Wakuu,
Hili la Mkuu wa Mkoa kuwaita Wachina wahuni nyie wenzangu mnalionaje?
Mkisikiliza huko mwisho anasema:
"Sasa hawa ni wahuni. Pengine nyie mkiona hizo sura mnadhani hawa ni Wachina wa miaka ile ya yule mzee muasisi wa China. Hawa sio. Hawa ni wahuni kabisa hawa. Sijajua tunafanyaje...
Chama cha CCM kimeharibika wahuni wamekivamia na wananchi wamekikataa lazima tutakifuta.
Kama kina waharifu na wananchi wamekikataa hakitaweza kusalia kwa muda mrefu kitafutwa sio kwamba mimi nimesema bali kitafutwa kwasababu ya rushwa, uongo, mauwaji na utekaji nyara ili kusafisha nchi upya.
Wakuu salamu hamna hapa , nawauliza nyie wahuni mmejifunza nini!
Mzee Mtei kafariki ila legacy ameacha sio ya kuigwa, pamoja na mapesa yote ila mzee katuacha.
Bumbavu CCM
Jana tarehe 21 hapa Mbeya hawa vijana wa Chadema walikuwa na shughuli zao za kumbukumbu ya miaka 33 ya chama chao , kama kawaida walipita pita kwa wadau wao kuomba kuchangiwa na kukaribisha watu wajumuike nao , Tunaishi nao vizuri sana wengi wao ni wahangaikaji kwa haki na jasho hivyo huwa...
Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend.
Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi .
Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu.
Ok, tuseme hakukusudia kuleta vurugu. Huyu mtu ana kosa la kuiharibu na kuipotezea hadhi fedha ya Tanzania.
Hii fedha...
Wakati waandamanaji wakijitokeza mitaani kila usiku nchini Iran, viongozi kutoka maeneo mbalimbali duniani wanakutana na hali ya kutokujua ikiwa Jamhuri ya Kiislamu inaweza kuangushwa — tukio muhimu ambalo litabadilisha siasa za kimataifa na masoko ya nishati.
Utawala wa Kiongozi Mkuu Ayatollah...
Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni.
Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole.
Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni?
Hyocrites pharisees
Kwa Huu Utekaji na Mauaji yanayoendelea Nchini .
Lazima utakubaliana namm kwamba, Mauaji ya Raia Okt 29, yalikua yamepangwa tu yaan ilikua lazima Samia apachikwe Urais.
Akina nani hawa walioko nyuma ya huo Mpango?.
H POLEPOLE Alitutajia Wahuni, ambao Kwa Sasa Mkono wao wa Rushwa umetafuta...
Ndugu zangu Habari !!
Bado tunaendelea na Mapambano ya kuhakikisha Hawa Wauaji walotuua hawatutawali.
Hatupo kimya, Ni Mbinu tu tumebadilisha
Je Mnajua kwann Chawa wa CCM wanajifanya suala hili liloamuriwa na Mahakama ni kama hawalioni?? Hawalipi Uzito?.
Miaka yote , CCM na magengen Yao...
Moja kwa moja.
Kwa utafiti usio rasmi ;
Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange
Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza
Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo ...
My people,
Kwa kila mwanaharakati ambaye anaikosoa Serikali hakika anajua matokeo au madhara ambayo atakutana nayo leo au kesho
Ndio maana comrade Pole pole alijua na alikuwa tayar kulipia gharama hiyo ,kuonyesha kwamba alikuwa tayari kwa lolote litakalo mkuta akaamua kubakia hapa hapa hali...
Kuna nguvu inayotumika kwa gharama na kodi zetu kwa so called wahuni; ingawa nadhani huenda wahuni halisi wala hatuwagusi, nadhani busara ni kusikiliza hawa so called wahuni hoja zao kama zina mashiko, ukizingatia wahuni hao tunasema wengine wapo nje na wengine tayari wapo gerezani, lakini...
Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama
hiyo.
Hiyo ni kwa mujibu wa...
Hapo vip!
Viongozi wa kiafrika wengi huwa wanajiona ni watu special sana na wanauwalali wa kuishi kuliko mwananchi yeyote,hii tabia inatafsiri jamii ambayo bado haijastarabika na ambayo bado haijajikamilishi kuishi kama mwanadamu halisi.
Kuna mzungu aliona yale mauwaji ya tarehe 29 Oktoba...
Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto.
Kwa kifupi tushawashinda wanabaki kubweka bweka hasa huyu mzee wa ufafanuzi amebaki na mipasho tu. wataenda kunyea debe soon.
Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/
Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
ccm
hii
icc
katika
kimataifa
kutuma
mahakama
mahakama ya icc
mauwaji
naomba
serikali
serikali ya ccm
tuendelee
tumia
ushahidi
wahuni
watanganyika
watanzania
wazalendo
wote
Wanaiba mali za umma, wanauza hovyo rasilimali za taifa. Hawataki tuwaambie ukweli kwamba hii nchi ndiyo kwetu. Mukiitapanya leo tutaishi wapi kesho? Watoto wetu, wajukuu na vitukuu na vizazi vijavyo, wataishije kesho kama hamzingatii leo yetu?
Tukiwaambia hawatusikilizi. Wanatuteka...
Nye Nye wala msibabaishwe na masheikh ubwabwa hao. Twawajua na uroho na ulafi wao. Wakikusemeni nyamazeni. Wala hatukuwatuma. Uislamu hautaki haramu. Siye tupo kuipigania khaki hadi dahari. Inshallah mwenyezi Mungu atatupa kheri kwenye hili. Nye mwaona madevu mwaita sheikhe au mwaona kilemba...
Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
bila
dola
fake
huru
kufanya
kujali
kuondoa
kupambana
kushinda
maridhiano
mda
mikononi
mtu
sana
tafadhali
umri
vyombo
vyombo vya dola
wahuni
wako
wapi
watawala
wenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.