wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Je, ni kwa nini Mungu aliamua kubadili ahadi yake kwa waumini wake kwenye Quran?

    Waamini wa Quran wanaamini kwamba Quran ndio kitabu cha mwisho cha mwenyezi Mungu kwa watu hapa Duniani, kwamba Quran ni updated version ya Biblia. Kwa msingi huo tukifuata mtiririko wa Vitabu vya Mungu, kuna agano la kale, agano jipya na Quran. Ukisoma Agano la kale, hakuna concrete promise...
  2. Mnapojidai kutembea na wake zao wao wanatoka na watoto wenu na ndugu zenu wa damu hata mama zenu wanaopatikana nchi nzima. Watch out! karma is real.

    Hello, Story kwa ufupi, duniani hakuna mjanja aloshindikana, kila penye nyumba na nyufa ipo. Katika hali iliozoeleka inaonekana kutoka na mke au mume wa mtu ni ushujaa sana mithili ya kubeba kombe la Dunia. Kwa taarifa yenu hao mnaowaibia wake au waume zao ndio wanaotoka na watoto zenu, dada...
  3. Inawezekanaje mchepuko wa mwanamke kuwa mwanakamati wa sendoff ya mwanamke wake kwenda kuolewa na mtu mwingine?

    Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku. Nikapokea simu ya ndugu mmoja...
  4. Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

    Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba, wake zenu yaani. Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke. Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake. Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki, nguvu za kiume hupungua(stress). Nyumba...
  5. Kagame ni kiongozi mwenye nguvu sana! Na nguvu zake kuu ni uwezo wake wa kijasusi!

    Paul Kagame, rais wa Rwanda anayetunishiana misuli na Felix Tshisekedi wa Congo, wakitupiana maneno, ambayo yanaendelea kudhoofisha mahusiano ya majirani hao! Kwa haya yanayoendelea kubainika kuhusu utawala wa Rwanda ambayo sio mazuri kidiplomasia, lakini mimi yananidhihirishia kwamba nguvu na...
  6. Kuna dini inawafanyia 'brain wash' washirika wake kila mwisho na mwanzo wa mwaka

    Twende kwenye mada direct. Kila wiki ya mwisho ya December kuna dini inawafanyia brain wash washirika wake. Hapo wanasahaualishwa waliyotabiriwa mwaka unaoisha ambayo ni hewa (hayajatimia) na kutabiriwa mambo mapya. Basi wanapigwa msasa mpaka wanafikia hatua kila muumini analiona ghorofa lake...
  7. Newcastle United anasiri gani wakuu? Nimefatilia uwezo wake safiri hiii anatisha

    Wakuu hongerani na kazi. Wengi wetu tunafatilia Sana ligi za Ulaya Moja ya ligi pendwa ni English premier league. Katiba msimamo wa ligi Newcastle timu iliyokuwa unafanya vema enzi hizo ni kawaida kitobeza timu. Kwa Sasa inasonga vzr Sana kias Cha kuwa tishio Kwa nyingine kama Liverpool...
  8. Unamshauri Nini Mtu ambaye Hana Habari na wazazi wake ?

    Binafsi tangu nianze kuwa karibu na wazazi na kuwa karibu na Mungu nimeona Mabadiliko Katika Maisha yangu. Je Endapo ukifanya kinyume chake je ntarudi Kwenye msoto na kuanza kuishi Maisha ya bahati nasibu ? Kufikia hatua ya kushindwa kulipa Bima Kama Mwanzo na je ntarudi kupanga uswahilini na...
  9. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amtaja Mbosso kama mmoja ya msanii wake bora 2022

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
  10. Tunaochapiwa, waliowahi kuchapiwa wake, wapenzi, wachumba zao na Member (s) wenzetu wa JF tujuane

    Maisha hapa duniani kila sehemu kuna wazuri na wabaya, katika hali ya kawaida tunapokuwa na wake, wapenzi, na wachumba, huwa hatuwafugi wala kuwachunga kama mifugo, na pia katika maisha kuna kuwa vizuri kiuchumi, kufulia na Kuyumba, kuna kuwa na gari, pikipiki etc vyote kama kishawishi au mvuto...
  11. L

    Rais Samia ameshinda, watanzania tumeshinda, Taifa limeshinda na tunamaliza mwaka kwa ushindi

    Ndugu Zangu, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa kwa hakika Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan Ameshinda katika mapambano ya kulijenga Taifa letu na kuwaongoza watanzania katika ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe na Taifa letu limeshinda kwa kubaki likiwa Imara na Tulivu. Rais Samia...
  12. Dk Tulia anapata wapi kiburi cha kuwaambia wapiga kura wake Mbeya waache Majungu?

