Tanzania ni nchi kubwa , na yenye Jamii nyingi za asili mbalimbali, Lakini kiuhalisia kutokana na mambo ya historia na maeneo zilizopo jamii hizo imesababisha baadhi ya jamii kuwa na uwezo mkubwa kifedha kuliko jamii Nyingine.
Kwa miaka Mingi tokea uhuru jamii za Wahindi na waarabu zimeendelea...