wakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Wakazi wa Matosa - Goba, Mwaka wa 3 tunabembeleza kujengewa kalavati, TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Serikali itusaidie kuhusu suala la kalavati sisi Wakazi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam, huu unaenda mwaka wa tatu sasa tangu tuombe turekebishiwe lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Tumesharipoti kwa mamlaka mbalimbali wanatuahidi...
  2. a sinner saved by Christ

    Mchungaji Katekela atakuwepo Dodoma kwa uponyaji

    Mlioko DODOMA yule mtumishi wa Mungu wa ukweli mwenye nguvu kubwa moto wa Mungu unaounguza wachawi wote na kuwafungua wale wote waliotupiwa uchawi,majini ,mapepo ,laana na kuibiwa nyota zao...vichaa wanapona,kansa zinapona,magonjwa ya kichawi yanapona,MAGONJWA YA FIGO,kisukari,presha,ndoto...
  3. A

    KERO Kero ya barabara kwa wakazi wa Kata ya Kimala wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa

    Sisi wakazi wa kata ya Kimala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa tumekuwa na kero ya Barabara ya kuingia kwenye kata yetu. kata hii ina vijiji 4 ambavyo havina Barabara za uhakika za kupita mwaka mzima. Kwenye kipindi hiko cha mvua, Barabara huwa mbaya na mbovu na kama tukipata mgonjwa yatupasa...
  4. Inside10

    Msanii Na Mwanaharakati WAKAZI Ahukumiwa Kumlipa BabaLevo Milion 100 Kwa Kumchafua

    https://www.instagram.com/p/DV0X-bLDTCD/?igsh=OGs4YTl1Y255eG1k
  5. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  6. A

    KERO Wakazi wa Kisemvule, Vikindu, Mwandege na Kongowe - Pwani hatuna umeme wa uhakika, haipiti siku lazima ukatike

    Kwa niaba ya wakazi wa Kisemvule, Vikindu, Mwandege na Kongowe mkoa wa Pwani, tuna changamoto ya ukosefu wa Umeme wa uhakika. Haiwezi kupita siku bila umeme kukatika, pamoja na kuwa tunapeleka malalamiko yetu kwa wahusika. Si Mkuu wa Wilaya wala Meneja wa TANESCO Mkuranga, ambaye amejitokeza...
  7. A

    KERO Barabara ya Waterfall - Arusha imejaa mashimo, Greda zipo Ofisi za Arusha DC zimepaki tangu 2025 mpaka matairi yameisha upepo

    Hii barabara inafika hadi Waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero. Barabara imejaa mashimo, na madimbwi ya maji, tunaomba TARURA washughulikie hii barabara. Greda zipo hapo Ofisi za ARUSHA DC zimepaki toka Mwaka jana mpaka matairi...
  8. D

    Wakazi Matuga wapewa elimu ya huduma za Majisafi

    Zaidi ya wakazi 300 wa Kitongoji cha Matuga, Kata ya Kawawa, Wilaya ya Kibaha Vijijini, Mkoa wa Pwani wameanza kunufaika na huduma ya majisafi na salama, baada ya kukamilika kwa mradi wa maji wa Matuga uliotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa lengo la...
  9. A

    KERO Daraja la Kibaha Mji - Mtaa wa Lumumba litengenezwe tunapata shida wakazi wa huku

    Kuna daraja lipo Kibaha Mji, Kata ya Pangani, Mtaa wa Lumumba (liko karibu na Daraja la Jeshi) liliharibika wakati wa mvua ya Mwaka juzi (2024) ile kubwa lakini mpaka leo halijatengenezwa tunapata shida sana tunazunguka mbali tunaomba msaada mamlaka zinazohusika zifanya jambo.
  10. A

    KERO Wakazi wa Makurunge, kata ya Kiluvya, wilaya ya Kisarawe hali tete baada lile sakata la uvamizi wa uporaji

    Ni baada ya polisi kuanza doria usiku imesababisha raia hasa wale wanaochelewa kurudi majumbani kwa sababi kadhaa wakikutana na polisi wanachezea kichapo kwanza ndo kisha kuhojiwa. Hii imepeleka raia wengi kuwa na hofu asa kuwahi makazini kwao au kutokurudi kabisa kukwepa kurukishwa...
  11. A

