wahaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ifike hatua tukubali wahaya wana IQ kubwa sana

    Tusimung'unye mung'unye maneno. Kama ulikuwa makini kipindi unasoma, lazima uligundua kuwa kwenye kundi la wale wanafunzi smart darasani lazima mhaya alikuwepo. Ukiangalia % kubwa ya maprofesa bongo ni wahaya. Zile ndizi zina nini? Nadhani zile ndizi zinaongeza maji na IQ
  2. Senene kutoka Bukoba

    ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ฒ ๐˜€๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐—ป๐—ฒ ๐—ณ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—•๐˜‚๐—ธ๐—ผ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฒ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐—ง๐˜€๐—ต. ๐—จ๐—ท๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ป๐—ถ ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐—ด. ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ฝ๐—ผ ๐——๐—ฎ๐—ฟ, ๐—™๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ ๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜†: ๏ฟฝS๐—ถ๐—ป๐˜‡๐—ฎ, ๏ฟฝM๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ, ๏ฟฝM๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๏ฟฝM๐˜„๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ. ๐—บ๐—ธ๐—ผ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐—ฝ๐—ถ๐—ฎ. ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ. ๐—ง๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿฒ๐Ÿฏ๐Ÿต๐Ÿฎ๐Ÿณ๐Ÿฏ๐Ÿฑ๐Ÿฌ ๐˜๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฒ. ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚๐—ป๐—ถ...
  3. Mipango ya Wahaya kuishi kama wazungu 1950

    Buhaya we should rule ourselves and live like the developed countries and there won't be shame like there is today. Je, umewahi kusikia watu wakisema kanyigo ni ULAYA ndogo? Utangulizi. Mji Bukoba au Bukoba ya Leo ya mwaka 2019,hayajapishana sana na mji wa Bukoba wa mwaka 1915 wakati wa...
  4. Nguvu ya kielimu kwa makabila kama wahaya waliyotumia kujazana maofisini inapungua, Wakiendelea kutegemea ajira wamekwisha !! wajipanue kibiashara

    NB: Wachaga wameelimika ila niwaweke pembeni hawa hawategemei ajira pekee. Tofauti na zamani tulivyozoea makabila yaliyoelimika na kutegemea ajira kwa asilimia kubwa kama wahaya kujazana maofisini kwa vyeti vyao, kwa sasa hali ni tofauti kabisa.. Zamani elimu ilikuwa inapatikana kwa uchache...
  5. Napenda sana Wahaya (wanawake)

    Kuna kitu kinanivutia sana toka kwa wanawake wa kihaya, kabla ya kuhamia kanda ya ziwa nilikuwa sijui madini haya nilipokutana na mdada mmoja ana hiki kitu nilichanganyikiwa sana. Nilijua ni Muhaya nikaambiwa hiyo kawaida yao hao watu hadi lodge za BK nasikia wanatanguliza nylon kulinda godoro...
  6. Wahaya hatushindwi na kitu

    Tuna wasomi kite duniani hata UN wanatutambua.
  7. Dar na wakazi wake: wachaga > kimara, Wakurya > kitunda, wahaya > sinza, wapemba > ilala na kigamboni, wapi tumepaacha ?

    Dar na wakazi wake: wachaga > kimara, wahaya > sinza Wakurya > kitunda wapemba > ilala na kigamboni waarabu > kariakoo wapi tumesahau ??
  8. Wahaya walikuwa wanaunda high quality steel hata kabla ya mzungu

    Leo nilikuwa natazama teknolojia zilizopotea za kale kama vile zege la waroma ambalo lilikuwa likizidi imarika zaidi kila muda unavyopita likiwa kwenye maji ya chumvi. Basi katika hiyo video jamaa akaomgelea kuhusu steel ya wahaya. Utengenezaji wa steel wa kisasa uligunduliwa mwaka 1847...
  9. U

    Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wazalendo wote nchini na Duniani kwa Ujumla Nimeambatanisha Waraka Kutoka kwa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu uduni wa Maendeleo kwa Mkoa wa Kagera --- KAGERA ,TWAFA Anaandika Profesa Anna Tibaijuka Kagera. TWAFA. Tumuombe Rais Samia...
  10. MSAADA: KWA WAHAYA WANAWAJUA HAWA WANYAMA NDILILA

    Habari za jioni wadau...... Anastahiki sifa njema muumba wa ardhi na mbingu. Pia kwa kuniwezesha kumalizia na kuhamia kwenye kibanda changu kipya namshukuru mungu kwa hilo , namuomba mungu ampe ambaye hajapata sehemu yake ya kujiegesha.. Amiin Baada ya maamkizi nitaenda kwenye mada tangia...
  11. K

    Kwakuwa ukakasi ni kuitwa mkoa wa Chato, basi uitwe mkoa wa Biharamulo

    Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa Chato kwa vigezo hapana sifa eti wilaya ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na maeneo yake iwe wilya ya Ngara, Biharamuo, Chato. Je, Wahaya hili watalikubali? Kama watalikataa basi ina maana hoja ya kusema Chato bado...
  12. Wahaya na Fasihi ya Majigambo au Ebyebugo

    Hakuna kitu nachokichukia na kinachonikera kama kusikia kuna watu wana amini kuwa eti Ushairi umeendelea kwa sababu ya waarabu na wengine kwenda mbali zaidi na kusema Kiswahili ni kiarabu na wengine kupitiliza mipaka ya kufikiria hovyo kabisa na kuona kwamba ukichanganya maneno ya kiarabu hata...
  13. Wahaya mmeshindwa kabisa kufuga senene?

    Wandugu ina maana mmeshindwa kabisa kufuga senene tule mwaka mzima? Wamarekani wanakula mdudu mmoja anafanana na senene anaitwa Cricket kwa Kiswahili nyenje au nyenze. Wameanza kumfuga na ni biashara kubwa sana. Fanyeni mambo tupate senene mwaka mzima. Dunia inakoenda wadudu watakuwa ni source...
  14. Magufuli aliwachukia Wachagga, Wanyakyusa na Wahaya kwa makusudi

    Hili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania. Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi. Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu. Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona...
  15. M

    Kuunda Mkoa wa Chato ni kupoteza historia ya Wahaya, Mkoa wa Chato hauna maslahi kwa urithi wa utamaduni wa Mtanzania

    Magufuli alitaka kuunda mkoa nyumbani kwake kwa utashi tu binafsi bila kujali vigezo vyenye mantiki vya kuunda mkoa huo. Yaani katika muendelezo wake wa "unyumbani" akavunja protokali zote za kimantiki na kivigezo katika kuubda mkoa mpya. Leo hii mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa michanga...
  16. M

    Wahaya wanadai makamu wa Rais Marekani ni damu yao

    Baadhi ya wahaya wanadai na wako serious makamu wa Rais mpya wa Marekani Kamala Harris ni damu yao. Labda utetezi wao ni kutokana na jina lake la kwanza. Ki ukweli Kamala Harris baba yake ni asili ya Jamaica aliyehamia Marekani Donald Harris na mama yake Shyamala Gopalan ni mhindi aliyehamia...
  17. Makabila haya yanaongoza kwa ulevi Tanzania, yanaongoza kwa akili pia

    1. Wachagga: hivi kuna mchaga asiye kunywa pombe? Nahisi atakuwa anatumia dawa, ila hakuna asiejua wachaga kwenye utafutaji,akili na maendeleo pia. 2. Wanyakyusa: kwanza kabisa Mbeya hakujawahi kutokea njaa na mkoa wa Mbeya ukiacha kulima Tanzania kutakuwa na baa la njaa. Hawa watu wanapiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