wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna nyakati ambayo mwanamke alishindwa kuzishinda limitation za mwanaume. Kwa wakati huu hii ndio silaha yao na hakuna vita itakayowashinda.

    Kila enzi mwanamke aligundua namna ya kuushinda ungangari wa mwanaume Yule Jamaa wa "Ooooh kabla sijajenga nyumba yangu nataka nikarabati ya wazazi" sasa hivi anatuma kodi ya miezi mitatu ya huyu tipwa tipwa 🤣 Najua Poor Brain anaelewa nachokimaanisha🤣
  2. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa jamiiforums ibadilishe muonekano wa app na kuongenza features ili kuendana na wakati ilikujiweka nafasi nzuri ya ushindani

    Ni wakati sasa jamiiforums ibadilishe muonekano wa app na kuongenza features ili kuendana na wakati ilikujiweka nafasi nzuri ya ushindani Ili kuoata watumiaji wapya
  3. JamiiForums Tanzania Siasa za vurugu zimepitwa na wakati, Watanzania tudumishe amani

    Leo ni siku nyingine tena ambayo kesi ya Lissu itatajwa mahakamani. Ni matumaini yetu wote kwamba amani itatawala. Amani tu ndiyo inayoweza kutusaidia. Haki zote tunazidai, mabadiliko tunayoyatafuta, tusifanye vurugu . Be still, and know God. Kama unataka kumsikia Mungu lazima utuliie.
  4. JamiiForums Tanzania Video ikionesha wadada wakipata wakati mgumu kukaa chini baada ya kufanyia upasuaji katika clinic ya kuongeza makalio

    🤣 Maisha ni mapambano, na hawa wanapambana kukaa.
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto Kabwe anataka watu wapoteze muda kujadili viporo vya IPTL/ESCROW wakati huu?

    Ni kwamba Zitto Kabwe hajui wazi hakuna mtu mwenye akili timamu mwenye muda wa kufuatilia tena na IPTL/ESCROW nyakati hizi, hakuna mtu mwenye akili timamu atakayefuatilia suala ambalo inajulikana hakuna pesa zilizokwapuliwa zinazoweza kurujeshwa tena au mtu yeyote aliyekwapua atakayewajibishwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi jamii forum kuwa na akili mnemba (AI) yake

    Matumizi ya akili mnemba yaani artificial intelligence (AI) yakiendelea kukua kwa kasi binafsi nadhani ni wakati sahihi mtandao wa jamii forum kuwa na AI yake kama ilivyo kwa grok ya X(zamani twitter), Gemini (google) Microsoft copilot na chatGPT
  7. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae

    Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae. Katika jamii yoyote yenye misingi ya kidemokrasia, jeshi la polisi muna nafasi ya kipekee kama muhimili wa kulinda haki za watu, usalama, amani na haki za kila...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inatumia pesa nyingi sana kwenye chaguzi wakati wananchi wake ni maskini sana, dawa hospitalini hakuna, madawati hakuna na ajira hazipo?

    Niende moja kwa moja kwenye mada Fedha za CCM zinatumika zaidi na zaidi kwenye uchaguzi mkuu 1. Ina lipa zaidi ya TSH 5B kununua wapinzani(Kuna tetesi kuwa G55 wamepewa fedha za kutosha ) 2. Ina lipa zaidi ya tsh 1B kulipa wasanii(Kwenye kampeni zao zote hata sizizo na ushawishi na ulazima...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ninayoyaona wakati wa Uchaguzi yakitokea

    (1)Naona vurugu kila mahara hapa Tanzania,huku watu wakipambana na polisi (2)Naona Vurugu kubwa kwenye miji ya Mbeya,Mwanza,Iringa Moshi,Mara na mingineyo (3)Naona wale Viongozi waliokuwa wa Chedema wakiwa katika wakati mbaya kabisa nyumba zao zikichomwa moto (4)Hali imekuwa ngumu ndani ya...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani, kwanini ulie wakati umetangaza mwenyewe kujivua uanachama

    NI kwamba ametapeliwa na wajanja. Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende. Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa. Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni. Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine...
  11. JamiiForums Tanzania Wakomonisti wa JF walijua Trump anafeli hii vita ya makato wakati mwamba yupo Uarabuni anasaini deals tena kwa kuhumizwa

