wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi hawa wadada wanaotumwa mitandaoni wakiwa utupu wana wazazi kweli! Malezi gani haya

    Huwa najiuliza huu mrundikano wa picha chafu mitandaoni hawa watu wana wazazi kweli? Kama wapo malezi gani ya namna hii au ndio sons of bitch wamejaa mtaani Binafsi sina dada wala ndugu alieko huko picha zote ni ngeni kwangu, je wewe una ndugu unaemjua au jamaa au rafiki picha zake zinatumwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wadada ni nguo gani ya mpenzi wako unapenda kuivaa?

    Moja ya kitu wanapenda kufanya wanawake wengi ni kuvaa nguo za wenza zao, moja ya nguo huvaliwa zaidi ni Tisheti, japo wapo wanaokwenda mbali zaidi na kuvaa boksa, vesti, soksi, suruali nk ili mradi tu ajisikie raha kuwa amevaa ngo ya mtu anayempenda. Japo wapo baadhi ya Wanaume hawapendi nguo...
  3. JamiiForums Tanzania Nina swali kwa wadada, watoto msifungue uzi tafadhari

    Ati ni kweli doggy style huwa inawaumiza..? Shida ni nini haswa kama huwa mnaumia..? Je, tufanye nini kwa usahihi zaidi ili muepuke maumivu kwa wanaoumia..? Itakuwa vyema sana kama kwenye mjadala huu wakitokea madaktari wakatoa muongozo, karibuni waungwana.
  4. JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya wadada nilioachana nao kwa sababu walitaka kunipanda kichwani na kuni-control vile watakvyo. Wadada wa kisasa wamekuwa "control freaks"

    Ingebakia basi wao kupenda pesa na maisha mazuri iishie hapo lakini hawa viumbe ni chupa za chai ambazo hazijai, Yani mtu anapata hivyo vyote na bado anataka akupelekeshe kama bwege kisa tu labda uzuri au wewe kumuonesha unyenyekevu.
  5. JamiiForums Tanzania Ongezeko na video za shughuli za wadada kushereheshwa na mashoga sio ishu ya bahati mbaya, ni mpango mzima wa kudhalilisha uanaume halisia.

    Kumbuka zile shughuli zinafanywa na masingo maza, michepuko ya watu, wadada wanaojiuza, wadada wasio na kazi, etc na watu wa aina hii adui namba moja wao ni mwanaume kutokana na kila mmoja aliathrika vp na mwanaume katika pita pita zake. Sasa ikitokea kuna mashoga wanawafahamu wanahakikisha...
  6. JamiiForums Tanzania Ila wanaume bana tunapitiaga ukakasi mkubwa hadi mafanikio alafu tunakuja kuliwa pesa kizembe na hawa wadada

    Mtu umetoka hapa⤴️ Ili uje kuteseka na kuaibika hapa⬇️ Kunaa interview nimeona jamaa mmoja anakuja kujitetea kuwa ile gari aliompa slay queen sio kwamba amemnunulia iwe yake bali amempa tu atembelee ila demu kawa mkali hadi ka-share video asaidiiwe na serikali ili arudishe gari yake.
  7. JamiiForums Tanzania Wadada acheni kusema mlidanganywa na wanaume wakawapa mombi

    Wanawake vijana wengi wa bongo wanaokuwa wakiachika katika mapenzi na wanaobaki single mothers wamezoea sana kauli za kulalamika kusema walidanganywa au walitapeliwa na wanaume walioingia nao katika mahusiano au waliofanya nao ngono. Kama mwanamke una miaka zaidi ya 18 na ulifanya ngono na...
  8. JamiiForums Tanzania Huko maofisini wadada wengi ni single mama, hali ni mbaya

    Huko maofisini wadada wengi ni masingle mama. Nazungumzia hawa madada wanaojiita “corporate dadaz” Wengi wao wamezalishwa na kuachwa na wanaume wakilea watoti wao wenyewe. Hali inazidi kuwa mbaya, idadi hii inaongezeka siku hadi siku. Lazma wakubali kuna tatizo sehemu. Je tatizi hilo ni lipi?
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini wadada siku hizi wameacha kuva adirizi

