wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nikiwa shule ya msingi tulikuwa na monitor wa ajabu sana(kwa sasa ni marehemu)

    Ninakumbuka nilikuwa nikifika darasani nalala juu ya dawati maana ilikiwa ni lazima kulala kama mwalimu hayupo na usipolala unaandikwa jina na kuna adhabu. Mimi pamoja na kulala nilikuwa naandikwa na ninachapwa fimbo na nilibaki na uchungu mno. Basi yule monitor aliniambia kama nataka asiwe...
  2. JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Abbas Tarimba, anajua uchungu wa mwana kuliko nyie, alishawahi kupoteza watoto wawili kwa mpigo

    Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019 alivyopoteza watoto wake wawili wa kiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi shanga za wanawake kiunoni huwa zinaongeza nini wakati wa sex?

    Kuna mtu nilikua namshughulikia usiku wa leo,kavaa mashanga kiunoni..binafsi mimi hayajanivutia,nimeona kama ni uchafu tu. So maybe help me to understand, hiyo mishanga huwa inaongeza nini wakti wa kukulana?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ana shida jimboni .... Afukuzwe CCM.... Aliahidi safari za Kawe/Japan... Hakuongea wakati wa Magu - Hoja ya mauaji bado haijajibiwa !!!

    Mzee Msuya - sio mimi nasema - Mzee Msuya mtu wao wa system kabla hajafa alisema watu wa CCM ni wadhaifu sana kwenye kujenga hoja. Bunge linasema: Mtu mwenyewe ana shida jimboni Afukuzwe CCM Aliahidi safari Kawe-Japan Kataja jina takatifu la mtoto wa Rais Angeweza kuyamaliza kwa ushauri wa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Watoto wanaposema uwapeleke kwenu wakati uliishi Kota, nyumba ya kupanga, ulipoishi pamekuwa sehemu ya biashara, n.k. unawajibu nini ?

    Sehemu ulipoishi ni kota, kuna familia nyingine imehamia Sehemu ulipoishi ni nyumba za kupanga, kuna wapangaji wengine Ulipowahi kuishi pamebadilika kabisa, sio tena sehemu ya makazi ni mji wa kibiashara kuanzia mafremu, magorofa, gesti, magorofa, n.k. Kijijini kwenu hawakujui au...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: Wakati wa Mwamba hakuna aliyenyanyua mdomo, tusiingilie maamuzi ya mama

    Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
  7. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA yamekosa Jambo Moja Muhimu. Chadema jirekebisheni! Huu sio wakati wa siasa nyepesi.

    Vyombo vya habari vya Nje ya nchi na Kimataifa vyote vinazungumza jambo moja kubwa. Jambo hilo ni ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu unaofanywa na Serikali ya Rais Samia. Vyombo hivi vya Kimataifa vimeripoti matukio makubwa kabisa ambayo yanaunda Makosa dhidi ya Binadamu na Ubinadamu. Makosa...
  8. JamiiForums Tanzania Dari katika Ukumbi wa La Plata wadondoka wakati wa onyesho la filamu ya Final Destination: Bloodlines

    Hadhira ambayo ilikusanyika kutazama filamu katika Ukumbi wa La Plata huko Argentina walipata zaidi ya walichokilipia wakati wa kutazama filamu ya Final Destination: Bloodlines. Katika hali ya kustaajabisha na isiyo ya kawaida, sehemu ya dari ya ukumbi huo iliporomoka katikati ya filamu—kiasi...
  9. JamiiForums Tanzania Unakumbuka chata gani ukiwa sekondari!? Nakumbuka hizi!

