wakili

Malam Wakili (born 1958) is a senator of the Federal Republic of Nigeria from Bauchi State and retired controller of customs. He represented south Bauchi in the current 8th National Assembly before his death on March 17, 2018. Senator Wakali was the Chairman, Poverty Alleviation & Social Welfare Committee and Vice Chairman of the Air Force Committee of the 8th National Assembly.A bye election was conducted after his death and Lawal Yahaya Gumau of the All Progressive Congress won.The south Bauchi Senatorial District covers seven local government areas.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi wafafanua tukio la Wakili Lusako Alphonce kukikimbizwa na Polisi katika Ofisi za "Reachout Tanzania"

    TAARIFA KWA UMMA Taarifa iliyo upande wa kushoto inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Jeshi la Polisi lingependa kuitolea ufafanuzi ili isiendelee kuleta taharuki ambayo si ya lazima. Ni kweli Askari Polisi walifika eneo hilo kumkamata mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mweta...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye kujua kesi yoyote aliwahi kuishinda Wakili Boniface Mwambukusi

    Toka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili Boniface Mwabukusi kumtetea

    Imeelezwa kuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali Mdude anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe anatuhumiwa kutenda makosa matatu (3) ikiwemo kujeruhi, kutoa lugha ya matusi na kuvuruga ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 Hayo yameelezwa na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Wakili Boniface Mwabukusi?

    Huyu mwamba jasiri alikuja kwa kasi ya moto wa nyika ila kapotea ghafula. Hatumsikii tena akitoa matamko juu ya ukiukwaji wa haki nchini. Mfano utekaji na kuenguliwa wagombea wa upinzani ktk mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Yupo wapiii?
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakili Haji Nanduli: Kila Lita ya Petrol na Dizeli kuna Tsh. 50 inayoenda Mfuko wa Taifa wa Maji

    Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Maji, Wakili Haji Nanduli ameeleza kuwa kwenye kila lita moja ya mafuta ya Petrol na Dizel ukatwa Tsh. 50 kama tozo kwa ajili kupelekwa kwenye Mfuko wa Taifa wa Maji ili kuwezesha utekelezaji wa mradi ya maji nchini. Ameongeza kuwa ili kuwezesha upatikanaji wa...
  6. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania KIBAHA: Wakili Riziki Majallah auwawa na mwanaye wa kumzaa kisa kumnyima pesa

    Katika tukio la kusikitisha lililotokea tarehe 18 Oktoba 2024, Juma Majalla, mtoto wa kwanza wa Wakili Riziki Majalla, amekamatwa na polisi wa Mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua baba yake baada ya mzozo wa kifedha. Inasemekana kuwa Juma alimua baba yake kwa makusudi baada ya baba yake huyo...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Kuna changamoto ya mifumo ya utoaji haki jinai

    Kesi ya jinai inayomkabili Afisa wa Jeshi la Polisi Fatma Kigondo, anayejulikana kama 'Afande', ikimhusisha na tuhuma za kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam, imeendelea kupata changamoto baada ya kutolewa uamuzi mdogo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakili Ogola asema “Kitendo cha Gachagua kuomba msamaha inaweza kutumika kama amekiri kosa”

    Wakili Steve Ogola amesema uamuzi wa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kuomba msamaha kwa bosi wake, Rais William Ruto unaweza kuchukuliwa kuwa ni sehemu ya kuthibitisha ana makosa. Gachagua anatarajiwa kuhojiwa na Bunge kuhusu tuhuma mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu, Rushwa, kukiuka katiba...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Afande aliyetajwa kwenye kesi ya 'Binti wa Yombo', sio mwanamke

    Wakili Edwin Mugambila, Mtendaji Mkuu wa Mtandao wa Kitaifa wa Kupinga Usafirishaji Haramu wa Binadamu, amesema: "Kwanini huyu Afande anayehusika kwanini hajashtakiwa? Tumefanya vikao sana na mwendesha mashtaka Dodoma yaani mpaka kesi inakamilika sisi tulipiga kambi Dodoma Mimi na mwenzangu wa...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Clinton Nyundo na wenzake hajaridhishwa na hukumu

