wafanyabiashara wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Wafanyabiashara wakubwa katika mikoa hufuata Nini CCM ,kama sio kichaka Cha kufichia maovu Yao?

    Najiuliza au nauliza ? Hivi wafanya biashara wakubwa ufata Nini ccm? Au utumia kichaka hicho kama sehemu ya kufichia maovu Yao? Ccm ni chama au genge la wahalifu wanaojiunga Ili kufichaovu Yao? Ni nani aloyeccm ambae ni mzarendo wa kweli? 😭 Ccm ni lama au chama Cha majambaziiii
  2. Tlaatlaah

    Agenda ya no reform no elections ndio hasa chanzo cha wafanyabiashara wafadhili wa siasa nchini kuikacha CHADEMA na kuelekeza uwekezaji wao CHAUMMA

    Agenda hiyo isiyo na faida imewakimbiza wafadhili wa kiuchumi chadema na imewakimbiza wanachadema physically na kuwademoralize kisiasa kwa kiwango kibaya sana. Kwasababu, wametathimini kwa kina sana kwamba, chadema haishiriki uchaguzi mkuu wa october mwaka huu 2025, na wala haina sifa na vigezo...
  3. Davidmmarista

    Mbinu za Siri Wafanyabiashara Wakubwa wa Kitanzania Wanazitumia Kupata Utajiri!

    Wadau wa JF, Karibuni! Wadau wa JF, habari za siku? Poleni na pilika pilika za maisha, najua mitaa imewaka, wengi wanahaha huku na kule kutafuta mkate wa kila siku. Lakini si wote wanahaha – wapo wale waliotoboa, wanadunda bila stress, huku wengine wakibaki wakiwatazama tu kwa mshangao. Swali...
  4. Abdusmigo

    Nimefaulu Kidato cha Nne kwa Division Two ya 19. Nifanye nini ili nifikie ndoto yangu?

    Kwa majina naitwa Abdul Komando Mtimbe (19) ninaishi Dar es salaam Tanzania.Nimezaliwa tarehe 07.12.2004 Nimepata elimu yangu ya msingi katika shule ya msingi Mchangani wilaya ya Kinondoni jijini DAR ES SALAAM ambapo nilianza mwaka 2010 na kumaliza 2016 na nilifanikiwa kujiunga na elimu ya...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Serikali iwaombe wafanyabiashara wakubwa waende vyuo vikuu wakafundishe wahitimu angalau unit 1 ili kukamilisha degree ya biashara

    Kila mkoa kuna wafanyabiashara wakubwa. Bila shaka wako pamoja na serikali. Wakiombwa wakafundishe angalau unit moja kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 ili kukamilisha degree zao watakubali na kujitoa kwa moyo maana wataona wameheshimika. Hapa mfanyabiashara atakuwa huru kuwaelekeza/kuwafundisha...
  6. R-K-O

    Kwanini imezoeleka wenye vyeo ama wanaofanya kazi baadhi ya taasisi wanaheshimiwa zaidi kwenye jamii kuzidi wafanya biashara wenye pesa zaidi

    Watu wakiwa na vyeo ama wanafanya kazi taasisii flani unakuta wanaheshimiwa kuzidi wafanya biashara, wakulima, wafugaji, n.k. wenye pesa zaidi, kwanini ? Top shelf- Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa taasisi, n.k. Mahakamani - mahakimu ha majaji Jeshini - Wengi wakivaa gwanda tu...
  7. Jbst

    Mgogoro wa Kariakoo unashinikizwa zaidi na wafanyabiashara wakubwa

    Nilichogundua kuhusu Kariakoo sio kila mfanyabiashara hapo anagoma. Wafanyabiashara wakubwa wanaoshusha kontena bandarini ndo wanamiliki mastoo hapo Kariakoo na hawa ndo waasisi wa mgomo wenyewe kwasababu hawataki stoo zao zitambulike. Ukiwasikiliza wengi wanaogopa kufungua kwasababu...
  8. Shazili mnali

    Kwa matajiri na wafanyabiashara wakubwa na wadogo

    Karibu mkoa wa Lindi kata ya Yangamara kitongoji cha Kilidu. Wakati tupo mbioni kuelekea mavuno ya ufuta tunawakaribisha matajiri na wafanyabiashara kwa nia ya ununuzi wa ufuta. Fuata utaratibu wa Serikali ulioweka katika ununuzi huo ili kuepuka usumbufu. Moja ya biashara ambazo zinalipa...
Back
Top Bottom