    Nikiwa 'O' Level nazikumbuka chata hizi: 1. Remember Kidiru 2. Akajesus 3. Chid 'B' Chid Boy 4. Mwakubombaki 'wagambo wanaruka' 5. Simple 'F' 6. Watengwa 7. Remember Maguhu Jr. 8. Mseminari 9. Mzee wa zamu 10. T. T. Okocha 11. Second Master Kivuli 12. Jay 'S' wa Bongo 13. Lafayetta Clan 14...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA huu ni wakati wenu kuandaa Taifa Lijalo

    Habari wanajukwaa hili pendwa kabisa la Jamii forums/Jamii Afrika. Siku zote taifa imara linajengwa na vijana imara na sio vijana wa ovyo ovyo! Mara kadhaa tumeshuhudia mifumo yetu ya kuandaa vijana imara kulitumikia taifa ikifeki kwa kuchezewa na watu wachache kwa masikahi Yao binafsi. Hebu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua

    24 May 2025 Mahmoud T. Kombo Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua.. https://m.youtube.com/watch?v=wJscmF_-oEw Waziri Kombo alikuwa akizungumza leo Mei 24, 2025, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa "system" kutumia mbinu zao zote kukwepa hii mitego miovu ya WEST (US) kuhusu nchi yetu.

    Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US...
  13. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa na Kitambulisho cha NIDA na cha Mkazi Zanzibar kwa wakati mmoja?

    Habari, Naomba kuuliza hili swali Kwa wajuzi wa mambo, Inawezekana kuwa na Kitambulisho cha NIDA na cha Mkazi Zanzibar kwa wakati mmoja?
  14. JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Freeman Mbowe alikaa gerezani wakati wa ile kesi yake ya ugaidi?

    Nimeanza kupata mashaka sana na sarakasi za huyu 'mpambanaji'. Alikuwa anapambania tumbo lake. Ni kweli alikaa gerezani kipindi kile?
  15. JamiiForums Tanzania TANROADS, TAA Shirikianeni Miradi ya Kimkakati Ikamilike kwa Wakati

    TANROADS, TAA SHIRIKIANENI MIRADI YA KIMKAKATI IKAMILIKE KWA WAKATI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameziagiza Taasisi ya Wakala wa Barabara (TANROADS) na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja kumsimamia Mhandisi Mshauri wa ujenzi wa jengo la abiria katika...
  16. JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama wife katosheka wakati wa tendo?

    Mara nyingi nikimaliza sijui kama yeye anakua pia tayarii msaada.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni documents 6 unazohitaji wakati wa kuandaa Financial statement.

    Kama wewe ni mfanyabiashara au Mmiliki wa Kampuni utakua unajua ni jinsi gani ni muhimu kuandaa Financial statement ya biashara yako kila mwaka. Ili uandaaji wa document hii uwe mrahisi, utahitaji kua na hizi documents 6; 1. EFD sales Hii utatumia ku track rekodi ya mauzo yote uliyofanya kwa...
  18. JamiiForums Tanzania VIDEO: Katika mila za Kalabari, bi harusi hatacheka wala kutabasamu hadi atakaporidhika na kiasi cha pesa anachomwagiwa wakati wa ndoa ya kitamaduni

  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Utumbo utupwe? Wakati wenzenu tunalia ndizi?

    Utumbo usitupwe. Sisi tunalia ndizi. Ni kitu kitamu sana. Na hilo nadhani wengi hamjajua. Naomba sana Serikali sikivu izingatie suala la kuhakikisha utumbo hautupwi na unatumika kwa sisi wapwani. Tunapenda sana kulia ndizi utumbo.
  20. JamiiForums Tanzania WAKATI YANGA WAMEVAA JEZI ZA VISIT ZNZ MKATUSABAHI HAMKUSOMA NYAKATI EEH ZAMU YENU KUVAA VISIT ZNz

    ZNZ N MOJA YA SEHEMU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WANA UWANJA UNAKIDHI MATAKWA NA SHERIA NA KANUNI ZA CAF HAKA KAUSEMI NIMEKAPENDA SANA KWENYE MAJIBU YA CAF.... NIRUDI KWENYE MADA WANA SIMBA WAKATI YANGA WANAVAA JEZI ZA VISIT ZNZ HAMKUWAELEWA EEEH YAANI NA WANANCHI TUMETENGENEZA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…