    Nyie muendelee kukubali kuchukuliwa tu vibanda vyenu vya umachinga na wakina jet li🤣
  12. JamiiForums Tanzania Moja ya watu unaotakiwa kuwaepuka ni Wale wanaopenda kukutajia makosa na aibu ulizozifanya wakati uliopita. Wenye chuki na wewe

    MOJA YA WATU UNAOTAKIWA KUWAEPUKA NI WALE WANAOPENDA KUKUTAJIA MAKOSA NA AIBU ULIZOZIFANYA WAKATI ULIOPITA. WENYE CHUKI NA WEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli unahitaji watu katika maisha lakini watu hao wasiwe toxic wenye Negativity. Watu wanaojifanya marafiki kumbe ni Adui...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Magufuli, watu walijiuzulu kwa wimbi kubwa , ilisaidia nini? Insanity is doing the some thing over and over again expecting different result

    Ndugu zangu, kwa mujibu wa hiyo definition ya Albert Einstein, hawa watu ni vichaa na wanaowatumia au kuwatuma nao pia ni vichaa tu kwahiyo wasiwasumbue. Kama watafanikiwa, basi hawa vichaa wataweka record ya dunia kuwa vichaa wa kwanza kufanikiwa duniani katika mipango yao. Tuendelee kusubiri.
  14. JamiiForums Tanzania Papa Mpya aayeitwa "Leo XIV" amkwepa mtu mwenye bendera ya Upinde 🌈 wakati wa kusalimiana

    Papa mpya aoneshq matumaini mapya dhidi ya watu wenye itikadi za ushoga, baada ya kumkwepa mtu mwenye bendera ya ushoga aliyetaka kurazimisha salamu wakati Papa huyo akisalimiana na watu Tizama video hii
  15. JamiiForums Tanzania Mitandao Inakula Wakati Wako, Haikupi Hata Mia – Tafakari!

    Siku hizi, watu wengi wanashinda kutwa nzima wakibenua simu, wakipiga scroll mitandaoni hadi vidole vinachoka – lakini mwisho wa siku hawana hata shilingi mia mfukoni, achilia mbali wazo moja jipya la kujiendeleza. Unamuona jamaa anaanza asubuhi na “Good morning fam!” halafu anapotea kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Unafanyaje kama mumeo anataka kumfukuza shambaboi wenu wakati wewe mazahausi hautaki shambaboi aondoshwe?

    Baba mwenye nyumba kashakomaa lazma shambaboi asepe kwao wewe lakn wew mazahausi hautaki shambaboi aondoshwe. Huu mtiti unaishaje wakuu?
  17. JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwenye akili timamu unasemaje ardhi ni mali wakati unafukia pesa huu ni ukichaa

    Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA siyo ya kubezwa ni Chama kikubwa na kikongwe sana Tanzania, Kilizaliwa Mwaka 1993 wakati huo CCM ikiwa na Miaka 17 tu

    GT. Kuna watu.wanakichukulia hiki chama masihara hao watu mi nawaita ni vipofu na hakuna wajualo. Hata huko CCM hawalali wanaposikia No Reform No election wanaijua nguvu ya Chadema. Mkakati wa CCM kinunua wapinzani utabuma mwaka huu, hii ni kutokana na Chadema kuendelea kuwa imara pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: wanaume wenzangu mnafanyaje fanyaje mpaka mnafika kilele haraka wakati Wa tendo?!!

    Nimeachwa na Wanawake wapatao Sita Sasa wakidai Kuwa nawakomoa sana wakati Wa tendo Maana nimekua sifiki kileleni nafanya kwa muda mrefu mno mpaka inakua kelo kwao, Mwanzo niliona sifa Lakini Sasa naona siyo sifa nzuri tena, nilimtembelea dokta mmoja nikamueleza jambo hili private aliniambia...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe tendo la ndoa? Tusaidiane wanandoa

    Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa Ndoa nyingi hivi sasa zimekuwa na shida sana hasa tendo la ndoa M n mmoja wa wanakamati wa jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…