wahadhiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? 👇👇

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania THRDC: Wahadhiri wawili wa St. John wameshikiliwa muda mrefu, waachiwe au wapelekwe Mahakamani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza wasiwasi wake kuhusu kukamatwa kwa wahadhiri watatu wa vyuo vikuu, huku mmoja wao akifunguliwa kesi ya ugaidi na wengine wawili wakiendelea kushikiliwa bila maelezo. Umesema hali hiyo inaweza kuwa na athari kwa taaluma na kuathiri...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wahadhiri vyuo vikuu wanukia

    Ni kufwatia kukamatwa na kupewa kesi ya ugaidi kwa wenzao wa UDOM Vikao vya chama cha wahadhiri vyuo vikuu vinaendelea ili kuona namna ya kuchukua hatua stahiki za haraka Eitha kutokana na hali ilivyo usiri umetawala na huenda wakatoka na azimio moja tu la mgomo.
  4. JamiiForums Tanzania Riziki Shahari Mngwali (ACT Wazalendo): Tunataka Wahadhiri waliokamatwa waachiwe huru mara moja

    https://www.youtube.com/live/v5iSJl0zCvA?si=7kTwypJn-40quhtu ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu matukio ya kukamatwa kwa wahadhiri wa vyuo vikuu mbalimbali nchini na inalaani hatua za kuwakamata wanataaluma hao katika mazingira yanayoibua maswali kuhusu uzingatiaji wa taratibu za kisheria na...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu Wakuu, Wahadhiri wanaoomba rushwa ya ngono wamemfikia mtoto wangu

    Huyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua, Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua. Wakuu msaada wenu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Eti uhai wa watu ni bora zaidi kuliko mali, mmh! Hakuna mali ya mkatoliki iliyochomwa, zimechomwa za waislam na wakristo wengine

    Huyu Sheikh amempinga Dkt. Kitima kuwa uhai wa watu si bora kuliko mali, laiti zingechomwa mali za wakatoliki wasingesikia matamko kutoka TEC, ila kwa sababu mali zilizochomwa ni za Waislamu na Wakristo wa madhehebu mengine ndio maana matamko. Ameongeza kuwa kama mali za Wakatoliki...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Mwigulu Nchemba ameanza kupigwa fitina kwasababu siyo Mkatoliki

    Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
  8. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Hajawahi tokea Rais Muislam, Makamu asiwe mkatoliki, na vice versa; wakatoliki hawapo tayari

    Hayo ndo madini ya wahadhiri wa Kiislamu wakidai kuwa Rais anapokuwa Muislam, wakatoliki hawapo tayari Makamu atoke nje ya Katoliki, au Makamu anapokuwa Muislam basi Rais asiwe Mkatoliki.
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Maandamano wakati wa uchaguzi Oktoba 29 yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka amani, we cannot accept

    Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: TEC wanapotoa matamko kuhusu utekaji & mauaji awamu ya Samia, kwanini hawakuyatoa wakati wanaongoza marais wasio waislam?

    Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC). Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC. Nitarudi na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri Dini ya Kiislam: Lissu aliposhambuliwa Dodoma, TEC hawakutoa tamko sababu rais alikuwa Mkatoliki; Ushahidi wa Tamko la TEC

    Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wahadhiri wa Vyuo Vikuu Waanza Mgomo licha ya Serikali Kutoa KSh. 2.5 bilion wakidai ni kinyume na Makubaliano ya Mkataba

    Wanachama wa Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu (UASU) wameanza mgomo wao licha ya Hazina ya Taifa kutoa KSh. 2.5 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa awamu ya pili ya mkataba wa pamoja wa 2021–2025. Wahadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) na Chuo Kikuu cha Maseno waligoma Septemba 17, 2025...
  13. JamiiForums Tanzania Tafadhali toa mbinu sahihi itakayowafanya Walimu na Wahadhiri wa Kiume wasiwatani Kingono Mwanafunzi wa Kike Shuleni na Vyuoni

    Kwa aina ya Watoto wa Shule za Sekondari na Vyuoni ninaowaona hapa / huku niliko walivyo Kiumbwaji na Mungu na Kiushawishi kuanzia leo GENTAMYCINE sitowalaumu tena Walimu au Wahadhiri wa Kiume wanaowatamani Kingono Wanafunzi ndani na nje ya Tanzania. Haya Dada yangu Waziri mwana JamiiForums...
  14. JamiiForums Tanzania UDSM yawapandisha viwango wahadhiri watatu

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza kuwapandishwa vyeo wahadhiri wake watatu kutoka cheo cha Mhadhiri hadi Mhadhiri Mwandamizi. Waliopandishwa ni: Dk. Mamta T. Pandey – Idara ya Sosholojia na Anthropolojia (COSS), Dk. Teresia E. Nkya – Idara ya Vimelea na Parasitolojia, Chuo cha Mbeya cha...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Thea Ntara: Serikali ilipe madeni ya Wahadhiri wa Vyuo Vikuu

    Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesisitiza Serikali kuwalipa Watumishi wa Vyuo Vikuu wakiwemo wahadhiri madeni yao mbalimbali wanayodai kwa kudai wengi wao wanafanya kazi katika mazingira magumu na hawajitokezi kugoma au kuonesha utovu wa nidhamu. Ikumbukwe Januari 2025 kuna...
  16. JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono mashuleni inalelewa na kukuzwa na wahadhiri wenyewe na si wanafunzi

    Siku za nyuma, mwaka 2024, kulizuka mjadala mkubwa sana kwenye mitandao ya jamii hasa twitter. Mjadala huu ulihusu rushwa ya ngono vyuoni baada ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kukutwa na mwanafunzi hotelini. Sikubahatika kuiona hiyo video mpaka sasa lakini tukio hilo limeniwazisha na...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda: Baadhi ya changamoto Vyuoni ni mbanano wa Wahadhiri ofisini

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akielezea mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, namna Serikali ilivyojipanga kutatua changamoto zilizopo katika Vyuo Vikuu vya umma Nchini, ameyasema hayo Morogoro, leo Agosti 4, 2024.
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni aagiza ongezeko la mshahara kwa wahadhiri wa masomo ya sayansi

    Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma. Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli Katunguka, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kyambogo, ambaye alionyesha wasiwasi kuhusu changamoto...
  19. JamiiForums Tanzania Maprofesa na Wahadhiri wa Vyuo vya Tanzania ni bure kabisa

    Nilitegemea hawa wasomi wa ngazi za juu kujitokeza hadharani kutoa maoni yao kuhusu hiki kinachoendelea nchini, badala yake wanagugumia chini chini tu. Sasa ikiwa hawa watu wenye jukumu la kubrush akili za vijana wetu wanakuwa waoga kiasi hiki, vipi hawa wasomi wanaoingia mtaani kama matokeo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wabunge washtuka Wahadhiri wa Vyuo Vikuu kufungua bar, saluni

    Wabunge wameibua hoja sita katika mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2023/24. Hoja hizo ni miundombinu hatarishi shuleni na vyuoni, mwonekano mbaya wa vijana walioko vyuoni, kuongezeka kwa wanafunzi wanaoondolewa chuoni baada ya kufeli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…