wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilidhania ongezeko la visirani kwa wadada ni kutokana na mabadiliko ya nyakati ila nilikosea. Ni kutokana udhaifu wa vidume wa kisasa

    Vijana wanababaishwa sana na wadada kwa sasa. Hata michepuko sasa eti inapelekesha boya hadi inanunulia malaya gari. Sio baba zao, sio boyfriend zao, sio wame zao kwa hawa wadada wa kileo. Wote chaliiii. Msimamo mkali wa mwanaume tangu enzi na wala ndoa hazikuwahi kuvunjika time and time...
  2. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Wadada wanaovaa madera

    Wale watoto ni hatari bhn, kwa kweli nikiona dera akili inaruka hata kama sio mzuri sana. Kuna ile staili ya kulibana upande mmoja, ama ile ya kulibana kwenye kwapa, sasa hizo zote tisa kumi ni ile ya kulibana pande zote. Basi huwa navurugwa hadi nasahau kama sikuletwa duniani kwa ajili ya...
  3. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Wadada wazuri mna shida gani lakini?

    Tajiri hasalimii. Unakuta mtoto mkaliii halafu anatoka na mhuni yuko rafu rafu, mchafu kufuwa kipengele, kuoga hadi mvua imnyeshee, ananuka vumba saa ingine masigara bwege yanapita humo humo. Halafu watu wa maana kama mimi Tajiri Sina BAYA tunaenda kutupa ndoano anatema. Hivi huwa mna nini...
  4. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Brutal fruit Ina mzuka gani mbona wadada wanaishobokea sana hasa hapa dodoma

    Ni kinywaji kutoka south 🌍 basi ndoo imekuwa hbr ya mjini hapa jiji dodoma kwani bila kumunulia mwanamke hicho kinywaji unaweza kukuacha na kutafuta danga jipya mwenye uwezo thabiti na madhubuti. Bei yake iko 4500 hadi 4000 kwa liquar store Jana nililazimishwa kununua 7 ndio ikawa pona...
  5. KENZY

    JamiiForums Tanzania Wadada leo niambieni ukweli mnataka nini..?

    Maana nimeshindwa kuwaelewa huu moyo wangu mnachoufanya mnajua nyinyi tu!, na sasahivi kilichobaki mnataka tu muuchomoe huu moyo muupike supu mle na chapati!.. Niambieni mnataka nini..??
  6. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Wadada ukishamkataa mtu basi tulia fanya mambo yako ya msingi. Mdomo umeponza mtu leo

    Habari ya Jumatatu waungwana.. Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza mkaendelea lakini mipaka iwepo au kama ni kazi mfocus na kazi basi.. Sasa buana huyu bidada alitongozwa...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Video ikionesha wadada wakipata wakati mgumu kukaa chini baada ya kufanyia upasuaji katika clinic ya kuongeza makalio

    🤣 Maisha ni mapambano, na hawa wanapambana kukaa.
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Imefikia hatua, wadada wanaheshimu na kuthamini i phone, kuliko wanavyoheshimu na kuthamini sehemu zao za Siri hii ni aibu

    Wadada wa Leo wapo tayari kugawa uchi kwa yoyote kwa wakati wowote ila sio kugawa I phone kwa yoyote.. Wengi sana wanalika ili kududunduliza kununua I phone 15 hii ni aibu Acheni, ni mbaya
  9. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Wadada Wenye Miili Mikubwa Tujitahidi Kujisafisha vyema kupunguza Aibu

    Habari jamani leo naomba nije kasi na haraka maana kituko nilichoshuhudia jana ni aibu kubwa sana. Songa nami. Jana pale maeno ya Ubungo External kulikuwa na shughuli ya kumtoa mtoto 40. Waalikwa walikuwa ni wengi na palikuwa na hekaheka nyingi sana. Sasa basi katika makutano hayo alikuwapo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wa kiafrika wengi mnachukia asili ya nywele zenu ? mmekazana na mawigi, weaving, rasta, n.k. Please acheni kujichukia, love yourself.