    Kwa wale wazungu adirizi ni skin tight. Vp secretarybird Chizi Maarifa Holoholo-Baba Kijacho mademu zenu wanava adrizi😁
  10. JamiiForums Tanzania Tila tila ndio mpango mzima kwa wadada sasa hivi, kila mmoja wao anapenda kuwa nayo

    Tila tila ni michirizi ya mahaba iliopo kwenye mapaja muda mwingine kusogea hadi kwenye makebo Acha ile ilio komaa na kutengengeza longitudes, no kuna hii ilo sexy sana hata watoto wa mjini wanaijua😁
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye asili ya uweusi wanapendelea wadada wenye makebo makubwa ila vijana wa ngozi nyeupe wanapendelea wadada wenye maanabeli makubwa?

    Ni ishu ya DNA au tu mazoea. Maana huku kwetu wadada wenye makebo mapana ndio habari ya mjini ila wazungu ni mabinti wenye maanabeli mapana.
  12. JamiiForums Tanzania Wadada wenye makebo makubwa punguzeni dharau. Kuna maisha zaidi ya mishepu yenu

    Kumbuka ukiugua utaomba kuchangiwa kama wengine. Kumbuka ukipiga yoe utapenda watu wafike kwa haraka kama wengine. Kumbuka utazeeka kama watu wengine Wengi wenu mmeishia kuwa vyombo vya starehe na makebo yenu yamekuwa kama tegesha la uchumi wenu wa day to day basis, of coz ni muda wenu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya wadada wengi hawajatulia aisee

    Wakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi...
  14. JamiiForums Tanzania Trend mpya Instagram: Wadada wengi wa mjini wamegeuka washauri wa maisha wakiwa ndani ya magari yao wakirekodi video

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wadada mnavosema mnataka mwanaume wa kuwahudumia, kipato cha huyo mwanaume kiwe ni sh ngapi kwa mwezi?

    Habarini, Kwenye mahusiano mengi sahivi, ya watu wangu wa karibu walionizunguka na mitandaoni pia naona mijadala mingi wadada wakiwa wanataka wanaume wenye hela nyingi ambao sio wabahili. Tuje kwa ground kwenye takwimu zisizo rasmi hasa kwa hii nchi yetu ya ulimwengu wa 3 Wanaume wengi wenye...
  16. JamiiForums Tanzania Wadada wa uswazi wanaringia tako wadada wa kishua wanaringia digirii

    Uswazi dada zetu wanaringia tako ushuwani wanaringia digirii uamzi ni wako kuchagua yupi
  17. O

    JamiiForums Tanzania Kuna shida Kwa wadada WA Guesthouse na lodge

    Eti Hawa wadada ukiwaangalia usoni ni kama wamevimba macho LAKINI pia wengi Huwa wamejaa miwili YAKO shida KUBWA ni kama hawako sawa kisaikolojia YAANI ni kama wameathiriwa Kwa namna flani . Je wewe ukiwa safari unaona wadada waguest WAKO sawa?
  18. JamiiForums Tanzania Wadada wa JF, tumewamiss, rudini jukwaani, mmepotea sana

    Huu ukimya hadi una unakera na kutupa wasi wasi
  19. JamiiForums Tanzania Kuna wakati maisha yanakuwa magumu hadi unaelewa kwanini baadhi ya wadada kuamua kujiuza

    Suala la kujiuza ni jambo la udhalili na pia kimaadili halifai, lakini inafika wakati, hali ya maisha inakua ngumu hadi mtu anaona, njia pekee ya kujinasua ni kutumia mwili wake, mdada akiangalia wateja anaweza kuwapata anaona bora niingie huku. Anaweza asifike hatua ya kujipanga barabarani...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wadada tu: Kwenye mahusiano, mnapendelea kubwa au ndogo? Na kwanini?

    Kwa wanaume, wao wanapenda inayobana. Na sababu ni kupata msuguano wa kutosha. Msuguano ukiwa mkubwa na raha inakuwa kubwa. Mambo ya umbo na.8, rangi ya mtume, makalio makubwa na kissable lips ni kama tomato sauce tu kwenye chips. Yaani haya huwa yanavutia macho na hivyo kuongeza hamasa na hamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…