wagombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa: Watia nia wameanza kuchafuana, wanatuchafua mpaka viongozi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Fadhil Maganya, amesema baadhi ya watia nia wa nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho, hasa ubunge, wamekuwa wakieneza tuhuma za uongo dhidi yake ili kujipatia nafasi hizo. Akizungumza katika mazishi ya Jackson Yuma, aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya...
  2. Ngongo

    Wagombea wa mwaka huu wanatuonaje Watanzania? Mbinu wanazotumia kucheza na akili zetu ni za kizamani sana!

    Heshima sana wanajamvi. Tumeshuhudia vituko vya watia nia majimboni wakijaribu kucheza na akili za wananchi kwa kutumia siasa na hadaa za kijinga na utoto mwingi. Innocent Bachungwa kaliacha V8 300 Land Cruiser nyumbani kachukua Corolla chakavu kwenda kuchukua form ya UBUNGE. Pengine anataka...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wagombea 174 wamechukua fomu za ubunge Kigoma

    Chama cha Minduzi CCM mkoani Kigoma Kupitia kwa Katibu Mwenezi Deogratius Nsokolo,kimetoa orodha ya wagombea waliojitokeza kugombea ubunge na udiwani kupitia chama hicho, siku moja baada ya kufunga zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu ili kuanza mchakato mwingine wa kutafuta wagombea watatu...
  4. Mzee wa Code

    Wagombea CCM Wafungwa Midomo: "Tunazuiwa Kukosoa, Huu Sio Uhuru Wala Demokrasia"

    Wimbi la ukimya linatawala mchakato wa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku wagombea na watia nia wakizuiwa kuzungumza hadharani kuhusu matarajio yao, hoja zao za msingi, au mapungufu ya wabunge na madiwani waliomaliza muda wao. Tangu kufunguliwa kwa dirisha la uchukuaji wa...
  5. Organic Uncle

    GE2025 Mwaka huu, 2025 wagombea ni wengi kuliko wapiga kura

    Katika hali isiyo ya kawaida. Limetokea wimbi kubwa sana la vijana kuchukua fomu za kugombea uongozi katika nyanja mbalimbali. Wasomi na hata ambao sio wasomi. Sijui litatengenezwa bunge la namna gani safari hii. Inasikitisha na inashangaza pia katika hali ambayo asilimia kubwa ya watu...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Mods kwa maombi ya dhati kabisa nawaomba unganisheni nyuzi zote zinazohusu wagombea kuchukua form

    Hii imekuwa toomuch sasa naomba uzi mmoja uwe LIVE kila uzi uunganishwe hapo. AHSANTE. https://www.jamiiforums.com/threads/ester-bulaya-asema-alikuwa-chadema-kwa-mkopo-amerejea-nyumbani.2358370/unread...
  7. K

    Nashauri CCM ipate wagombea kama ilivyokuwa 2020

    Wagombea kwa nafasi za ubunge na udiwani mchujo wake usizingatie nafasi ya kwanza kwenye kura za wajumbe. Kwenye udiwani tafuteni watu kama viongozi wa kiroho, watendaji, wakuu wa shule na watu mashuhuri watawapatia wagombea sahihi. Ubunge pia iwe hivyo hivyo. Hata mgombea mwenye kura chache...
  8. Just Pray

    PreGE2025 CCM yasitisha ziara zake kupisha mchakato wa ndani wa kuwapata wagombea kuelekea Uchaguzi mkuu Oktoba 2025

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kimesitisha ziara za viongozi wake mbalimbali ili kupisha mchakato wa ndani wa CCM wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
  9. The Palm Beach

    Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
  10. mdukuzi

    Wagombea Chato Kusini wamwaga mamiilioni kuwania ubunge

    Kumekucha ,kumekucha Huku Chato kusini wagombea wawili matajiri wa dhahabu,wanaonyeshana jeuri ya pesa Wikiend hii alialika watu 500 nyumbani kwake Kata ya Bwanga na kuwalisha nyama kuanzia asubuhi na kugawa bahadha zenye kiasi cha sh 15000 mpaka 500,000 kwa kila aliyehudhuria Baada ya...
  11. Idugunde

    Kuna mpasuko mkubwa kwa Wanachama wa CCM . Makundi yameibuka na msuguano mkubwa juu ya kupata wagombea ubunge na udiwani

