the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
Great Thinkers.
Sikia kusimuliwa tu. NHIF kuna uozo mkubwa na wa kutisha ukizingatia imebeba hatma ya maisha ya watu, lakini hudumu ni za hovyo kupita kipindi chochote kile.
Sijui hizo hela tunazochanga zinaenda wapi. Halafu kuna wahuni wanasema mama anaupiga mwingi how. Watu wanatiwa...
Waziri wa TAMISEMI huyu mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru akishirikiana na personal secretary(PS) wake wanawanyanyasa sana watumishi hasa walimu.
Huyu PS anaficha barua ya mtumishi hasa inayohusu uhamisho. Kuna mwl alipata uhamisho kutoka TAMISEMI mwaka jana alikaa na barua ya...
Bagamoyo ni Bagamoyo tu na siyo Sehemu nyingine yoyote.
Wazee wa Bagamoyo waliwahi kumzuia Magufuli kupitisha barabara kuu inayoelekea Tanga kutokea Dar isipite mjini kwa sababu barabara hiyo ilitakiwa kwanza, kubomolewa kwa nguzo moja hivi ya kimakumbusho ambayo pia hutumika kwa mambo ya...
Habar Mwanajukwaa la Mahusiano.
Kuna jambo nimelifatilia sana ila sijapata majibu shida hua ni nini haswa?
Yani Mwanamke A anakua yupo kwa mahusaiano na mwanaume B ikitokea A Na B wakaachana Hua haichukui Round Mwanamke unasikia ana Mtu wake Mwingine tena mbaya zaidi Asilimia kubwa unakuta...
Natoa mfano Magufuli ambaye kiukweli kabisa alikuwa mweupe kiungozi, kiakili na kimaadili. Lakini Cha ajabu ndo alikuwa anajisema sema eti watu wengine hawafai wakati yeye ndo hafai.
Nakumbuka Kuna wakati alikuwa natolea ufafanuzi wa CAG, akasema eti kama huwezi kumfukuza uliyemteua basi hufai...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dainess Paul Mwashambo (30) mkazi wa Kijiji cha Mashese katika halmashauri ya Mbeya vijijini anayetuhumiwa kuwanywesha sumu ya kuulia magugu shambani watoto wake wawili Mario Semen Adamson (4) na mdogo wake wa kike aitwaye Beonis Semen Adamson (2) wote...
Mnamo tarehe 10/02/2024 Hr wa kampuni ya ulinzi ya G1 security iliyopo upanga jijini dar es salaam mtaa wa kitonga,kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wengine,walijaribu kumuua mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wao katika nafasi ya supervisor aliyefahamika kwa jina KESI.
Mfanyakazi huyo alifika...
Anonymous
Thread
group
kampuni
kumuua
mmoja
security
wafanyakazi
wake
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh. Milioni 62.7 za mishahara ya Waandishi wa Habari 10 wanaomdai mtoto wake, Dudley Mbowe ambaye ni Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima. Pia soma...
Mwanamume aliyefungwa jela miaka 17 amemaliza kifungo chake na amemkuta mkewe akiwa mwaminifu akimsubiri amalize adhabu yake waendeleze maisha.
“Nimefurahi sana kwa sababu mume wangu ameachiwa huru baada ya miaka 17 ya kifungo jela. Nimekuwa nikimsubiri kwa miaka yote. Nimevumilia sana, lakini...
Morogoro kwasasa si mkoa salama, vitendo vya uporaji kwa kutumia bodaboda vimeongezeka, vikundi vya uhalifu vinasumbua sana katika baadhi ya mitaa na kufanya raia waishi kwa hofu.
Cha ajabu jeshi la polisi limeweka jitihada kubwa kupambana na bajaji, yaani ikifika saa 1 jioni, polisi wenye...
Nimewahi kukutana na kuishi na watu wenye harufu kali, harufu ambayo hata nguo zao zikifuliwa kwa sabuni ya kipande inaendelea kubaki kwenye nguo zao, lakini leo nimepanda boda aisee, yule boda miwili wake una harufu kali sana.
Nikamuuliza vipi dogo umekesha nini akasema hapana ndio kaingia...
He died after fighting leg amputation.
Mwigizaji wa Nigeria, John Okafor maarufu kama Mr Ibu (62) amefariki dunia leo Machi 2, 2024 wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitalini.
Kulingana na ripoti kutoka kwa vyanzo vya karibu vya mwigizaji huyo vimeripoti kuwa amefariki akiwa katika...
Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nikiwa na umri mdogo nilihudhuria pale katika uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Dar es salaam, kumuaga mzee wetu mzee Ally Hassan Mwinyi ambae alikuwa anaondoka kuelekea Zanzibar, baada ya utawala wake wa miaka 10...
Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka:
1. Waziri wa afya na Naibu wake.
2. Waziri wa fedha
3. Waziri wa Tamisemi
4. Waziri wa Nishati (Doto)
5. Waziri wa Maliasili na utalii
6. Waziri Madini
7. Kassim Majaliwa (waziri Mkuu)
8. Waziri wa uchukuzi
Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
Mwanaume mmoja wa nchi ya DRC, Hassan Remy amemuoa aliyekuwa mwalimu wake wa sekondari na kusema alishindwa kumsikiliza alipokuwa akifundisha darasani.
Remy amesema alimchumbia Maombi Jeannette aliyemzidi miaka 12 baada ya kumaliza shule na baadaye kumuoa, licha ya uhusiano wao kupigwa vita na...
Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana katika historia ya vita. Misikiti na hospitali zote zimevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi!
Kila wakipiga na kuua watu wanajikuta mikono mitupu, hakuna Hamas wala mateka. Imebidi...