wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kweli Allah alimruhusu Muhammad kumuoa mke wa mtoto wake wa kuasili?

    Zaid alikuwa na mke anaitwa zainab. Alikuwa mrembo kupindukia. Siku moja muhmd akaenda kumtembelea zaid, akamkuta zainab akiw katika mavazi ya kuvutia, akashindwa kujizuia na kumchukua zainab huku zaid akiruhusu hilo.
  2. JamiiForums Tanzania Sheikh: Wake zetu wa Duniani ni wa Hovyo. Si kama wale wa Mbinguni

    Hawa wa duniani wanakatisha hata nyege sometimes. Peponi tutafaidi sana K. FaizaFoxy Ritz https://www.instagram.com/reel/Ddmbek3umFX/?stkn=NHhsdmN5NnBoZHY0
  3. JamiiForums Tanzania Vituko vya Slobodan Milošević (aliyekuwa Rais wa Serbia na Yugoslavia) na mke wake, Mirjana "Mira" Marković. Wapenzi wa kuanzia chekechea,shule, chuo

    Slobodan Milošević (aliyekuwa Rais wa Serbia na Yugoslavia) na mke wake, Mirjana "Mira" Marković, walikuwa miongoni mwa wanandoa wenye nguvu, ushawishi na vituko vingi zaidi katika historia ya kisiasa ya Ulaya. Mke wake alijulikana kama "Lady Macbeth wa Balkan" kutokana na jinsi alivyomtawala na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa wa Msanii Mabeste ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki wa Mabeste

    Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa Takatifu na Msanii Mabeste hatimaye ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa mumewe wa zamani Mabeste na mwanaume huyo kuoa mwanamke mwengine baada ya kudumu na Lisa kwa muda mrefu
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Leo Lissu anahitimisha utetezi wake, tumuombee kwa imani zetu, tuachane na 'shekhe' anayeomba binadamu mwenzake afe

    Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo. Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu. Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia. Matayo...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Donald J.Trump wa Marekani, awataka washirika wake kujiondoa mara moja kwenye mahakama ya ICC.

    Akihutubia United Nations General Assembly, huko New York leo, Rais Trump ameipiga marufuku mahakama hiyo ya ICC kuwachunguza au kuwashitaki raia wa marekani na washirika wake kote ulimwenguni, na kwamba mahakama hiyo haina uhalali wa kufanya hivyo dhidi ya wamarekani na washirika wake. Aidha...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kila dini na Mungu wake lakini shetani akawa mmoja

    Yaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je !shetani wa dini fulani ndio huyu huyu wa dini ingine au nayo dini fulani ina shetani wake!au shetani ni...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi Aendelea Kuikausha na Kuiteketeza CHADEMA Mitaani. Mkutano Wake Waondoka Na Mwandamizi Aliyekuwa Msaidizi Wa Alli Kibao

    Ndugu zangu Watanzania, Moto Uliowashwa Na Katibu wa Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM Taifa Ndugu Mheshimiwa Kenani Laban Kihongosi Unaendelea Kuuteketeza Na kuukausha Upinzani mitaani Hususani CHADEMA. Ambayo Wanachama wake wengi wamezinduka kutoka Usingizini na kuanza kuondoka na kukihama...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna panya mwenye kasendwe amenipigia siku akifa nisisogelee msiba wake "Dudu baya"

    Msanii Mkongwe Dudu Baya, ameonekana kwenye video akisema kuwa kuna mpumbavu mmoja panya mwenye kaswende mpumbavu eti amenipigia simu eti akifa nisisogelee maiti yake akifa nisifike Kwenye msiba wake. Unadhani panya huyo ni nani?
  10. JamiiForums Tanzania Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

    Je, watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa? Na je, wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa: Lissu alitoa tu taarifa kuwa DCI amekataa kuwa shahidi wake, hivyo lilikuwa ni jukumu la mahakama kumtaka DCI afike mbele ya mahakama

    Baada ya kusoma maelezo ya wakili Matata, hiyo ndivyo nilivyoelewa. Kwahiyo, mpaka hapa, Lissu aliitega mahakama na mahakama ikaingia kingi ingawa nashindwa kuamini kuwa mahakama haikuona hii kasoro. Swali ambalo bado linaumiza kichwa changu, ni kuhusu CDF ns IGP kusemewa na DCI na...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Wakili Dickson Matata: Hukumu inaweza kuwa batili, mahakama haikumsaidia mshitakiwa kuwaleta mashahidi wake.

    Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Dickson Matata, amesema kutokufika kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai, mbele ya Jopo la Majaji baada ya kuitwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kunaweza kuwa sababu ya msingi katika hatua za...
  13. JamiiForums Tanzania Kwani DCI Kingai na wenzie waliiitwa kumtetea Mh.Lissu , au kuja kuthibitisha uhaini wake?

    Hawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo. Kupitia Kingai wametoa kauli kuwa hawako tayari kumtetea Mh. Lissu. Sasa najiuliza kwani waliitwa pale mahakamani kumtetea Lissu? Ama kueleza wanachojua kuhusiana na maswala ambayo Lissu atataka...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lisu alikusudia nini kuwahadaa wafuasi wake kwamba DCI, IGP na CDF ni miongoni mwa mashahidi wake kwenye kesi yake ya uhainna wakati si kweli?

    Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini. Na hapa...
  15. JamiiForums Tanzania Majadiliano kati ya Lissu na shahidi wake hayawezi kuwa sehemu ya ushahidi mahakamani

    Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi. Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama" Koti ilivyoitwa ilitaka...
  16. JamiiForums Tanzania Duh! Wapinzani wake wote wamegonga mwamba!

    Wamechallenge almost kila kitu alichosema. Wamehoji, wamefungua kesi, wamehamasisha wengine wawe wapinzani, wameleta arguments zao… wamepiga kelele.. lakini kuna statement yake moja wameshindwa kabisa kuipinga: “Kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.” (Mwanzo 3:19) Ukweli ndio huo...
  17. JamiiForums Tanzania Godless Lema aahirisha mkutano wake na waandishi wa habari

    Mkutano wangu na waandishi wa habari niliokuwa nifanye katika Hotel ya Golden Tulip nimeuahirisha. Nimesikiliza hotuba za Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Wameeleza vizuri kuhusu uvumi na upotoshaji uliokuwa ukifanyika juu yangu na misimamo juu ya chama chetu. Nimedumu katika mapambano haya...
  18. JamiiForums Tanzania Lema amesitisha mkutano wake na vyimbo vya habari

  19. M

    JamiiForums Tanzania Mkurya akishakuwa na msimamo ni ngumu sana kuununua msimamo wake, Tuombeane uzima yasije yakajirudia ya Chacha Wangwe

    Nimeishi na Wakurya, wakiwemo Wanzanaki na koo mbalimbali ambazo wakati mwingine hujitambulisha kama makabila tofauti, lakini ukiangalia kwa karibu utaona ni wale wale tu wote wanaitana MURA ! mambo mengi wanafanana kuanzia majina, mila, tohara na mambo mengine mengi. Kwa kifupi, wote ni kina...
  20. JamiiForums Tanzania Lissu ataka kukutana na Mashahidi wake watatu kabla ya kuendelea na kesi

    Katika hatua ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu, Mahakama Kuu imeendelea na hatua ya re-examination ya shahidi wa upande wa utetezi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. Baada ya Jaji Ndunguru kumweleza Mhe. Lissu kuwa bado ana mashahidi watatu na kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…