Habari wana JF?
Leo nazungumza na wadada wanaotamani kuolewa. Kumiliki mwanaume. Kama hauna mpango huo, basi endelea na threads nyingine.
Haijalishi mdada ni mrembo kiasi gani, una tabia nzuri kiasi gani. Ila hizi tabia zitakufanya uishie kuwa single mother, uchukie wanaume au wakufaidi...