Nimesikiliza kwa ukaribu sana ile audio iliyovuja nimejiuliza yafuatayo?
1. Faida au hasara ya kuvuja ni nini ? Kwanza watu wakijua kuwa hata madoctor na wanajeshi wameshikwa itawafanya wengine wote kuwa waoga na wasijiunge na movement ya tarehe 29
2. Ingetakiwa isivuje wangeambiwa waweke cm...
Yaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?
Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
Watanzania wanaowalalamikia kwa ufisadi,wizi,ubadhirifu,mikataba feki,madeni,nk ni wasomi haoahao ambao ni wabunge na watumishi wa serikali anaowasema Polepole.
Sasa mnapowakataa watu wenye uzalendo kama kina Babalevo tena na kusema hawawezi kutafasiri sheria na mikataba kwakuwa siyo wasomi...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mpumbavu sio tusi hivyo uzi huu sio matusi bali ni ukweli ulio halisi
Baada ya kusikiliza press ya Polepole alivyosema kuhusu mfumo wetu wa utambuzi wa uraia umekuwa compromised kwa faida ya majinga ma CCM hitimisho langu kuu ni kwamba
Hakuna Nchi yenye Watumishi...
1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue.
2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji
PRELUDE...
Serikali ya Trump imepiga marufuku mahusiano ya mapenzi kati ya wafanyakazi wake walio China na Wachina nchini humo.
Wachina wanamtisha sana mwendawazimu wannabe dictator Trump.
Utangulizi; Muda mrefu mfumo wa ufanyakazi kwa serikali umekuwa wa kuajiliwa jumla, jambo ambalo limekuwa likifanya watumishi wengi wafanye kazi kwa mazoea,wakose uadilifu nk. Yote ayo ni kutokana na wafanyakazi awa kuwa na uhakika wa kazi kwamba hata afanye kosa gani anajua ataendelea kuwepo...
Mishahara lazima iendane na uwezo wa Ukuaji wa uchumi, Ofisi za serikali zimejaa uvivu, story, nyodo muda wa kazi, Lunch masaa mawili, Pesa kubwa mnazotaka wakati hamtoi huduma bora kwa wakulima na wafanyabiashara zitatoka wapi?
Nyongeza ya mshahara aliyoitoa Samia mwaka huu inabidi mshukuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.