waganga wa kienyeji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nguvu za waganga wa kienyeji wengi wakianza ufuska/umalaya nguvu zao za tiba zinaisha?

    Wasalaam nyote, Tukubbali tukatae Rais Hassan. Anaupiga mwingi, 🙏🙏🙏🙏🙏 Niende kwenye mada moja kwa zote, katika harakati zangu za kuchangamana na watu mbalimbali sehemu nyingi katika mizunguko ya kikazi hasa ndani ya nchi si mara moja nimewasikia wakulungwa wakisema. Mganga wa kienyeji awaye...
  2. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Matukio na vituko ulivyokutana navyo kwa waganga wa kienyeji

    Tujuzane matukio au vitu tulivyoona au kukutana navyo kwa waganga wa jadi au Kienyeji vya kutisha na kuchekesha, Na hii itawafunza Wengine ambao wanategemea kwenda au ambao hawajui kinachoendelea huko Mimi kama mwana siasa na mfanyabiashara haya mambo kuna wakati unataka kuyakwepa lakini kundi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwasikia CHADEMA wakiambatana na Waganga wa Kienyeji

    Hawa ndugu zetu wa Ufipa st Chadema wao huwa hawajihusishi na "ndumba"? Sijawahi kuwasikia wakiambatana na Waganga wa mitishamba Hata wakati ule ilikuwa wao na askofu Gwajima au askofu Malone na hata sass wanaye askofu Mwamakula na Shehe Ponda. Isijekuwa hawa jamaa ni Mpango wa Mungu kweli...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Usianzishe biashara wala kutafuta kazi kupitia waganga wa kienyeji

    Natangaza maslahi yangu! Mimi sio mganga na sifanyi ushirikina tena! Kati ya waganga wote wa kienyeji ni asililia kumi hivi kati ya mia moja ndio wakweli na kati ya hao wakweli ni asilimia 5 tu ndio wenye masharti nafuu na wanaoweza kukusaidia moja kwa moja..! Ishu ya kuwajua feki na wakweli...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi ndiyo visa vya waganga wa kienyeji wapenda pesa!

    Waganga wa kienyeji ni watu wenye mchango mkubwa upande wa pili ndani ya ulimwengu. Hapa kuna watu povu na maneno ya kejeli yata watoka kwa sababu hizi: *Wengi wanawatumia kwa ajili ya mabaya! *Wengi ni walonzi ,wanga na wachawi. *Wengi humu mtaki kujionesha kuogopa kuwa mnatatua matatizo yenu...
Back
Top Bottom