wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu binafsi siipendi hii tabia wakati wa kunyanduana au tuko wengi

    Wanajamvi habarini za asubuhi. Binafsi kuna tabia moja huwe siipendi wakati wa kunyanduana, sijui ni mimi tu ndo mhanga wa hiki kitendo au tuko wengi. Tabia yenyewe ni hii "sipendagi wakati wa kunyanduana baada ya kupizi eti mimi ndo nijifute na kumfuta yeye genye zilizomwagika badala ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kati ya walimu wa vyuoni (Lecturers) na wachungaji / matabibu / ustadh rapa, ni yupi anaelemewa zaidi na vishawishi vya ngono.

    Ma lecturer Katika elimu ya juu vyuoni huwa kuna mabinti wengi kuanzia miaka 18 hadi 24 hawana hatari kama wale wa sekondari mvua miaka 30 , wote hawa hatma yao kwa kiasi kikubwa huamuliwa na lecturer, inaweza kutokea binti kafeli somo hivyo yeye mwenyewe anaweza kumfata lecturer kuomba...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  4. JamiiForums Tanzania KERO TAZARA (Mfugale FLYOVER) kutofatwa sheria na utaratibu wa barabarani hasa wakati wa usiku imekuwa donda sugu

    Wanajamvi salaam, kwa kipindi nmekuwa mtumiaji wa barabara ya nyerere road inayopita Tazara hasa pale flyover ,wakati wa usiku kumekuwa na changamoto kubwa ya kutofata utaratibu wa sheria barabarani pale kwenye Junction ya kutokea airpot, taifa , au mjini na yale magar yanayotoka buguruni kila...
  5. JamiiForums Tanzania Pia unaweza ukamkiss lakini mwenzako bado aliona ni mapema sana

    Ni kuhusu mtoko wa kwanza ule (first date) Mtoto umemcheki umempenda na kumtamani pia , umepanga nae miadi umtoe out kwenye date. sasa vile unamrudisha kwao, kuna ile hali ya kuagana kwenye mtoko wa kwanza kuna ishu ya ku kiss na mara nyingi inabidi mwanaume ndio umpige busu. unaweza kudhani...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati ule wa Nuhu- ndio huu sasa

  7. N

    JamiiForums Tanzania Ya kina Mwandosya nayo yamepitwa na wakati! Angalau yupo!

    Eti anajiuliza Mwanasisasa anawezaje kumaliza PhD kwani anatumikia siasa na wakati huo huo anabukua! hawa ndiyo wale MaProf waliokuwa wakizingatia sana kupoteza muda mwingi wa kusoma Enzi zao ambazo hazikuwa na teknolojia kama ya sasa. Hawa waliamini katika kusoma kwa muda mrefu badala ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wahafidhina wanavyoiweka kwenye wakati mgumu ccm 2025

    Historia inatuonyesha na kusomeka kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vikongwe hapa barani Afrika vilivyobaki madarakani hadi sasa baada ya wimbi la kudai uhuru wa bendera, uhuru wa watu na rasilimali za nchi kumalizika kwa ufanisi wa hali ya juu sana. Makala ya wiki hii...
  9. JamiiForums Tanzania Kifo cha Hayati Dkt. Magufuli kimeipasua CCM. Je, huu ndio wakati wa wapinzani kutusua kisiasa?

    Alitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia. Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi. Kuna wanaCcm kumbe walifurahia kifo cha hayati JPM na hii inaonekana alikuwa kikwazo kwao. Ccm ya sasa imepasuka maana kuna...
  10. JamiiForums Tanzania "Wakati wa Baba na Wakati wa Mama"

    Imeandikwa unapokuwa na Warumi (Waroma), ishi na endana na tabia za Warumi. Lakini pia imesemwa yeye apendaye amani wakati wa vita basi dalili zi wazi kuwa atakufa au kujeruhiwa mapema. Kuna wale ambao leo wamebatizwa jina la "wahuni" ambao pengine hawakuwa wakionekana kuwa "wahuni" wakati wa...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA mtandao huu sio wakati wa kupambana na Polepole

