TCRA wakishazima line za simu waje mitaani sasa kuna kaujanja kanafanywa na hawa vijana wanasajili line mtaani.
Tena ni hatari wanayofanya hawa vijana wasio waaminifu sijui ni tamaa ya pesa au njaa yao.
Hapa tuwe makini tunaokwenda kusajili hapa kuna mchezo wanafanya usipokuwa makini unaweza...
Waziri wa mambo ya nje Prof. Kabudi amehudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti ya Building Bridge Initiatives (BBI) nchini Kenya ambayo imehudhuriwa na viongozi wote wakuu wa Jamhuri ya Kenya.
Miongoni mwa mapendekezo ya BBI ni haya:
1. Uwepo wa cheo cha Waziri mkuu ambaye ni lazima awe Mbunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.