wadogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wachimbaji wadogo wanaomba kuiona Katiba FEMATA !!

    Hatuna swali Jingine!
  2. JamiiForums Tanzania Chalamila: Machinga aliyepewa fremu mwisho miaka mitano, baada ya hapo nakufukuza

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa wanazopata kujiendeleza na kuachana na biashara ndogo, akisema lengo ni kuwawezesha kukua hadi kuwa wafanyabiashara wakubwa na walipakodi. Akizungumza leo, Oktoba 7, 2026, wakati...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Agizo la wafanyabiasha wadogo baadhi ya maeneo limetekelezwa kwa asilimia 50%

    Baadhi ya maeneo mfano gongo la bonto walichokifanya siyo kuwandoaa,bali Ile barabara ya watembea kwa miguu ,wameigawa katikati mfanyabiasha atapanga bidha asivuke ktkt ya hilo eneo ,na Kuna meza nzuri wamechonga. Ukitazama ni ubunifu mzuri Swali langu lengo la kujenga Barabara / Road reserve...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Madini, Tusaidie Wachimbaji: Tulilipia Safari ya Canada, Hatujasafiri Wala Kurejeshewa Fedha

    Naomba kupaza sauti kuhusu suala linalotukabili baadhi ya wachimbaji walioshiriki katika mchakato wa safari ya Canada kupitia Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) kwa lengo la kwenda kujifunza, wamekula fedha zetu na hawataki kuzirejesha. Washiriki tulitoa fedha...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali imetoa leseni zaidi ya 30 kwa wachimbaji wadogo 400 huko Kwimba,Mwanza

    Kati ya mwaka 2025 na 2026, Serikali imeendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo kupitia mafunzo na upatikanaji wa maeneo rasmi ya uchimbaji. Jumla ya vijana 1,239 wamepatiwa mafunzo ya uchimbaji salama, utunzaji wa mazingira na uchenjuaji, huku maeneo 99 ya vitalu yakitengwa rasmi kwa ajili ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ado: Serikali ikibaini madini, Wananchi wapewe kipaumbele, Wachimbaji wadogo wasifukuzwe "hii ni nchi yao!”

    Mbunge Ado Shaibu Ado akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Kijiji cha Ngapa, Kata ya Wilaya ya Tunduru katika Mkoa wa Ruvuma amesema Wananchi walipogundua madini na kuanza kuchimba kama wachimbaji wadogo, Serikali badala ya kuwawezesha kwa teknolojia na mitaji ili faida ibaki ndani, inaenda...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbezi Mwisho: Suala la kuwapunguzia nafasi Wafanyabiashara waliopo ilikuwaongeza wengine linatuathiri Wafanyabiashara wa chakula

    Tumekuwa tukiona juhudi za kuboresha maeneo ya biashara kwa wafanyabiashara wadogo kwa kuwekwa vibanda vya maturubai na wakati mwingine kuezekwa kwa bati kwa gharama zinazotolewa na wafanyabiashara wenyewe. Hili ni jambo zuri na la kupongezwa kwa kuwa linasaidia kuboresha mazingira ya biashara...
  8. JamiiForums Tanzania Matumizi ya ugoro yamekithiri sana kwa vijana wadogo just imagining mtu anaagiza ugoro kutoka Sweden..

  9. S

    JamiiForums Tanzania KERO Wanunuzi wadogo Mgodi wa Msasa, Runzewe - Geita tunapata shida, mizigo haipuliziwi rangi kwa wakati, inakuwa hasara kwetu

    Wananchi na wanunuzi wadogo wa felo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita, tunaomba msaada wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa inayotukabili katika shughuli zetu za kila siku za kujipatia kipato. Kwa kawaida, tunaponunua felo kutoka migodini, tunapeleka kwenye Steka kwa ajili...
  10. JamiiForums Tanzania Kwetu wafanyabiashara wadogo: Je, ni kero gani unazokumbana nazo kutoka kwa wateja wako?

    Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu: Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
  11. JamiiForums Tanzania Enyi wake za watu, tulieni kwenye ndoa zenu, mnasababishia vijana wadogo matatizo.

    Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa. Nanyi vijana wa kiume, waepukeni wake za watu, ukidakwa mo safi ni halali yako.
  12. JamiiForums Tanzania Nikienda bar nadili na wale wafanya kazi wadogo wadogo

    SITAKI yule mmliki Elie kaunta, asije akaniambia sijui itabidi uninu ulie masofa niweke kwa jili ya wateja. Wale wafanyakazi wanalipwa elfu3/4 kwa siku, ukimuonyesha kibunda analoa hapohapo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wadogo zangu wa 2005 heti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣

    Wadogo zangu wa 2005 eti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣🤣
  14. I

    JamiiForums Tanzania KERO Wajasiriamali wadogo wa manispaa ya Musoma tunatoa wito serikali kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa siku

    Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200 hadi Shilingi 500 kwa wafanyabiashara wadogo kama wauza mboga za majani, karanga, mandazi na biashara...
  15. JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

    Kuna mama fulani wa makamo anauza genge maeneo ya karibu na mtaani kwangu. Ni mama mcheshi kiasi. Huwa napita kununua matunda kwahiyo nimezoeana nae kidogo. Wiki kadhaa zikizozipita, wikiend moja katika kutembea tembea mtaani kwangu kusalimiana na majirani. Nikafika gengeni kwake. Nikaagiza...
  16. JamiiForums Tanzania Wenzetu mliotumia pesa za kujikimu (BOOM) la chuo mkatoboa mmefanyaje huenda wadogo zenu wakasaidika

    Kwangu mimi niliweza ku-save lakini sio kiasi kikubwa sana hadi namaliza chuo ni kama naanza upya Sasa nimekutana na mdada katika story mbili tatu ananiambia pesa ya Boom ndio iliyomfikisha hapo, kiukweli na biashara anayofanya na zile pesa za kila baada ya miezi miwili ni mbingu na ardhi...
  17. JamiiForums Tanzania Sauti za vilio, hofu na taharuki ni simulizi za kawaida kwa wachimbaji wadogo maeneo ya Nyandolwa na Mwakitolyo - Shinyanga

    Sauti za vilio, hofu na taharuki zimekuwa sehemu ya simulizi za wachimbaji wadogo katika maeneo ya Nyandolwa na Mwakitolyo, mkoani Shinyanga. Ni maeneo ambayo chini ya ardhi yake kuna matumaini ya dhahabu, lakini juu yake kuna wingu la vifo vinavyojirudia mara kwa mara. Katika kipindi cha miaka...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Kevin Mwasha: Wananchi wanaotumia maji kutoka katika vyanzo visivyo salama wayachemshe au watumie vidonge vya kusafisha maji

    Hofu ya Kiafya Inayozidi Kutokana na Maji Yasiyo Salama Wakati mradi wa maji wa Shilingi bilioni 4, Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe ukisubiriwa kwa hamu kubwa kuanza kufanya kazi, hofu ya kiafya inazidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wa Kata hiyo. Wananchi wanabainisha kuwa maji...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Masikitiko makubwa watoto wadogo kuchinjwa na kutupwa porini

    Huku ndiko CCM ilikotufikishwa. Sikiliza clip hii, inatia simanzi isiyo kifani
  20. JamiiForums Tanzania Biashara Zenye Mzunguko Mkubwa Sana Tanzania: Fursa Kubwa Kwa Wafanyabiashara Wadogo

    Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi za kibiashara, hasa kwa wafanyabiashara wadogo wanaotaka kuanza au kukuza biashara zao. Ukweli ni kwamba, kuna aina fulani za biashara ambazo zina mzunguko mkubwa wa fedha (high turnover) — yaani bidhaa au huduma zinauzwa kwa kasi kila siku. Kama unatafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…