wahudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR

    Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR, leo wamehitimu mafunzo yao ya wiki nne tayari kuanza majukumu yao Februari 02, 2026 Mafunzo hayo yaliyolenga kuwapa maarifa na stadi ili kuleta tija, yalijikita katika maeneo mbalimbali hususani katika kuwahudumia abiria kwa...
  2. A

    KERO Serikali iingilie kati! Wauguzi na Wahudumu wa Afya wa Muhimbili, uongozi haututendei haki, hali yetu ni tete

    Tunaleta kilio chetu kwa Serikali na Mamlaka husika kwa kuwa watendaji wa huko wameshindwa kutusikiliza. Wakuu wa Idara kutoka Kurugenzi ya Uuguzi, wamekuwa na tabia ya kujiweka kwenye posho za NHIF na IPPM. Mgao wanaopata wao ni mkubwa kuliko watoa huduma waliohudumia wagonjwa. Ili hali kwa...
  3. KERO Kero: Wahudumu wa shoppers Arusha mna kauli chafu

    Shoppers sikuizi wahudumu wenu wana wajali sana wazungu kuna ka ubaguzi pia wahudumu wana lugha chafu una uliza ili upate kujua ila unajibiwa kama una fukuzwa kwamba usirudi tena hapa Ipo hivi mimi nilikuwa nimeingia nimenunua vitu vyote sasa nikawa natafuta zile manda za sambusa sizioni ila...
  4. Rehema: Wahudumu wa mochwari waliotoa siri za mrundikano wa maiti wametekwa

    Kama kawaida, wahudumu wa mochwari waliotoa siri za maiti waliorundikana kwenye mochwari zao kufuatia mauaji ya halaiki ya tarehe 29 Oktoba hadi tarehe 05 Novemba wameanza kutekwa mmoja baada ya mwingine. Hii ni baada ya shirika la habari la CCN kujiandaa kutoa dokyumentari inayohusu mauaji haya...
  5. W

    GE2025 BBC Swahili: Wahudumu wa afya ikiwemo madaktari wameeleza kuna magari yamekuwa yakichukua miili na kuipeleka kusikojulikana

    Wakuu BBC wamezungumza na watu kutoka kada ya afya ikiwemo Madaktari kutoka hospitali binafsi na za serikali ambao awameeleza kuwa kumekuwa na magari yanayoenda kuchukua miili na kuipeleka kusikojulikana. === Toka kutokea kwa vurugu za maandamano wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, baadhi...
  6. Kuna bank moja hapa Tanzania inaendeshwa kikabila, wahudumu wake zaidi ya asilimia 95% ni wa Kabila moja, wana kauli mbaya na wezi wa fedha za wateja

    Kuna bank moja hapa Tanzania inaendeshwa kikabila, wahudumu wake zaidi ya asilimia 95% ni wakabila moja, wanakauli mbaya na wezi wa fedha za wateja Kila tawi lao utakalofika hapa Tanzania wahudumu wake ni wa kabila hilo hilo moja Kauli zao kwa wateja ni mbaya Wanachukulia wateja kama omba omba...
  7. N

    KERO Sekretarieti ya Ajira /Ajira Portal Wahudumu wenu hawapokei simu

    Hii ni changamotoni kubwa sana. Hawa jamaa wa huduma kwa wateja wa Ajira Portal unaweza kuwapigia tokea asubuhi hadi jioni na simu haipokelewi na mbaya zaidi namba yao sifo free kupiga kwahiyo unapopiga dakika zinaenda. Naomba wahusika wajaribu kuwapa elimu watoa huduma wao tafadhali, wawe...
  8. Airtel Money sio salama. Nimebadili neno la siri bila Kuhojiwa taarifa zozote Muhimu na wahudumu kuhusu Account yangu

    Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili. Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine? Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭 Sidhani kama...
  9. D

    KERO Wahudumu wa kivuko cha KIGONGO -BUSISI Mwanza wanadhulumu wananchi

    Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi, Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi...
  10. B

    Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

    Kwema wakuu. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania. Weka la bar, mtaa ilipo, wilaya na mkoa. Naanza Mimi : ONE POINT ipo Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam.
  11. Mgahawa maarufu hapo Tabora maarufu kwa 'chotara" wahudumu awajali wateja

    Katika majukumu yangu ya kila siku leo nilipita Tabora mjini nikielekea mpanda Katavi katika hali ya kupata chochote kitu ikanibidi niulizie mgahawa ambao ninaweza kupata chakula kizuri, kulingana na uchumi wangu. Wenyeji wakanielekeza eneo lile Kuna mgahawa Al maarufu kwa "chotara" kwa nje ya...
  12. Kwa muujibu wa sheria ya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1 kinaeleza waajiriwa wa vyombo vya habari kusoma na sio mtu wakawaida haruhusiwi kutoa

    Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1, Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
  13. KERO Ofisi ya TRA Mafinga ina huduma mbovu, wahudumu wana dharau wateja

    Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako kuhudumia nje ya ofisi hivyo tuendelee kusubiri. Hii hali ni kero sana nimeuliza wateja wengine hapa...
  14. Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

    Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously? Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi? Aibu sana kama...
  15. B

    Wahudumu wa Mwendokasi Kivukoni jirekebisheni, muwe na kauli nzuri na tafuteni tiba ya kukosa "chenji", ni kero kwa Abiria

    Pale Kivukoni sehemu ya kukatia tiketi katika Kituo cha Mwendokasi pa hovyo sana. Kwanza abiria ni wengi wanasongamana mno wanagombea tiketi. Mtu unakomaa kwenye foleni hadi unafanikiwa kufika dirishani, hapo unakuwa umepambana hasa. Sasa unafika dirishani unataka ukate tiketi fasta fasta...
  16. Safari pub ni uwozo. Wahudumu jikoni ni wapumbavu

    Uzi huu hauna maana kuharibu biashara ya mtu yoyote. Kwa sasa biashara ni ushindani haiwezekani kuna shida tubung'ae kama mazombi. Kinyerezi imefunguliwa casino. Lazima mfanyabiashara uwe na customer servece nzuri. Hawa mabintinwa safari pub Kinyerezi mwisho upande wa jikoni hawafai kuwepo...
  17. Swali kuhusu Wahudumu wa Ndege/Treni

    Hakika umeshawahi kuwaona walimbwende hawa wakiwa wamependeza, watanashati, warembo na kutembea mwendo wa madaha ndani ya ndege ama treni. Achana na hawa wa mabasi wapakua mzigo na walegeza sauti wa mabasi unaowajua. Namejaribu kuwaza ushindani wao, kila siku totoz kali batch zinatoka za...
  18. Hizi hospital za serikali omba Mungu sana usipelekwe huku ukiwa serious. Unaweza kufa na wahudumu wa afya Wala hawajali

    Niko hospital ya wilaya ya Butiama mda huu. Mama yake na rafiki yangu amepata ajali ya pikipiki, mguu kuanzia kwenye mapaja mpaka kikanyagio haufai, nyama hakuna mifupa Iko nje. Picha linaanza anafikishwa hospitali anawekwa pembeni mnaambiwa daktari hayupo, hamna huduma yoyote na ukimuangalia...
  19. Waliooa wahudumu wa bar waje hapa kutoa ushuhuda

    Wazeee tuache utani mimi nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa Dodoma jina naweka kapuni. Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sana wakuu namkubali mbaya. Wacha nijitoze wenda akatulia
  20. L

    Mrejesho: Wahudumu wa afya ngazi ya Manispaa ya Bukoba mkoa wa Kagera tunawashukuru sana JamiiForums

    Kwa Niaba ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii (C H Ws) BUKOBA MANISPAA, MKOA KAGERA. Tunawashukuru sana Uongozi wa JamiiForums . Baada ya kuripoti changamoto yetu February 2024 ya madai Ya posho ya uhamasishaji wa ugonjwa mlipuko wa Murbug Tangu March 2023. Hivyo changamoto yetu ilitatuliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…