wachungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wachungaji/manabii huenda milimani kufanya Nini huko??

    Wakuu, Saivi kumeibuka mtindo (fasheni ) wa Hawa watumishi/manabii nk. Kuenda milimani, nimeshindwa kuelewa Huwa wanaenda kufanya Nini huko?? Na kwa maelezo ( kupitia tv/radio mbalimbali za masuala ya Imani ) wanakaa huko kuanzia wiki Moja mpaka mwezi, Kuna Siri Gani huko milimani??, na ni...
  2. JamiiForums Tanzania Mtumie mama yako pesa, acha kuwapa pesa matajiri wanaoitwa wachungaji, mitume na manabii

    Pesa anayepaswa kusaidiwa ni maskini pekee. Mtu ana range kali New model unampa pesa ili akuwekee mkono kichwani. Madness Mtumie pesa mama yako, hakatai pesa kwakuwa ni ndogo, elfu 5, 10, 50, laki , millioni ukimtumia anafurahi na ombi lake la sekunde 30 mbele za Mungu juu yako lina nguvu...
  3. JamiiForums Tanzania Namna Wachungaji waovu wanavyoiharibu amani ya Waumini Duniani

    Duniani kuna Wachungaji wa aina mbili, wema na wabaya Wachungaji wema mara zote wanahubiri habari njema za Mungu, mara zote wanaeneza Upendo, Amani, Mshikamao na kupigania utulivu ndani ya mioyo ya Wanadamu wote Wachungaji Wema sifa zao kubwa wanakuwa ni wasomi wa hali ya juu na wanaoendesha...
  4. JamiiForums Tanzania Mstari huu ndani ya Biblia wachungaji wa kileo hawaupendi, wanauruka kama haupo kabisa, ingawa ndio msingi mkuu wa Ukristo

    Wachungaji, mitume, manabii, walimu na Wainjilisti ambao ni viongozi wa makanisa ya kileo huu mstari wanauruka kama haeauoni. Huu mstari unawahukumu, maana wanajikusanyia sadaka kisha kufungua maduka makubwa, kusomesha watoto wao nje ya nchi , wananunua range , v8 n.k huku waumini wakiambiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini wachungaji watumishi wa MUNGU wametengwa suala la uokozi kariakoo

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Serikali ikiwa inasaini miakataba yake hasa hasa ya kifasidi ambayo wananchi hawajalizika nayo huwa wana watumia sana wachungaji Lakini leo kwenye hili suala la maafa kariako naona serikali imewatenga wachungaji watumishi wa MUNGU Watumishi wa MUNGU...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waganga na Wachungaji mnawapa nini hawa Wanawake?

    Hakuna watu wanaokula ya mwanamke pesa kiulaini kama waganga na wachungaji🤣 Dah Leo nimeenda kwenye Misa moja hivi jioni ya jumuiya Sasa kwa yale magoti ambayo mchungaji alikuwa akipigiwa noma na wale wanawake ebwana Dah 🤔 Wanawake kwa wachungaji na waganga hawafui dafu mwanangu...
  7. JamiiForums Tanzania Mama wachungaji acheni kuwapotosha wanawake wezenu

    Ndugu zangu Ukweli upo wazi kwamba kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwezake ila watadumbukia shimoni wakiongozana Wanawake wengi wanaojiita mama wachungaji au wake wa wachungaji tunajua wazi kabisa huko nyumbani kuna mikikimikiki na wao wanapigania ndoa zao. Sasa linapotokea swala la migogoro...
  8. JamiiForums Tanzania Utapeli na wizi wa wachungaji ni marudio ya wamisionari wa kale

    Tunasikia vilio na malalamiko kuhusu wachungaji wenye kuwatapeli waumini wao na wasio waumini wao. Wenye kuamini miujiza ila utapeli huo wa kisasa zaidi mchungaji anatoa chupa ya maji na udongo ,wewe unampa pesa. Ukirudi nyuma utapeli huu haukuanza leo ulianza kale wamisionari...
  9. JamiiForums Tanzania RC Makonda kawakaanga baadhi ya maaskofu, mapadri na wachungaji wanategemea matamuko na nyaraka badala ya Mungu na maandiko matakatifu

    Hapa kasema ukweli ukweli mtupu. Msikilize mwenyewe hapa. Sindano itakuwa imewaingia barabara. Wewe unaonaje? https://youtu.be/x5_k9cpJ94U?si=0LEr7yFxM-rVDaWZ
  10. JamiiForums Tanzania Madactari, wanasaikolojia, wachungaji na watu waliosoma masomo ya theology na tabia za ubongo wa Binadamu.