    Huko masaluni na maduka ya vipodozi hugharamika sana kununua nywele za watu wengine kwa mtindo wa mawigi, weaving, rasta, dreds, n.k. nyingine zinazalishwa viwandani. Ukitaka ugombane na mwanamke alievaa wigi basi mvue, yani ataonyesha kuzichukia nywele zake kwa kuziziba. Nywele zinavyovutwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

    Habarini, Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider: 1) Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wengi wa miaka 19-23 wana prefer ku-date na age mate wenzao...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wadada hawaombwi tena namba, bali mvulana unaulizwa kwa nini hunaga namba yangu

    Hasa Hawa wadada wanaocheza michezo ya mtu kutoka kila siku😃😁😁
  13. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Wanaume hatupendi wadada wanaojiremba kupitiliza

    Moja kwa moja kwenye point... Nikiongea kwa niaba ya wanaume wote wenye akili sawasawa ......(Excluding all madmen) Ndoto yetu ya pamoja Kila mwanaume ni kuwa na mke anaesuka twende kilioni nzuri ... Af ngozi ya kichwa ionekane pale kwenye vile vinjia njia vile. Sio ubahili Ila ndo ndoto yetu...
  14. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

    Niulize mimi na wanawake wa jamvini chochote kuhusu masuala ya wanawake, afya zao, mienendo n.k na tutakujibu kwa uwazi bila kupindisha pindisha maneno. Feel free kuaddress swali lako directly kwa mwanamke wa JF kwa kumtag
  15. Stability

    JamiiForums Tanzania Sijui kwa nini ila wadada wenye makalio makubwa hawahitaji kuongea sana hata kama anakutaka atapita tu mbele yako ili wewe ujiongeze mwenyewe

  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila wadada 🤣🤣, Sasa hapa ni mikoba ipi anayomaanisha?

    Anyway, inabidi tu ni-appreciate skills zake za matangazo
  17. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Kuna hii habari imekuwa ikiwachanganya watu katika mahusiano hasa wadada kudhani ni haki yao!

    Wadada wa mjini wengi wamekuwa wakijikuta katika mivutano mikubwa ya mahusiano bila wao kujua na kubaki wakilia mjini! Unakuta binti kaingia katika mahusiano na mtu wanaamua kusogezana pika pakua wakati akienda kwa mwanaume amemkuta na kiwanja na kibanda au nyumba kabisa! lakini baada ya miezi...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Hivi nyinyi wadada mnaopost picha mkiwa viwanja mnakula bata na mitoko ya gharama hizo picha huwa mnapigwa na akina nani?

    Tukizungumzia hasa mitoko ya dating. Inafahamika wengi wenu huwa mnapigwa foto na washikaji zenu ila cha ajabu huwa hamuwapost, mnajipost wenyewe tu. Jiulize kwa nini mwanamke hampost mwanaume wake hata kama kuna picha ya pamoja walipiga wakiwa dating? Hapa ndio ujue wanawake ni matapeli...
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Wadada wa jf njooni hapa

    Embu tuambie ni kitu gani kilikutokea au likifanya kwenye mahusihano au ulikutana nacho na ukakifanya end of the day ukajiona mpumbavu baada ya akili yako kuwa sawa The bar was so low tell us
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada Wanawapiga vibuti Wanaume wafupi na Wanene, Labda wawe na pesa nyingi sana

    Kwakweli kuna msiba mkubwa sana kwa watu wafupi na wale wanene, watu hawa hasa wenye kipato cha kawaida ama kipato kidogo wamekuwa wakipata wakati mgumu sana kupata rafiki wa kike, yaani wanawake wengi wamekuwa wakitongozwa na hata ikitokea nafasi ya kuolewa na watu wafupi ama wanene wengi...
Back
Top Bottom