    Sasa hivi kila jimbo la uchaguzi wanaCCM wanavutana nani awe Mbunge wao. Vijembe na mikwaruzano imeanza kutokea WanaCCM watauana safari hii sababu ya ubunge na udiwani.
  12. Mkweliii

    PreGE2025 Buchanagandi Kiiza: Sitokuwa sehemu ya wagombea wa kiti cha ubunge Biharamulo katika uchaguzi huu wa 2025

    UTANGULIZI. Awali ya yote napenda kumshukru mwenyezi Mungu, muumba mbingu na nchi kwa kutujaria uhai, nguvu na uwezo wa kutukutanisha leo tukiwa wazima buheri wa afya. SHUKRANI. Kabla ya kuendelea naomba mniruhusu nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi wafuatao ambao kwa namna moja ama...
  13. Samia atosha tukutane2030

    Video: Dude lishaamshwa, Je, Gwajima ataenda mahakama ya Tanzania au kwa Mungu kupinga maamuzi ya watu 2 kujichagua kuwa wagombea?

    Ninaamini kama Gwajima akitoka mbele kwenda mahakamani kupinga maamuzi ya watu 2 kujichagua wenyewe kuwa wagombea ndani ya chama atapata nafasi ya kuungwa mkono na vigogo ndani na nje ya chama. Watu wanataka mabadiliko lakini issue ilikuwa nani atamfunga pake kengele? Gwajima michezo yako ni...
  14. Just Pray

    Hotuba hii ya Nyerere, hakika alikuwa mdau aliyependa mabadiliko ya Sheria Mbovu kwenye chaguzi, angekuwepo leo angeihubiri 'No reforms No election'

    Wakuu Hii ni sehemu ya hotuba ya baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere aliyoitoa siku ya wafanyakazi Duniani Mei1, 1995 Mjini Mbeya. Pengine angekuwepo leo angesema 'No reforms No election' === Hoja ya kuruhusu wagombea binafsi Nataka kusema kauli ya mwisho kuhusu sheria ya uchaguzi ilivyo sasa...
  15. T

    Msimamizi wa uchaguzi s/mitaa: wagombea wote wa ccm walikosea kujaza form tulilazimishwa tukawajazia.

    Nimekutana na aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji wa mwaka 2024 ambaye ni mkuu wa shule mojawapo katika mkoa wa tabora, kwa masikitiko makubwa ameeleza namna viongozi wa serikali walivyowalazimisha kujaza form za wagombea wote wa ccm ambazo zote zilikosewa kujazwa...
  16. Mindyou

    PreGE2025 John Mrema: CHADEMA imeua ndoto za waliotaka kugombea, mpaka 2030 sina uhakika kama tutakuwepo

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, John Mrema amesema kuwa CHADEMA imeua ndoto za wanachama wengi waliotaka kugombea kwenye Uchaguzi ba kuongeza kuwa hana uhakika kuwa kama chama hicho kitakuwepo hadi kufikia mwaka 2030 "Jambo la pili ni chama chetu kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi na...
  17. C

    Dua ya kuombea (Wagombea) Uchaguzi Mkuu??

    BAKWATA wameandaa dua ya kuombea unaoitwa Uchaguzi Mkuu. Maajabu ni kwamba Wageni rasmi ni Wagombea waliopitishwa na Chama chao kugombea Oktoba 2025 (CCM)
  18. USSR

    G55 tupo wengi ni jina tu wasifikirie tupo 55 ni wagombea wote: Mrema

    “G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi...
  19. chiembe

    Kipindi cha uchaguzi, vyama vyenye wagombea tu ndivyo viruhusiwe kufanya mikutano ya kisiasa, ambavyo havishiriki visubiri baada ya October.

    Ni vyama vile ambavyo vitashiriki uchaguzi mkuu na kuwasilisha wagombea na ratiba za kampeni ndivyo viruhusiwe kufanya mikutano ya kisiasa. Hii itaondoa mvurugano na vurugu zisizo na msingi, na pia kuimarisha ulinzi na usalama Wahuni wengine wasubiri kwanza watu wanaotumia haki yao ya kikatiba...
  20. PendoLyimo

    Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi

    Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waraka mzito wa ushauri umetolewa na wagombea wa ubunge...
Back
Top Bottom