASHI WAKO KUSEMA AHSANTE

    Wiki iliyopita, Bunju kulikuwa kuna kiwanja cha jamaa kinauzwa, na mimi nilikuwa mmoja wa mashahidi. Gafla, serkali za mitaa zilianza kutaka kuulizia kiwanja kinauzwa shilingi ngapi. Mnunuzi akamwambia hiyo ni makubaliano yangu na anayeniuziya. Mwenyekiti akakataa kutoa ushirikiano mpaka ajue...
  2. Graduate hawana ajira wako mtaani, ila wako Ok kwa sababu Simba na Yanga zinashinda mechi zao

    Ukiwafuatilia Graduate mtaani utaona kabisa walisharidhika sana na life na kikubwa kwao ni kuona Yanga na Simba zina perform well. Hawana time na kupambania feature yao. Hawana time na kuishinikiza Serikali iwapatie ajira wao kikubwa wanaibana Serikali ihakikishe Yanga na Simba zinafanya...
  3. Mtumie mpenzi wako text hii "it's over me and you " halafu screenshot tuone majibu yake

    Nimeichukua huko mjini X (zamani Twitter )
  4. Mwanaume jua thamani ya mdomo wako

    Kabla mambo hayajawa mengi ni ufala kwa mwanaume kuanzisha mahusiano yoyote kwa gia ya pesa. Kifupi ukianzisha hayo mahusiano jua umesaini mkataba wa kutumika. Na utatumika kama kondom vile. Yaani ponea yako labda upasuke. Hata vitabu vitakatifu vinakuambia hapo mwanzo kulikua na neno. Ndio...
  5. Hivi mpenzi wako anapokuita "mubaba"anakua na maana gani?

    Heri ya jumapili wakuu Sijui niko nyuma ya ulimwengu au ndio uzee unanisumbua. Hivi mpenzi wako wa kike anapokuita we mwanaume wake "MUBABA" anakua na maana gani? Maana kuna kibinti hivi vya mwaka elfu 2 kinapenda kuniita mubaba na wakati me bado yanki kabisa,sasa nimeshindwa kukihoji nikaona...
  6. Ukiondoa usaliti ni Jambo gani lingine ukiligundua kwa mpenzi wako mnaachana siku hiyohiyo

    je ni ipi ukiigundua itakufanya umpige chini bila maelezo ukiachilia usaliti au fumanizi. Je,ukijua ni drug dealer Je ,ukijua amewahi kuua? Je,ukigundua anamiliki didlo kalificha? Je ukigundua anatumia bangi? Je ukigundua kitu gani kitaje?
  7. Mme wako akifa Utaweza kuimudu familia?

    Nina swali kwa ndugu zetu wanawake je utaweza kuimudu familia ikiwa mumeo hayupo kwa namna yoyote Ile? Au kwa Wanaume unauhakika kuwa Kama Leo au kesho ukifa au ukipata ulemavu wa kudumu mke wako ataweza kuimudu familia au itaangukia katika umaskini wakutupwa? Kama jibu Ni hapana umejipanga...
  8. Unatafuta msaidizi wa nyumbani? Kwa Million 100 jipatie Optimus Robot kutoka kwa Elon Musk

    Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia humanoids robots zake zinazoitwa Optimus. Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza kufanya chochote unachotaka. Akazidisha akasema “Optimus ni biggest product ever katika human kind” na...
  9. Rais, mchukue Robert Heriel wa JamiiForums awe mwandishi wako wa hotuba 2025

    Rais, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pole na Kazi nzito ya kuliongoza Taifa letu pendwa hili la Tanzania. Mambo ni mengi sana ya kuendelea kusemezana na wewe kupitia jukwaa letu pendwa la Jamiiforums, muda ni kidogo sana kama kawaida yangu ya kuendelea kutoa ushauri...
  10. Hivi kwanini michepuko wako hivi

    Unakuta mume si wako ila unakiherehere wewe ndio unashadadia vitu kama mume wako. Mtu akipiga unapokea unamuliza wewe nani, kwani wewe nani. Kila mahali unamganda mume wa mwenzako unajitoa kama mume wako hii ni KERO akifa mbona huji ila akiwa hai unahangaika. Hatunywi maji wewe kama wewe ngoja...
  11. Mwanamke wako anavumiliwa na kusamehewa kwa haya...