    Godfrey Wasonga ambaye ni miongoni mwa Mawakili waliokuwa wakiwatetea kina Nyundo na wenzake ambao wamehukumiwa kifungo cha maisha Gerezani kutokana na kesi ya kumbaka na kumlawiti Binti wa Yombo, amesema wao kama Mawakili siku zote huwa wanaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hawajaridhika na...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Wakili msomi Tundu Lissu akiwa na Mahakamani na mteja wake Askofu Mwanamapinduzi

    Imekaa vizuri
  12. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Nguvu iliyotumika na Polisi kuzuia Maandamano ingetumia kuwatafuta waliotekwa

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi halipaswi kuingilia michakato ya Kidemokrasia isipokuwa tu kwa agizo la Msajili wa Vyama vya Siasa
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wakili wa CHADEMA: Lissu amekamatwa nyumbani kwake Tegeta

    Dar es Salaam. Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amekamatwa na polisi asubuhi ya leo Jumatatu, Septemba 23, 2024. "Lissu amekamatwa nyumbani kwake Tegeta na amepelekwa Kituo cha Polisi Mbweni na mimi kama wakili niko njiani nakwenda huko...
  14. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
  15. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania 'Afande' Fatma Kigondo anayedaiwa kusaidia Binti wa Yombo afanyiwe Ukatili wa Kingono afunguliwa Kesi ya Jinai

    DODOMA: Kesi iliyofunguliwa na Wakili Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa Polisi ASP Fatma Kigondo anayetajwa kama 'Afande', inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo tayari imepangwa mbele ya Hakimu Francis Kishenyi. Afisa huyo ameshtakiwa kwa kusaidia genge la Watu Watano...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Bunge halitakiwi kukwepa hoja ya utekaji

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu mjadala wa suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo yanakwamisha hilo, amezungumza hayo wakati anahojiwa na Kituo cha Crown FM.
  17. econonist

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka tusaidie kwenye kufungua hili shauri

    Wakili Madeleka popote ulipo, tunaomba uwasaidie Hawa wananchi wanaotapeliwa kwa kupitia jina la Ikulu. Nadhani wewe na Ex Mayor Bonny ndio mmebakia wenye uchungu na raia. Kuna mtu anatumia jina la Ikulu, Waziri Mkuu na hata Jeshi letu la JWTZ kuwatapeli wananchi. Na mpaka sasa hivi kuna watu...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Tuna ushahidi unaojaa fuso mbili polisi kuhusika kumkamata Soka

    Maamuzi ya Jaji Wilson Nyansobera yanasubiriwa kutolewa muda sio mrefu kutoka hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam juu ya shauri lililoletwa mahakamani na Deusdedith Soka, Jackob Godwin Mlay na Frank Mbise wakiwakilishwa na mawakili Peter Madeleka, Paul Kisabo na Deogratius...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka tusaidie

    Wakili Madeleka popote ulipo tunaomba msaada wako. Tumeenda polisi wameshindwa kutusaidia, tumeenda kwa wapelelezi wameshindwa kutusaidia. Tunaomba utusaidie kuhusu hii kesi inayotusumbua. Popote ulipo wakili Madeleka nitafute PM. Nikupe details zote za kuhusu hiyo kesi.
  20. W

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa Ubakaji Kuwakilishwa na wakili wa kujitegemea

    Leo ni siku ya tatu tangu watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya jijini Dar es salaam wafikishwe mahakamani na kusomewa mashtaka yanayowakabili. Kesi hiyo itaendelea leo Agosti 21, 2024 kwa kuwasikiliza mashahidi ambao wameletwa na upande wa Jamhuri. Kesi hiyo namba 23476 ya...
Back
Top Bottom