Kuna familia ipo jirani na Mimi,ni familia duni Kwa kweli, mke na mume walikuwa watu wa vibarua vibarua TU
Sasa limetokea tatizo Baba amepata stroke, mwili umepooza ni mwaka wa nne huu , akiwa hapo hapo kitandani akapata tena shida ya macho na Sasa macho hayaoni mke ndo anamuuguza Kwa maisha...