    Dk Tulia anapata wapi kiburi cha kuwaambia wapiga kura wake Mbeya waache Majungu ===== SPIKA wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk Tulia Ackson amewataka wananchi kuacha tabia za kuendekeza majungu na badala yake wajikite katika kujenga Taifa. Dk Tulia aliyasema hayo jana wakati...
  13. Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

    Mapenzi bwana. Juma kisauti a.k.a mnyamwezi wa Mgeta Roro mkoani Morogoro amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababishia ulemavu wa kudumu kwa mpenzi wake walipokuwa wakinyanduana. Katika harakati ya kuitafuta G-SPOT juma kisauti alimkunja kisawasawa msichana huyo kiasi kilichopelekea...
  14. C

    Jamaa yangu anasema kuna demu wake anakuja, nimpishe kidogo

    za leo wakuu kuna jamaa yangu mmoja alinipa hifadhi home kwake maana niliingia mjini mambo hayajakaa sawa. sasa juzi kanambia kuna manzi anakuja ili wainjoy sikukuu so nicheki utaratibu na mahali pa kukaa, sijajua ataondoka lini huyo demu. Ila jamaa ana chumba na sebule na mi nilikuwa naangusha...
  15. Kwanini Waziri huyu hakutoa sababu ya watangulizi wake 'kutotukanwa' sana kama anavyotukanwa yeye?

    Katika hotuba yake ndefu ya kumkaribisha raisi kwenye sherehe ya kujaza maji bwawa la Nyerere, waziri wa nishati alilalamika sana mbele ya raisi kwamba amekuwa akitukanwa sana kutokana na changamoto za wizara hiyo. Akaeleza kwamba changamoto hizo anaziweza sana kwani yeye ni mvamifu wa kutatua...
  16. M

    Putin aziponda Patriot missile air defense, asema ni mfumo wa kizamani na mwarobaini wake upo

    Rais Putin wa Urusi ameuponda mfumo wa ulinzi wa anga wa marekani ambao utapelekwa ukraine. Amesema ni mfumo wa kizamani na mwarobaini wake upo. Asema hauwezi hata kuufikia mfumo wa S300 wa Urusi, achilia mbali baba lao S400. Na ujue Urusi ana pia S500 ambayo hiyo haiuzi ni kwa ajili ya matumizi...
  17. Rafiki wa shule ya msingi akumbushia stori hii mbele ya mchumba wake

    Akiwa darasa la 5 katika moja ya shule ya msingi huko Arusha Republic John alikumbana na tukio kuingiliwa kinyume na maumbile kwa nguvu na wanafunzi wa darasa la 7 [wa kiume pia]. Baada ya kushtaki kwa mwalimu wa darasa kesi ilifika kwa mkuu wa shule, taratibu za uwajibishwaji zilifanyika kwa...
  18. D

    Huwa unamuamini asilimia ngapi mwenyeji wako anapokwambia usiogope, Mbwa wake hang'ati?

    Karibu sana mgeni! Usiogope Mbwa wangu hawang'ati! Hii kauli huwa unaiamini asilimia ngapi ? Kuwa tu mkweli kabla sijakwambia jambo! Usisahau! Kuna wanaong'atwa na mbwa wao wenyewe! Mfano kingunge, na mwingine south!
  19. Hivi mwenyekiti wa chama cha TLP ni nani?

    Naomba kujuzwa, TLP ina Mwenyekiti ama ndo byebye?
  20. Tabia ya kulala na wake za watu na athari zake

    Kwanza nianze na salamu. N.k.j.j.m.w. Hii tabia ni mbaya Sana. Wanaume wetu wanateseka Sana wanapojua wamechapiwa. Wengine huamua kuchukua hatua mbalimbali zikiwemo za kichawi. Kumtoa MTU busha nk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…