    Kinacho nishangaza Ni kuona wanaharakati kuungana na wanaoitwa wahuni kumshambulia Polepole! Wamesahau kwenye siasa au harakati hua hakuna adui wa kudumu. Hata adui Alie kupiga jiwe Jana akitoka Leo na hoja yenye manufaa kufikia malengo yako anamuunga mkono faster ilimradi unajua amekusaidia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Walianzisha ugomvi wa mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo

    Siku kadhaa zilizopita, nilileta uzi hapa JF nikiwaeleza MATAGA kuwa kwakuwa wanamuhujumu Mama, kuna hatari ya Mama kjjbu mapigo kwa kuweka hadharani madudu ya Mwendazake kwani kinachoendelea ni kumfanya Mama aonekane hatoshi kumlinganisha na Mwendazake. Binafsi naamini hata hii habari yenye...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Bulembo acha kudhalilisha watu kwa kuharibu diplomasia wakati wewe ndio muharibu

    Kutokana na uchu na tamaa ya madaraka mzee wangu Abdalah Bulembo na wengine wanakuita alhaji ulitoa kauli ambayo iliishtua dunia na pengine dunia kuamini Tanzania ni nchi ambayo serikali inaua watu wanaohoji pesa za miradi Kufuatia mkopo wa benki ya dunia(WB) kwenye mambo mbalimbali ambayo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni tukio gani wakati wa kufanya sex ambalo ukilikumbuka huwa unacheka sana?

    Habari zenu? Miaka 11 iliyopita baada ya kuwa nimehitimu kidato cha sita, sikutaka kuendelea na chuo moja kwa moja,nikaona niingie machimboni huko katoro kutafuta maisha kwanza, nimechimba mawe sana huko, nilikaa takribani miezi 6 bila kuonja papuchi. Sasa bana siku flani nikasema ngoja...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ijitafakari, mawazo ya kuuza umeme nje ya nchi wakati hali ni mbaya ndani hayakubaliki

    Thread was deleted
  16. JamiiForums Tanzania Kweli Humphrey Polepole ni Taasisi tena Taasisi kubwa sana na yenye nguvu kubwa na ina uwezo mkubwa wa kufanya lolote wakati wowote

    WANA CCM: KWELI HPP NI TAASISI Majibu kwa Thadei Ole Mushi na wakereketwa wengine. *Wana CCM, sijui wana UVCCM povu linawatoka sana kwa hoja za HPP badala ya kujibu kwa hoja au kwa vitendo vitakavyorudisha imani na amani kwa Watanzania. Mnaparama awajibishwe na chama, serikali kwa kosa lipi...
  17. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa WanaCCM kuwakataa wahuni wanaoleta matabaka ndani ya Chama

    Kwa wana CCM wasio na “baba walezi” kataeni matabaka kwenye Chama chetu maana ndio msingi wa Usawa wa Binadamu ambayo ni Imani ya Kwanza ya Chama chetu na wanachama. Matabaka ni mbinu moja ya wahuni kukidhoofisha Chama chetu kwa maslahi yao, tuikatae tabia hiyo #kataawahuni.
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

    Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri. Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!! Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Mkuu hajatambua uwepo wa Mume wa Rais? Protokali ipoje?

    Mhe. Waziri Mkuu ametambua uwepo wa viongozi mbalimbali uwanja wa Uhuru huku akisoma list, lakini katika list hiyo Mme wa Mhe. Rais ajatajwa kama tulivyozoea wake wa viongozi wakitajwa katika hafla mbalimbali. Je amepitiwa au protokali haitambui nafasi yake? Au Mhe. Rais ndiye mwenye dhamana...
  20. JamiiForums Tanzania Naunga mkono Serikali kutaka Watoto wapumzike wakati wa likizo lakini....

    Mimi ni miongozi wa Wazazi nisiyefurahishwa kabisa na namna tunavyowachosha Watoto wetu kwa ratiba ngumu wakati mwingine kuliko hata tulizonazo sisi Watu wazima. Kuhusu likizo nadhani twaweza kuja na namna nyingine ya kwenda na Watoto wetu hawa bila kuendelea kuwaumiza...maana pia kama lengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…