Maelfu ya wakimbizi waliokuwa wakiishi nchini Tanzania wamerejeshwa nchini kwao chini ya mpango wa hiyari. Wengi wanasema wanasubiri kukutana na wapendwa wao nchini Burundi na baadhi wamelalamika maisha yalikuwa magumu nchini Tanzania.
Pia soma:
~ Hofu yatanda, wakimbizi wa Burundi wadaiwa...
Wasiwasi umeibuka kuhusu kurejeshwa kwa lazima kwa wakimbizi wa Burundi kutoka Tanzania, huku wengi wao wakisema hawataki kurudi nyumbani kutokana na hofu ya usalama na mateso ya kisiasa.
Manyanyaso hayo yanaripotiwa wakati Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za wakimbizi zikizuia wakimbizi...
My people,
Si kila anayetaka amani kwasasa hajaumizwa na yale yaliyotokea 29 Oct na yanayoendelea sasa hivi ikiwemo utekaji
Natambua kwa baadhi yenu mnaweza kumuona kila mtaka amani na mpinga harakati za fujo ni adui wa Taifa hili,ukweli ni kwamba kila mpenda amani na mpingaji fujo ni mzalendo...
Hivi ni kweli kabisa?
Inadhaniwa watu zaidi ya ten thousand wamekufa, ni kwa ajiri tu ya watu wachache waendelee kuwa na vyeo vyao?
Na sasa nchi yetu imetengwa na kufungiwa misaada n.k, bado ni kwa ajiri ya mtu mmoja?
Embu piga picha, baada ya hapa, maisha ya watu yatakuwaje? Ni kwa sababu...
Baada ya tukio lililotokea Aprili 29, 2025 ikielezwa kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma kiasi cha kusababisha Jeshi la Polisi kuingilia na kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia, ufafanuzi umetolewa kuhusu tukio hilo
Kama hukusoma kuhusu...
a
Aprili 29, 2025, kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma ambapo Jeshi la Polisi lililazimika kuingilia na kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia.
Mchongo upo hivi, inadaiwa kuna Wakimbizi katika kambi hiyo walikuwa na Himaya yao na utawala...
Ukiona mtu anasimama na kuilazimisha serikali kama haina kiongozi kuwa wao ni Alfa na Omega na matamshi yamejaa kibri lazima ujiulize mara mbili mtu huyu ni mtanzania kweli.
Tanzania tumezoea kupokea wakimbizi sio kuzalisha wakimbizi..wengi walichochea vurugu nchini mwao hivyo bila kufikiri...
Peace,
Niko na swali dogo ila tata kwa kiasi fulani, hivi inakuwaje watu walio na "umoja na mshikamano katika dini ya Mwenyezi Mungu" wako tayari hata kujilipua mabomu kwa ajili ya dini yao.
Wako tayari hata kuchinja watu huku wakiwarecord ili kutetea "imani" yao "tukufu" ila linapokuja swala...
Baada ya Waisraeli kupora na kuwafukuza Wapalestina kutoka kwenye makao yao wengi walikimbilia nchi ya Jordan. Jordan ni nchi ya wakazi wachache hivyo wakimbizi wakawa sehemu kubwa ya wakazi. Wakimbizi hawa wakawa wanaishambulia Israel kutoka Jordan huku wakimshinikiza Mfalme wa Jordan afanye...
Kuna kila dalili kuzuka vita kati ya DR Congo na Rwanda. Nchi kubwa ya Congo inaweza kuamua kupigana vita na Rwanda ambayo ni ndogo kabisa kulinganisha na DRC.
Mwanzo wa vita pamoja na kiburi na kujiamini kwa watutsi wenye kutawala Rwanda DRC inaweza kuwavuruga vibaya. Pamoja na uzembe ufisadi...
Kazi ya UN JF
Kati ya Watu Milion 60 «Kuna kitu unakijua HAPO unataka wenzako tuwe wakimbizi Kukijua"
Fatima Adam Muhammad fled El Geneina in June 2023 after her teenage son was killed. She and her four surviving sons have found refuge at Aboutengue refug
Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya
ELimu: Diploma in Nursing and Midwifery
Nina leseni Hai kutoka TNMC ( Tanzania Nursing and midwives Council) as a Registered Nurse
Jinsia: Male
Email: avicboston@gmail.com
PM ipo wazi kwa mawasiliano zaidi...
Hawa wakimbizi wa Kiarabu pande za Lebanon na Gaza ni tofauti kidogo na hawa wa kwetu huku Congo.
Hawa waarabu wanaonekana kila siku wanaoga, nguo safi na wanaonekana wanakula kila siku.
Wakimbizi wa Congo malnutrition inaonekana hata ukiwa km 10, watoto wazee wote wamekonda kabisa. Maji ya...
Kuwa mkimbizi ni kutoka sehemu yako ya asili au unayoishi (comfort zone) kwenda kuishi sehemu nyingine (uncomfort zone) bila hiari yako; umelazima.
Kuna aina mbili kuu za ukimbizi; kutoka sehemu zao za asili kwenda sehemu nyingine ugenini ndani ya nchi, na kutoka sehemu zao za asili kwenda...
Mliimba akbar akbar kila mara pale magaidi wa waislamu, Hezbollah walipochokoza Israel, mkaambiwa msitishe maana mkijibiwa msije mkalia, sasa imekua kilio Lebanon, watu milioni moja wakimbia makwao, na isisahaulike humo Lebanon kulikua wakimbizi wengi sana waliotoroka Syria wakitegemea Lebanon...
Magaidi ya waislamu, Hezbollah inasababisha shida kubwa sana kwa wananchi wa Lebanon, na mbaya zaidi haya magaidi sio raia wa nchi hiyo, ni majitu yametokea huko mbali yamejawa na mzuka wa kiislamu wa kuua watu.
=============
More than 100,000 people have crossed into Syria from Lebanon since a...
Wanaukumbi.
Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza.
Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa;
Tunduma
INYALA
YAWAYA
MAKWENJE
DARAJANI
SHAMWENNGO
IMEZU
MWASHOMA
ITEWE
NYASHISHI
NGUDU
kIBOSHO
Na maneo...
Serikali imesema katika kuhakikisha kuwa Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa hapa nchini wanapata suluhisho la kudumu ifikapo Januari 2025 itafanya zoezi la mahojiano ili kutoa fursa ya kuwasikiliza Wakimbizi hao na kufanya maamuzi sahihi kuhusu hadhi zao kwa kuzingatia sheria za ndani, kikanda...
1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan).
2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Mwakilishi wa Serikali ya Burundi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Maendeleo ya Jamii na Usalama wa Raia, Theofile Ndarufatiye (kulia), wakibadilishana Nyaraka ya Makubaliano ya Utaratibu wa Urejeaji wa Wakimbizi wa Burundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.