    Mdau wa JamiiForums wacha nikusogezee makosa ambayo Mwanamke wako anavumiliwa na Makosa ya kusamehewa 1. Kupika vibaya 2. Kuzidisha chumvi. 3. Kulimbikiza uchafu. Lakini sio. 1. Ku cheat na 2. Kukudharau. Kusamehe makosa mawili ya mwisho ni upumbavu. 1. Ku cheat na 2. Kukudharau.
  12. Je, Mwanamke wako anakusaliti? Fahamu viashiria vya Mwanamke anayekusaliti

    Mdau baada ya mihangaiko ya siku nzima ya kujenga nchi wacha tujipumzishe na hii, tufahamu Indicator za Mwanamke ambae anacheat. 1. Anakua mkali unapomjibu maswali rahisi au anakuuliza kwanza kabla ya kukujibu. 2. Anakuwa na rafiki mpya anaemthamini kuliko hata ndugu zako mara nyingi ndo...
  13. The power of AI, sasa unaweza kuwa unapata ngoma mpya kabisa za wasanii wako waliokwishakufa

    Hizo sauti za xxxtencion, juice world in Ai generated na ngoma kali https://www.youtube.com/watch?v=W41Zg2sxsOc Hata hiii ya xxtencion ni Ai generated https://www.youtube.com/watch?v=mvQBbPReWbo Technology iko kasi. AFadhali tuendelee kufaidi ngoma mpya
  14. S

    Huwa unahisi vipi ukimpigia na kumtext mpenzi wako halafu yeye akujibu tu text bila kukupigia?

    Mfano umeanza kumtumia ujumbe wa kumsalimia mpenzi wako lakini ukaona kimya kisha baada ya dakika 20 ukaamua kumpigia lakini pia hapokei, unaamua kutulia kisha yeye anakuja kukujibu tu ujumbe wako baada ya lisaa na hakupigii ingawa alikuta missed call yako. Je huwa unachukuliaje hali hii pindi...
  15. Maneno gani mazito ya mwisho ungependa yasomwe kwenye msiba wako watu wayasikie

    Assume dunia nzima au watanzania wote tupo kwenye msiba wako tunakwenda kukuzika sasa kwa ufupi tu ungepewa nafasi uandike mambo ya mwisho siku za mwisho za uhai wako ungesema hoja gani wosia wa kutuachia sisi tunaobaki. je yupo mtu ambaye ulimpenda na yeye hakukupenda ungependa ajue au yupo...
  16. Waziri Rajabu (Katibu wa Rais): Adui Hapigwi Miguuni Anapigwa Kichwani; Adui Anayetokana na Wema Wako Hatakiwi Kusamehewa.

    Hii ni moja ya quotes alizowahi kupost Waziri Rajabu ambaye ni Katibu binafsi wa Rais wa JMT. "Tumeishi maisha ambayo mioyo yetu inapenda sana kusaidia watu ila kwa matukio tuliyo kumbana nayo tukiwa tunasaidia watu yametufunza tusiwe wepesi kusaidia watu na badala yake saidia sana familia yako...
  17. Urusi imewataka raia wake wote waondoke mara moja Israel

    Benyamin Netanyaho sasa amelikoroga kagusa pumbu za Putin ngoja akutane na figisu za Red Army BREAKING: 🇷🇺🇮🇱 Russia has just ordered its citizens to immediately leave Israel after Israeli airstrikes attacked the vicinity of Russia's Khmeimim base in Syria. In light of the extremely tense...
  18. RC Chalamila: Baadhi ya Matendo Polisi hawahusiki. Ulinzi wako sharti ujilinde mwenyewe

    Mheshimiwa waziri mkuu kuna tukio limetokea hapa mwezi uliopita kuna bwana mmoja alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mama mmoja katika kugombana kwao yule bwana kamdanganya yule mama kamchukua akaenda kumchinja na baada ya kuona haitoshi akamcharanga vipande na akaenda kutupa viungo sehemu...
  19. S

    Mtu akikwambia njoo tugawane umaskini halafu ni swala la mchongo yaani wewe unatumbua nini kwenye ubongo wako?

    Ni swali la upimaji IQ Mtu akikwambia njoo tugawane umaskini halafu ni swala la mchongo yaan wewe unatumbua nini?kwenye ubongo wako
  20. Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watibeli tunajua kufurahisha Wake zetu. Na Wanawake wa kitibeli hujua kuwapa Raha Waume zào. Ingawaje mapenzi Kwa wengi NI kipengele na wengi husema hayana mjanja lakini kwa Watibeli mambo kidôgo ni tofauti. Kwetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…