    KERO Wakazi wa Goba, Mitaa ya Nasary & Mwanzo tunapata maji mara 3 au 4 kwa mwaka

    Sisi wakazi wa Goba Mitaa ya Nasary & Mwanzo tuna kero kubwa ya kukosa maji, unakuta tunapata mara 3 au 4 kwa Mwaka😢 wakati ambapo mitaa ya jirani wao wenyewe wanapata walau mara moja kwa mwezi. Hii hali inatuumiza sana kwa kuwa kuna muda tunalazimika kununua madoza ya maji hadi kwa Shilingi...
  12. M

    Ukuswanywaji huu wa Taarifa Binafsi kwa wakazi wa Masaki si sawa. Sensa ilikuwa ya nini?

    Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita? Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria ikionekana wazi kuelekea kuvunjwa. Wenye mamlaka wamezoea kufanya vitu kwa mazoea, nyakati kama hizi...
  13. T

    KERO Wakazi wa Nyegezi (Mtaa wa Mpambije Street na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji

    Wakazi wa Nyegezi (Mpambije Street, Ellys na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji Ukosefu wa maji umeendelea kuwa kero kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza, hususan katika mitaa ya Mpambije Street, Ellys na Kumalija, Nyegezi. Kwa kipindi kirefu...
  14. A

    Wakazi wa maji chumvi walia na uchimbaji haramu wa mchanga unaotishia kuangusha nyumba zao

    Wakazi wa Majichumvi Mtaa wa Tembomgwaza-Kimanga, wilayani Ilala jijini Dar wamefunua vinywa vyao kulalamikia uchimbaji haramu wa mchanga pembeni ya Mto Luhanga unaofanywa na vijana, hivyo kusababisha mmomonyoko unaohatarisha kuanguka kwa nyumba zao. Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa eneo hilo...
  15. A

    KERO Kilio cha Wakazi wa Kijiji cha Shabaha, Kata ya Mabogini Mkoa wa Kilimanjaro

    Ningependa kuwasilisha masikitiko yangu kuhusu hali ya Kijiji cha Shabaha, Kata ya Mabogini, ni eneo linalokuwa kwa kasi, likiwa na idadi kubwa ya vijana na watoto, lakini linasahaulika katika mambo yafuatayo: Miundombinu: Barabara ya kutoka Manguzoni (mpaka wa TPC) kuelekea Shabaha hadi mjini...
  16. comrade_kipepe

    Kwa wakazi wa mkoa wa pwani

    Nina plani nipate eneo lisilopungua heka 5 hapo ndani nifanye mambo yangu ya kilimo na ufugaji, sana sana nmelenga mkoa wa Pwani especially kisarawe. Je ni sehemu gani nzuri ambayo ina ardhi nzuri na maeneo mazuri ndani ya kisarawe au popote ndani ya mkoa wa pwani? Maisha haya nataka niyaandae...
  17. Mad Max

    Wakazi wa Morogoro msaada: Huko mvua zinanyesha au DAWASA wanatugeuza wajinga?

    Dar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini. Mvua za Morogoro ndio mkombozi wetu. Milima ya Uluguru ndio kimbilio letu. Sasa naomba kuuliza, huko...
  18. ngara23

    Wakazi wa Uvira huko DRC wanahitaji m23 kubakia hapo Kwa kuwa wanatenda haki kuliko serikali

    Tuliwambia hawa wazalendo wa Africa waliopewa jina "waasi" sio kweli kama tunavyoaminishwa Sisi tunaona huruma kuwa waasi wameteka mitaa, kumbe wananchi wa Congo DR ndo wanafanya sherehe asubuhi na jioni Hii ni ajabu Tukumbuke mapema wiki hii wazalendo wa M23 walitwaa mji wa Uvra Kwa...
  19. PureView zeiss

    KERO Wakazi wa DAR, PWANI na MORO wasaka maji mabondeni

    CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂 Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu Hadi watutengenezee mgao wa maji, Sisi kama watanzania tuungane kwa pamoja ili kuwakataa hawa...
  20. Dalton elijah

    Wakazi wa Dar es Salaam Amani ni muhimu kuliko Maji

    Kwa sasa, Jiji la Dar es Salaam linakumbwa na adha ya Maji, nawashauri Amani ni muhimu zaidi kuliko Maji, lindeni sana Amani kuliko Maji Nawasilisha
Back
Top Bottom