Leo naomba tuweke vyeti vyetu vya chuo na zile "A" zetu za sekondari pembeni, tuzungumze ukweli unaouma. Nimekuwa nikifanya uchunguzi wangu binafsi na kugundua jambo moja la kushangaza sana mitaani:
Asilimia kubwa ya watu tunaowachukulia kama 'watu wa kawaida' au wasio na uwezo mkubwa wa...
Walipokuwa wachache mlisema hawatafika popote kwa maana mliona hakuna vision kati yao, hakuna logic kati yao.
Lakini wajinga hawajui kujitilia mashaka, watalaumiana wao kwa wao mara nyingi sana lakini hawawezi kuangushana katika kuifikia plan yao, wataua wachache watakaojifanya wana akili zaidi...
Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
Hakuna serikali ya kijinga namna hiyo.
Mange Kimambi anazusha Mafwele kabakwa halafu anasema serikali ikanushe na Mafwele ajitokeze.
Kigogo 2014 anazusha Rais kafa, mnafurahi na kujifariji. Mkiona kimya anatokea Lema na Maria Sarungi mjaa laana wanasema serikali iseme Rais yuko wapi.
Anatokea...
Prof. Suleiman au Solomon alisema hivi 👇👇👇
CHADEMA na wapinzani wana sifa ya kuitwa wajinga, tena wajinga sana. Maana kuna vitu ambavyo hata ukitumia akili ya Darasa la 3 tu unajua hiki kitu ni uongo kwa 100% lakini wao wanameza kama kilivyo.
Jumapili njema.
Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji.
Hatua hii itajenga uongozi bora wa kisheria na kuwepo kwa uwajibikaji mzuri na kuhakikisha usalama wa rasilimali za nchi, vinginevyo mtaona mambo...
Leo hii hii nchi ni mali ya familia na koo za wanaCCM.
Familia za akina Kikwete, Samia, Mwinyi Nyererere na hat akina Jenista Mhagama ndio wanarithishana madaraka ya nchi hii.
Wewe mpuuzi ambae huna mbele wala nyuma CCM ya nini kwako?
Hii ni special kwa wanaume wajinga wajinga wasio jielewa wale familia yake inaendeshwa na mke wake.
Hawa mara nyingi sana husema mwanamke kama anataka kukuchiti atachit tu hata kama umchunge namna gani.
Wanaume hawa huwapa hela wake zao wakafanyiwe massage 💆♀️ (waogeshwe na mwanaume mwingine)...
Dar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini.
Mvua za Morogoro ndio mkombozi wetu. Milima ya Uluguru ndio kimbilio letu. Sasa naomba kuuliza, huko...
Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles...
Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati.
Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na...
Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa account wakati kaifunga makusudi Kwa maelekezo ya Samia baada ya kupewa mpunga kama kweli kafungiwa...
Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila...
Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba.
Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya.
Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine.
Sasa mjinga...
Mimi siisapoti CCM ila ni Mwafrica mwenye IQ kubwa Sana
Najiuliza na nacheka
Mange , Dangwa n.k hawa vilaza kweli wanaweza kukomboa nchi.!!!?
Mkiendele na huu ujinga wakuwasikiliza watu waliojikatia tamaa na wajinga mtakuja kupata shida ya Akili
Yule Mange kilaza aliyevujisha video ya prof...
Samahani sana kama nitawakwaza kwa kusema 'Tanzania ina vijana wajinga sana'.
Chanzo chao cha habari za kuaminika ni Millard Ayo.
Chanzo chao cha maarifa na Elimu ni Mange kimambi.
Vijana wa Tanzania waliamini kwa 80%-90% au zaidi kuwa Tarehe 29 September jeshi la ulinzi lingekwenda kuipindua...
Hivi hizi POROJO za Mwigulu ni kwasababu anajua Watanzania ni WAJINGA na wataami au hawana jinsi watakubaliana naye TU
Au HAJUI kwamba Watanzania sio WAJINGA tena na WANAJUA wanachokipambania?
Hii ni article ya Cezary Pietrasik; Nachelea kusema ni kweli kuna rise of Mass Stupidity na Decline of Critical Thinking inayosababishwa na information overload hivyo watu kuacha kutumia muda wa kuchambua mambo badala yake kuachia wengine wawaze kwa niaba yao.
Article by Cezary Pietrasik:
Key...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanzia katikati ya jiji la Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA hadi Gongo la Mboto kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika...
Kwamba kuna mataifa ya jirani tena ndani ya jumuia ya Afrika Mashariki yanaonea wivu rasilimali za taifa letu.
Makaa ya mawe, chuma cha Liganga na Mchuchuma, Bandari ya Dar es salaam na Gasi ya Mtwara.
Ndio maana haya mataifa ya jirani yakawachochea wananchi kuingia barabarani kabla hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.