Ndugu Familia salamu kwnu nyote bila.kujali itikadi zenu za Kisiasa ,Kodini,nafasi zenu kiukwasi na hata kikabila na ukandaa.
Jana jioni nimepata nafasi ya.kimsikiza Ndugu Chacha huko Iringa ameongea mambo mengi ikiwepo utenguzi wa aliyekuwa katibi wa Ccm Iringa sema sio hoja yangu
Hoja...
Msemaji wa Timu za Taifa Haji Manara amesema wasemaji wasipewe lawama mashabiki kutokuja uwanjani na hata kipindi yeye akiwa msemaji alikuwa anapata shida mpaka anaroga ili tu mashabiki wajae.
Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko.
Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi.
Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu.
Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila hajaeleza kwa nini waziri mkuu na makamu wa rais hawawezi kwenda mahakamani.
Kwa ninavyoona, Waziri...
Kituo cha Afya Kadashi kipo Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Kata ya Maligisu Kijiji cha Kadashi kina Watumishi 12 ambao ni Co 3, NO 1, ANO 3, EN 2, MAT 2 na CA 1.
Mimi ni mmoja wao, nimeamua kueleza changamoto tunazopitia kwa sababu hali iliyopo imekuwa ngumu kwetu watumishi na inaweza...
Anonymous
Thread
afya
kituo
kituo cha afya
kufanya
mwanza
ukaguzi
ukaguzi kituo cha afya
utendaji
viongozi
waje
wilaya
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nimemuona Mwaipopo akiwa amekusanya vijana watoto wa watu wasio na hatia akiwaita kundi la mbwa mwitu la kutahiri watanzania bila ganzi
Hakika nimesikitika sana kwa kweli nimewaonea huruma hao vijana kesho na kesho kutwa akaingia rais...
Anaandika Max Mello
“Leo, Juni 11, 2026 nimepata ugeni wa vijana kutoka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Law School)
Walionitembelea ofisini kutaka kujifunza masuala mbalimbali
Tumekuwa na wakati mzuri na kushirikishana masuala
Mbalimbali huku wakipata kujua shughuli...
Yangu ni hayo tu, leo sijisikii kuandika gazeti kubwa la Serekali kwa mada za kueleweka km hizi ili nikuchoshe sio vizuri kabisa mimi sihitaji kukuchosha mkuu, nimejisikia kukukumbusha tu.
Sasa wewe kaza hilo shingo lako tegesha hilo fuvu usitafute hela halafu uone km kuna ndugu atakutembelea...
Jamaa wameimgia Mitini kwa sababu WANAJUA Watanzania tunawasubiri kwa Hasira walete ushenzi wao wa kutupia jumba bovu Chadema ya Lissu.
Sasa wameona wataingia kwenye 18 za WATANZANIA.
NAO Wameamua kuingia Mitini, Lengo wanataka kusubiri MAHAKAMA YA SAMIA SULUHU, Mahakama ya kipuuzi, itoe...
Unawazoesha askari kuua kwa kuwapa laki mbili mwishoe waje kukuua na wewe wakizoea na watapewa laki mbili na mtu mwengine shetani hana rafiki.
Suala la mauaji yanayoendelea na utekaji litakuja kumgharimu na yeye hivi karibuni shetani muuwaji hana rafiki hatukupaswa kupuuzia katiba ya nchi ni...
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.
Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.
Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
Mnanahangaika sana
Hili nalo litaongeza hasira zaidi kwa wananchi, mmewapiga na kuwazalilisha vijana wa watu leo mnataka kuwaweka mbela ya camera kumshukuru na kumpaka mafuta mhaini kwa kuwatoa ndani .?
Haya mambo ni kufa kufaana!
Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa!
Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji huku mkimlinda kwa kufikisha ujumbe)
Wakuu lazima waje meza ya mazungumzo waweke dau!
Wote hawawezi...
GT
Watanzania tu watu wa ajabu sana utasikia ohh wazungu wamesema hivi mara vile unadhani wazungu wanaumizwa na haya yanayoendelea kwenu?.
Hawa jamaa ni opportunities wataandika tu matamko kutimiza wajibu ila ukweli ni kwamba kama ninyi watanganyika hamtakuwa tayari kuamua hatma ya nchi yenu...
Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa.
Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori.
Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya...
Tunaawalika Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa toka popote Duniani waje kushuhudia Chama Chenye Sera ya Kula Misosi (CHAUMMA) wakishindwa kihalali. Karne ya 21 unapiga kampeni ya Kula ubwabwa. cCM wakishinda unalia lia.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla