wafariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ajali Morogoro: Gari la abiria lagonga lori kwa nyuma, wawili wafariki dunia

    Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Toyota Coaster kuligonga kwa nyuma lori lililokuwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara kuu ya Dar es Salaam- Morogoro eneo la Oilcom Nanenane. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Fortunatus Muslimu...
  2. JamiiForums Tanzania Songwe: Basi la Kampuni ya Kilimanjaro Express lapata ajali, watu wanne wafariki dunia

    Bus la kampuni ya Kilimanjaro limepinduka asububuhi hii mkoani Songwe likitokea Tunduma kuelekea Jijini Dar es salaam ambapo taarifa za awali zinaeleza ajali hiyo imesababisha watu kadhaa kufariki na uwepo wa majeruhi, taarifa kamili zitakujia hivi punde. =================== Basi la Kampuni ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wawili wafariki magari yakigongana na kuwaka moto Mbozi

    Picha: Eneo ambalo ajali imetokea Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili likiwamo lililobeba mafuta na kuwaka moto katika ajali iliyotokea maeneo ya Old Vwawa wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe. Ajali hiyo imetokea jana Machi 7, 2022 majira ya...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Manjano walipuka Kenya, watatu wafariki, 15 wagonjwa

    Kenya imetangaza mlipuko wa homa ya manjano baada ya watu watatu kufariki dunia na kubainika wengine 15 wanashukiwa kuambukizwa katika kaunti ya Isiolo, Kaskazini mwa nchi hiyo. Wizara ya Afya inasema imetuma jopo la wataalamu wa kushughulikia suala hilo kwa haraka. Wizara ilisema pia kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Watu saba wafariki kwa kupigwa na radi maeneo tofauti Mkoani Rukwa

    Watu saba wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika maeneo tofauti katika Wilaya za Nkasi na Sumbawanga mkoani Rukwa. Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nkandasi, Given Kisantola amesema tukio la kwanza lilitokea Februari 26 saa 9 alasiri Kijiji cha Nkandasi wilayani Nkasi. Watano waliokuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Watu 60 wafariki katika mlipuko wa mgodi wa dhahabu Burkina Faso

    Takriban watu 60 waliuawa siku ya Jumatatu katika mlipuko katika mgodi wa dhahabu katika kijiji karibu na Gaoua kusini-magharibi mwa Burkina Faso. Makumi ya watu zaidi walijeruhiwa, wakiwemo wanawake na watoto Ilitokea wakati vilipuzi vilivyohifadhiwa karibu na eneo la kuchimba dhahabu...
  7. JamiiForums Tanzania Watu 13 wafariki dunia kwa kuanguka kisimani wakiwa harusini

    Watu 13 akiwemo mtoto mmoja wamefariki dunia baada ya kuangukia ndani ya kisima wakati wa sherehe ya harusi Kaskazini mwa India, juzi Februari 16, 2022. Waliopoteza maisha asilimia kubwa ni wanawake na mtoto huyo ambapo walikuwa wamekaa juu ya kisima kilichokuwa kimezibwa kwa muda. Taarifa ya...
  8. JamiiForums Tanzania INASIKITISHA; Tuhuma nyingine nzito kwa Jeshi la Polisi, watuhumiwa wawili wafariki Morogoro na Tabora

    Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi hilo. Mwananchi imeripoti juu ya matukio mawili ya kuuawa wa watuhumiwa,moja liamuhusu mmja wa vijana...
  9. JamiiForums Tanzania Madagascar: Watu 6 wafariki huku 47,000 wakiyakimbia makazi yao kutokana na Kimbunga Batsirai

    Watu sita wamefariki nchini Madagascar baada ya Kimbunga Batsirai kupiga kisiwa hicho kilichopo kwenye bahari ya Hindi. Kisiwa cha Mananjary na miji ya karibu ya imekabiliwa na uharibifu mkubwa. Shirika la kudhibiti majanga nchini humo limeeleza kwamba zaidi ya watu wengine 47,000 wameyakimbia...
  10. JamiiForums Tanzania Mawakili 65 wafariki kutokana na Corona

