wajuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KEKO JUU

    Msaada wa tiba ya tatizo la kushindwa kubana mkojo

    Habari za uzima wana JF! Mpenzi wangu amepata changamoto ya kiafya hivi karibuni. Hawezi kubana mkojo hata kwa dakika moja, ile feeling ya kukojoa ikifika mkojo unatoka wenyewe tu, hawezi kuuzuia. Hii changamoto ni nini, na inaweza kutatuliwa vp?
  2. Zee la madawa

    Msaada wajuzi wa mambo wa Uturuki

    Kwa wajuzi wa mambo ambao wameweza kuishi au kusoma au kwenda tu matembezini abroad hasa nchi ya Uturuki Je mji mzuri wa kuishi ambao maisha yapo cheap kwenye nchi ya uturuki Izmir, Bursar, Ankara, Antalya, Istanbul na miji mingine upi mji mzuri kuishi?
  3. canular

    Katika ulimwengu wa kiakili (wa kiroho wa juu)

    Jina la Mungu lenye herufi nane. Eloha Vadaath אלוה ודעת Jehovah Vedaath, יהוה ודעת Katika lugha ya asili. Malipo manane ya wenye heri.Ambao ni Wananchi wa Tanganyika Urithi. Kutokuharibika. Nguvu. Ushindi. Kuona uso wa Mungu. Neema. Ufalme. Furaha. Katika ulimwengu wa kiakili (wa kiroho wa...
  4. kiredio Jr

    Msaada Kwa wajuzi wa protocol za usahili katika Tume ya utumishi wa mahakama.

    .
  5. kiredio Jr

    Msaada kwa wajuzi: Je hizi brake pads bado zipo vizuri au zimekwisha?

    Wadau wa spare za magari, naombeni mnijuze kuhusu hizo brake pads kama bado zinaweza kutumika au zimeisha kabisa. Ni Toyota genuine parts
  6. TODAYS

    WAJUZI: Huyu Dada ana Cheo Gani Hapa?

  7. E

    Wajuzi saidia hapa Increment inaongezwa kwa utaratibu upi siku hizi!?

    Asiyejua asichafue tfdhl,,Wajuzi tusaidie.
  8. G

    Mwenye uzoefu ni bank gani hapa Dar naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?

    Habari zenu Wana jukwaa,,, Naomba msaada kwa yule mwenye uzoefu.Ni bank Gani hapa Dar(Tz) naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy? Au taratibu za kufuatwa ili niweze kulipia hiyo gharama kwa ajili ya mahojiano,nimeshajaza Ds 160 form,nipo kwenye hatua ya pili ya malipo...
  9. Surya

    Wajuzi msaada dawa ya asili kutibu Homa ya Matumbo (Typhoid)

    Jamani msaada mti gani unaweza kupambana na hawa wadudu, wanao sababisha homa ya tumbo ?? Kama kuna muhanga aliyetumia mti fulani ukamsaidia Tunaomba taarifa.
  10. M

    Wajuzi wa lugha, naomba kujuzwa maana ya neno "Ponjoro"

    Kama kichwa kinavyosema, naombeni mnijuze maana au tafsiri ya neno hili kwani nimelisikia siku za karibuni na bado sijapata kujua lina maana gani.
  11. MoroGent

    WAJUZI: Wachezaji Wanavaa au Kufunga nini Mkononi wakati wa Mechi

    Salam sana Wanajukwaa, Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiri mimi ni mpenzi wa mprira wa miguu, naangalia mechi za club za ulaya, Kimataifa na za Nyumbani apa NBC. Kwa muda mrefu nimekuwa nikichunguza hili jambo kwa muda mrefu na kuuliza watu kwamba ina maana gani, nimekosa majibu rasmi na ya...
  12. The unpaid Seller

    Msaada kwa wajuzi wa Sheria

    Salaam tutasalimiana siku nyingine Leo tuingie kwa topic chap chap, hakuna kupoteza muda harufu ya damu imenipanda. Nianze kwa yaliyonitokea miaka 6 iliyopata. Mwaka 2019 nikiwa mkoa Y nilipata tukio lililonoachia kovu kubwa sana. Nilikua na biashara mbili Moja ya pharmacy na dukani kuuza vifaa...
  13. R

    Wataalam wa nyota naombeni mnisaidie, hali hii imeanza kunitokea mara nyingi. Ulimwengu wa kiroho unajaribu kuniambia nini?

    Ni hali iliyoanza kunitokea mwezi uliopita, Mwanzoni nilipuuzia ila imekuwa too much sasa kiasi cha kunistua. Siangalii muda mara nyingi lakini katika mara chache nazoangalia muda nakuta mpangilio wa namba unaonipa mashaka Nikiangalia muda kunakuwa na namba mbili tu au moja zinazojirudia...
  14. FundiNgoma

    Wajuzi nawezaje ku solve hili tatizo

  15. Doto12

    Huyu washawasha anatokana na kitu gani. Wajuzi naomba maelezo

    Huyu nilimkuta kwenye tiles. Nashangaa anatokea wapi Naomba wale waelevu wanipe msaada asitokee tena
  16. Mwachiluwi

    Msaada wajuzi wa simu na telegram

    Kuna kitu nataka kuangalia hapa sasa inaonyesha ivi kama unajua nielekeze hapa au kama hapa uwezo pm iko wazi msaada
  17. Faana

    Wajuzi wa Injili hii 7x70 kwa lugha yao iliandikwaje

  18. Faana

    Wajuzi Hapa ni Wapi?

  19. rubii

    WAJUZI WA SHERIA NAHITAJI MSAADA.

    Habari wanajukwaa, nina hii sakata nahitaji msaada wa mawazo nini kifanyike. Nilikua na nimeajiriwa kwa biashara ya mtu, mzigo/malighafi nachukua kwa watu watu kwa mali kauli na mwenye ofisi alikua anafahamu. Baada ya mda mwenye biashara kanigeuka kwamba yale madeni ni yangu binafsi sio ya ofisi...
  20. Zee la madawa

    Hivi kuna ishara yoyote ya kiimani ukiwaona polo wengi? Wajuzi wa mambo nielewesheni

    Aisee hivi kuna ishara yoyote ya kiimani ukiwaona popo wengi sana? Aisee leo nimejikuta nimepigwa na mshangao kiukweli wakuu maana kuna sehemu nimekaa chini ya mti nikawaona popo wengi sana Wanaruka ruka then wakaishia juu ya mti ambapo mimi nipo wametulia aisee! Sasa nauliza kuna ishara yoyote...
Back
Top Bottom