wahuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wahuni wa CCM na Zitto Kabwe wameungana kumchafua hayati Magufuli. Wana kisasi sababu alizuia mianya yao ya kufanya ufisadi

    Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT. Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa...
  2. JamiiForums Tanzania Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

    Soma ujiSWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
  3. JamiiForums Tanzania Tofauti ya wahuni na wazalendo/wanamapinduzi kuongoza wizara

    Utasikia 'rea kuna utapeli mwingi ukome mara moja. Kazi hazikamiliki vifaa vinaibiwa. Kampuni hizo zisipewe tena kazi' 😂😂. Usanii mtupu akisema hivyo ndio imetoka. Wananchi wanahitaji mawaziri wenye uchungu wanachukua hatua. Kwanza kutolea maelezo kinagaubanga mapungufu na hatua za papo kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Wahuni hawatashinda, CCM ni taasisi kubwa inayoweza kupambana na wahuni.

    Kitu kimoja nina hakika ni kwamba wahuni hawatashinda lakini kitu kimoja nina imani kubwa sana ni kwamba ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee ndio kina uwezo wa kitaasisi na kidhamira wa kukabiliana na wahuni. Kazi ni kwetu wana CCM. #ujamaaniimani #kaziinaendelea #kataawahuni...
  5. JamiiForums Tanzania Wahuni wenzangu wa JF ningependa tutambuane wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Natumai ndani ya JF tuna watu smart & peace kabisa, sasa ningependa tutambuane please. Kama wewe ni muhuni mwenzetu hebu dondosha signature hapa chini mkuu. Nawasilisha.
  6. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli, CCM ingewezaje kuwepo madarakani mpaka leo hii bila uhuni na wahuni wake?

    Kwa sasa kumekuwa na vita kali ya maneno, dhihaka, majigambo, vitisho na kebehi mbalimbali baina ya makundi mawili ndani ya CCM, kundi moja likiunga mkono utawala uliopita wa Magufuli (huku likikosoa vikali utawala wa sasa wa Samia) dhidi ya kundi linalounga mkono utawala wa sasa wa Samia (huku...
  7. JamiiForums Tanzania Upo uwezekano kuwa Lissu alipigwa risasi na wahuni ili Magufuli achafuke

    Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli. Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bulembo: Polepole ni Unyasi kaletwa CCM na kokoro, V8 ameijulia CCM, Bashiru alitoka CUF. Nataka Mdahalo na Polepole

    Maneno ya Bulembo! Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye. Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi. Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaoitwa wahuni Mungu alishawakataa. Kama nchi hatuwezi kurudia tena makosa yale -- never!

    Friends and Enemies, Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen.. Katika maisha epuka sana kujiona kuwa upo juu ya wanadam wenzako na kuwadharau hususan unapopata mamlaka juu yao,au ukwasi kuzid...
  10. JamiiForums Tanzania VIDEO: Kiashiria cha mtu muhuni na asiyefaa kuaminiwa na Jamii yoyote iwayo duniani

    Je! inawezekana Mtu anayetutukania mama zetu wa kutuzaa Yeye akawa sio Muhuni ? #HUYU SASA NDIO MUHUNI WA WAHUNI MSIKILIZE KWA MAKINI,
  11. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa WanaCCM kuwakataa wahuni wanaoleta matabaka ndani ya Chama

    Kwa wana CCM wasio na “baba walezi” kataeni matabaka kwenye Chama chetu maana ndio msingi wa Usawa wa Binadamu ambayo ni Imani ya Kwanza ya Chama chetu na wanachama. Matabaka ni mbinu moja ya wahuni kukidhoofisha Chama chetu kwa maslahi yao, tuikatae tabia hiyo #kataawahuni.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia usiwasikilize wala kuendeshwa na wahuni simama na Ilani ya CCM

    Huu ni wito. wapo wahuni huku mtaani walioanza kujitanabaisha na kujipendekeza kwako yaani wakijidai wamerudi kwenye "game"na wakitumia jina lako. Sisi wazalendo tunakujuza kuwa hao ni wahuni tu na ni watumia fursa. chapa kazi na kazi iendelee na kamwe wasijitwike ujuaji eti wanasaidia au...
  13. JamiiForums Tanzania Wahuni wakiachwa watambe bei za kila kitu zitapanda

    Kama wahuni wanaosemwa na Ndugu Polepole wakiachwa tutashuhudia kila kitu kinapanda bei na kila inayoitwa leo tutashuhudia upuuzi tuliowahi kuondokana nao. Bei ya mafuta ya kula na ya magari zitapanda kwa saabu ya wahuni. hii itapelekea chaos nchini kwa kupanda kwa kila bidhaa na gharama za...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Katikati hali ya kushangaza na rushwa ilivyokithiri mamlaka za mkoa wa Tabora zadaiwa kuruhusu Kanisa kujengwa katikati ya barabara

    Katika hali ya Kushangaza sana mamlaka za mkoa wa Tabora zimeruhusu kanisa la wahuni kujengwa katikati ya barabara na kuziba barabara katika mtaa wa Kariakoo , kata ya Kitete , wilaya ya Tabora mjini , mkoa wa Tabora . Licha ya kikundi hicho kinachojiita kanisa kutokuwa na kibali cha ujenzi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Tulichongewa tulisimangwa na tulisingiziwa na kunyanyaswa lakini nashukuru Rais Samia ameujua ukweli

    Mbunge wa Nzega vijijini Kigwangalla ameandika kwenye ukurasa wake twitani kwamba, Tulionewa Tulisimangwa, Tulisingiziwa na Kunyanyaswa na watu waliokuwa na access lakini sasa mambo yao yako wazi tena yana ushahidi. Namshukuru Rais Samia kwa kuliona hilo. Kiukweli Lumumba moto unawaka sawia na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nitamsaidia Humphrey Polepole kutaja wahuni(Hooligans) ambao sio tu hawakumalizwa bali waliongezeka awamu ya tano mara 100 zaidi

    Mh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao. Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa CCM. Pili Mh Polepole hakatai kuwa Wahuni hao (Hooligans) ni viongozi ndani ya chama na wengine...
  17. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli na serikali yake hawakumaliza wahuni "anonymous" wanaolisumbua taifa letu

    Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo. Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
  18. JamiiForums Tanzania Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

    Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki? Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara. Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza...
  19. JamiiForums Tanzania Shaffih awaita wachezaji wetu kikundi cha wahuni, huu udhalilishaji tumeuchoka sasa

    Leo nina swali moja tu, nani anamtuma shaffih kuitukana na kuisakama Yanga? yaani wachezaji wetu wahuni? Huyu inabidi afunzwe adabu kwanza
  20. JamiiForums Tanzania Ukwepaji huu wa kodi kwenye minada, Serikali na TRA Mnazidiwa mbinu na Wafanyabiashara Wahuni?

    Umofia kwenu. Nimesoma makala moja imenisikitisha kidogo Kuhusu ukwepaji kodi unafanyika kwenye biashara za minada huku TRA ikiambulia hasara. Haiingii akilini mfanyabiashara akadhamilia kukwamisha mnada kwa kutaja bei kubwa alafu anatokomea na nyie mlioandaa functions mnaishia kula hasara za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…