    Chama cha Mawakili wa Tanganyika(TLS) kimeripoti jumla ya wanasheria 65 kufariki kwa kipindi cha kuanzia Machi 2020 kutokana na janga la virusi vya Corona Mratibu wa TLS mkoani Njombe, Innocent Kibadu amesema COVID19 haiishii kuchukua Maisha ya watu bali pia huathiri uchumi wa wanafamilia wa...
  11. JamiiForums Tanzania Pwani: Watatu wafariki kwa kulipukiwa na kitu kinachodhaniwa kuwa bomu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 8:00 mchana katika kijiji cha Pongwe Msungura, Kata ya Msata. Wankyo alisema watu hao waliokota chuma kinachodhaniwa kuwa ni bomu ambacho kililipuka mikononi mwao na...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Pemba: Watu 9 wafariki dunia baada ya boti kuzama baharini. Zoezi la uokoaji kuendelea asubuhi

    Watu 9 wamefariki dunia na wengine 6 kuokolewa wakiwa hai baada ya boti kuzama baharini Kisiwani Pemba wakati watu hao wakitokea Chakechake kwenda kisiwa cha Panza kwenye shughuli za mazishi. Zoezi la uokozi limesitishwa usiku na litaendelea Januari 5, 2022 asubuhi. Shahidi katika tukio hilo...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani: Watu 70 wafariki kutokana na Kimbunga

    Kimbunga Tornado kilicho tawanyika na kuyakumba maeneo ya majimbo sita tofauti nchini Marekani kimesababisha watu zaidi ya 70 kupoteza maisha. Akithibitisha athari hiyo Gavana wa jimbo la Kentucky amesema pamoja na vifo vya idadi hiyo ya watu wanaopindukia 70 upo uwezekano wa idadi hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

    Watu wanne (Wanawake 2 na Wanaume 2) wameripotiwa kufariki dunia huku wengine 17 wakijeruhiwa baada ya jengo lililokuwa linajengwa eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam kuangukia nyumba za jirani Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema wanaendelea kuangalia iwapo kuna wengine...
  15. JamiiForums Tanzania Watu 12 wafariki DR Congo kutokana na mgodi uliovuja sumu Angola

    Karibu watu 4,500 wameugua kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia kuvuja kwa sumu kutoka kwa mgodi wa almasi katika nchi jirani ya Angola, waziri wa mazingira anasema. Eve Bazaiba alisema watu 12 walikuwa wamefariki dunia. Alisema kuwa DR Congo itauliza fidia ya uharibifu...
  16. JamiiForums Tanzania Rombo, Kilimanjaro: Watoto wawili wa familia moja wafariki katika ajali ya moto

    Rombo. Watoto wawili wa familia moja wakazi wa Tarakea wilayani Rombo wamefariki baada ya nyumba yao waliyokuwa wakiishi kuungua kwa moto. Akitoa taarifa hiyo leo Ijumaa Agosti 20, 2021 Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Hamis Maiga amesema, tukio hilo limetokea jana usiku uliosababishwa na mshumaa...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Poleni majirani kwa kupoteza matajiri watano ndani ya siku 6; pokeeni chanjo muache mzaha

    Utani pembeni, kitumbua kimeingia mchanga, huu sio muda wa ukaidi tena, haijalishi una hela au wewe mlalahoi hapo kwa Mpalange. ======= What next after demise of five Tanzanian tycoons? Leaders of the business community yesterday expressed sadness over the loss of five business tycoons that...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wawili waliofia mikononi mwa Polisi kwa kukiuka 'curfew' wazikwa

    So sad though. Police wa Kenya wanamaliza wakenya kuliko Corona yenyewe. Vijana wawili ndugu wa kuzaliwa (Embu brothers) Emmanuel Mutura 19 na Benson Njiru 23 years waliofikwa na umauti wakiwa mikononi mwa polisi hatimae wamepumzishwa kwenye nyumba Yao ya Milele. Vijana Hawa walifikwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Watu 15 wafariki huku 24 wakilazwa hospitali sababu ya Corona Zanzibar

    Watu 15 wamefariki na wengine 24 wamelazwa hospitali wakiendelea kupata matibabu kutokana na virusi vya ugonjwa wa Corona Zanzibar. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Mhe Nassor Ahmed Mazrui wakati akitoa takwimu za ugonjwa wa Corona kuanzia Juni 25 hadi Agosti 10. Waziri Mazrui...
  20. JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu 24 wa familia moja wafariki kwa kula sumu

    Watu 24 wa familia moja wamefariki dunia baada ya kula chakula kinachohisiwa kuwa na sumu Kaskazini Magharibi mwa Nigeria katika jimbo la Sokoto. Kamishna wa Afya wa jimbo hilo, Ali Inname amewaambia waandishi wa habari kwamba familia hiyo ilitumia kimakosa kemikali ya mbolea ambayo ilionekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…