    Salaam wakuu. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Tunaomba ufafanuzi kidogo tu juu ya hali ya Hallucination na mambo ya Imani zetu zote, Je Hallucination ni tendo la kiimani au ni tendo la kitabibu. Ahsante: NB: Hii mada kama huelewi please wewe soma tu comment upate kujifunza kama mimi, Usije...
  11. JamiiForums Tanzania Wachungaji, Maaskofu na Manabii ambao mlikaa kimya kipindi cha Magufuli acheni unafiki. Fungeni vinywa vyenu mtulie kimya msubiri jehanamu

    Sasa kila sehemu wachungaji, manabii na watumishi wengine hasa Wakristo wako on fire kukemea vitendo vya utekaji na uuaji. Hawa watumishi wako madhabahuni zaidi ya miaka 10. Miili ya watu iliokotwa kwenye viroba wengi walikaa kimya. Utekaji ulikithiri wengi walikaa kimya. Eti leo wanajifanya...
  12. JamiiForums Tanzania Nasikia mashekh na wachungaji wamemiminika Kwenye lile jengo jeupe ili kupindua karma na Albadir

    Wazee wa Tanga hata msingefanya lolote Ila karma ingeshughulika nao hao watu . Mwaka 2021 yule bwana aliyekuwa anataka kumuua Tundu lissu alipokea Malipo yake
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mchungaji wetu amekiri alikuwa mvuta bangi akiwa mtumishi wa Kanisa, alibatizwa mara mbili, sasa ameacha bangi kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Je ni sahihi mchungaji kukiri kuwa alikuwa mvuta bangi mbele ya waamini wake? Asubuhi njema
  14. S

    JamiiForums Tanzania Serikali haioni huu utapeli wa wachungaji? Au wao ya kwao mazuri hivyo wananchi watajijua wenyewe?

    Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum. Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari...
  15. JamiiForums Tanzania Mdau yupo sahihi kuhusu Wachungaji na Mahospitali?

    Yupo sahihi?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona Kanisani nimeshangaa sana kwa mwanasiasa na msomi huyu

    nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya mchungaji - Anna unamjua Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu Mchungaji - Ania unajuma...
  17. JamiiForums Tanzania WAke za watu acheni kujipendekeza kwa wachungaji na manabii na mitume wana wake zao pia

    WATUMISHI WA MUNGU ACHENI HUU UPUMBAVU NA UKENGEUFU!🔥🔥🔥 Mitume,manabii,wachungaji hili linawahusu.Mnakosea sana kuwatumia wanawake vibaya kinyume na maandiko. Nabii Musa pamoja na miujiza yote aliyojaaliwa,alikuwa na mtumishi mmoja tu tena kijana wakiume,yaani Joshua.Nabii Eliya naye...
  18. JamiiForums Tanzania Vibe la ongezeko la Wachungaji Wanawake wanaojibatiza uchungaji. Je, Ufufuo wa Bustani ya Eden?

    Shalom, Tucheke kwanza "Oalaa kalooo' Dunia na matukio sasa hivi jamii ya watanzania inashuhudia ongezeko la ma pastor ama wachungaji wanawake ni vibe moja kali sana kwenye social media na wanapenda sana interview zenye maudhui ya mapenzi na kusambaza injili zenye kugusa mapenzi Tutaona...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi hili ni ubinafsi uliopitiliza au tuitaje? Lipo sana kwa wachungaji na wanasiasa

    Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu . Au kufanikisha mambo ambayo ni faida yake binafsi au mambo kama pesa ya Mwenge /ujenzi wa shule mambo...
  20. JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuna utakatishaji Fedha kwa Mgongo wa Dini: Ongezeko la Makanisa na Wachungaji

    Nimekutana na hii discussion hapa ikidai kwamba Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la makanisa na wachungaji. Hali hii imeibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa matumizi mabaya ya makanisa kwa ajili ya utakatishaji fedha. Hapa wadau walikua wanasema hizi ni baadhi ya njia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…