wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume, kabla ya kuhonga mwanamke, umpendaye, umemtumia mama yako pesa maradufu kuliko ya kumpa mwanamke wako. Hakikisha umejiridhisha wewe kabla ya

    Mama ni mmoja tu, na upendo wake hauna kifani. Mimi babu yenu Bujibuji Simba Nyamaume na miaka yangu 64, kuna binti anahongwa na Bwana wake, tena kijana barobaro kabisa, anakuja kunipa mimi hizo hela, eti ni nyingi sana hawezi kwenda nazo kwao. Mwanaume kabla hujahonga, hakikisha umejipenda...
  2. JamiiForums Tanzania Ulikuta nini kwenye simu yake na kikabadilisha kabisa jinsi unavyomuona mpenzi wako?

    Naomba nianze na mimi Mimi alinipa simu yake nimuungie bando la Airtel Nikaona text imepop up kwa juu imeandikwa "Happy Anniversary baby, Cant wait to see you tonight" Nikameza mate nikanyamaza, sikumwambia chochote. Wiki inayofuata nikamtoa out, nikamwambia nilichokiona kwenye simu yake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Miaka kadhaa nyuma Usimkatie tamaa Mtoto/kijana wako?

    Miaka 20s iliyopita, Mlango unafunguliwa mwalimu wa biology anaingia akiwa na mitihani ya kidato cha kwanza. Mwalimu anasalimia darasa na kutangaza matokeo wa kwanza anamtangaza kapata 99% na wa mwisho kapata 0% , kisha anaanza kugawa karatasi Wakati namwangalia mwalimu anagawa karatasi naona...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya mwenza wako akimtazama jinsia tofauti na yake

    Wasalam ulifanyaje mwenza wako alipokuona uelekeo wa fikra zako na macho yako yapo kwa binti/ kijana anayepita ? Kuna siku nimetulia sehemu wife akafuata kitu dirisha la huduma, ghafla kikakatiza chombo kwa mbali nikawa naki zoom naye sijui alistuka anaangaliwa akageuka. Kumbe wife kasharudi...
  5. JamiiForums Tanzania Chifu utajuaje kama malkia wako umemridhisha na wewe malkia utajuaje kama chifu ameridhika?

    Machifu na Malkia Kwenye kale ka mchezo ka chakula cha wapendanao Wewe chifu au malkia kionjo kipi unakitumia ili kujua umeupiga mwingi? Je, chifu performance yako malkia alikupa muitikio upi wa kuweza kusema leo “Kimeumana” Mikito ipi ulipiga mpaka malkia akafika kilele cha utramu...
  6. JamiiForums Tanzania Member Red-me unaendaleaje na harakati zako za kukataa totozi na kuweka rehani uanaume wako?

    Red-me za sahizi mkuu..!!?,mara ya mwisho Katika moja ya nyuzi zako ulisema unatamani uhasiwe ili usiwe unasimamisha mchi, ukaenda mbali na kuzizodoa nyapu (mbunye) kwamba ni overrated na huoni umuhimu wake. Hayo yakiendelea wadau mbalimbali walionekana kusikitishwa na bandiko lako kiasi cha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti?

    X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti? Usaliti wake umemlipa au yuko hoi anajutia anatamani kurudi tena kwako?
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni kichwa cha familia, usipoteze ubaba wako kwa upofu wa mapenzi

    Natumai mpo poa wadau leo ningependa kuwapa codes wanaume wenzangu waliooa na ambao hamjaoa someni hizi sheria 1.Hutakiwi kueleweka sana kwa mkeo(fanya kama upo upo tu) muache atumie nguvu kujua wewe ni mtu wa namna gani. 2.Mkeo hatakiwi kujua kipato chako na hata akijua usimwambie unaingiza...
  9. JamiiForums Tanzania Bila kifo cha Magu, Bashiru alikuwa anaukwaa Urais kimzaha

    Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama, Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wako juu ya Maisha toa maoni yako kuhusu msemo huu

    Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake. Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA" Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie unavyouelewa.
  11. JamiiForums Tanzania Kumbuka: mababu zako wako pale kukuongoza, si kukufanyia maamuzi

    Kumbuka: mababu zako wako pale kukuongoza, si kukufanyia maamuzi. Wanaweza kukuonyesha: -Shanga. Fimbo. Mto, mlima, au mahali pengine. Vitambaa vya kiroho. Wanaweza kufichua mambo haya, lakini hawatakulazimisha kuyanunua, kuyavaa, au kwenda mahali walipokuonyesha. Uamuzi huo ni wako...
  12. JamiiForums Tanzania Jua madhara ya mrundikano wa sumu kwa utumbo wako

  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia anachekesha kama si mtu wako wa karibu

    Nyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani. Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena...
  14. JamiiForums Tanzania Je, watoto wako watakumbuka asili ya ulipotokea? Watajua lugha na tamaduni za kwenu?

    NI declare kwamba nini ni Mjaluo Kwa asili kabisa, wazazi wote pande mbili, licha ya kuzaliwa na kukulia mkoa wa morogoro, mzee wangu alikua mtumishi wa serikali kazunguka sehemu nyingi Morogoro ndio makazi yake yapo mpaka Leo, Ujaluoni nimefika marachache zaidi nadhani katika maisha yangu...
  15. JamiiForums Tanzania Wadada leo ni Girlfriends Day. Umeletewa zawadi?

    Ndo nimetoka kumtuma boda ampelekee shangazi yenu vizawadi vidogo muda huu kuadhimisha siku hii Wadada wa humu mshapokea zawadi? 👀 Au ndo kila kitu kheri? Natamani nione mchango wa Binti wa zamani hapa 😁
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni surprise gani uliwahi kufanyiwa na mpenzi wako mpaka leo huwezi kusahau

    Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke bado kuthibitishwa tu. Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi...
  17. JamiiForums Tanzania Endelea tu kuwaambia ndugu na rafiki zako mipango yako ya maisha. Utakapozeeka maskini ndipo utawafunza watoto wako kutunza siri

    Ndugu na rafiki zako wanachopaswa ni kuona tu au kuambiwa tu Juzi nimeshahamia nyumbani kwangu. Niko Marekani wiki ya pili sasa Karibu kwenye mahafali yangu next week napata masters. Namshukuru Mungu ile nafasi ilikuwa ngumu lakini nimeipata . Ndugu waone tu umepark gari nyumbani kwako au...
  18. JamiiForums Tanzania Club Mate's Geography Quiz: Onesha utaalamu wako, mdau!

    Day 1 Wataalamu wa jiografia karibuni kwenye siku ya kwanza ya Club Mate’s Geography Quiz. Wa kwanza kutaja jibu sahihi la category moja atapata point moja, wa kwanza kutaja majibu yote sahihi kwa pamoja atapata points 10 kwenye leaderboard. Tumpate bingwa wa jiografia wa hapa JF. Leaderboard...
  19. JamiiForums Tanzania Weka picha ya Unyayo wako

    Tupiako kapicha ka unyayo wako. Mimi unyayo wangu huo hapo.
  20. JamiiForums Tanzania Dunia bila uwepo wako. Wewe ni nani hasa? (Soma hadi mwisho, itabadilisha mtazamo wako)

    Wadau za wakati huu, Tuna muda kidogo hatujaonana uzi wangu wa mwisho wiki kama 3 zilizopita lakini katika kukaa kwangu na kufikiria nimefanya uchambuzi pamoja na utafiti mbalimbali kuhusu hii mada yetu hii ya leo. Mada hii ya leo imeibuka baada ya siku moja swali hili kutokea: "Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…