wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Wabunge wa CCM wanapenda sana Kumjaribu na ni kama vile Wanamdharau sana Katibu Mkuu wao Dkt. Bashiru?

    Nakumbuka ni mwaka huu huu na Rekodi zipo tena akiwa ‘ amefura ‘ kabisa Mithili ya Mbogo aliyejeruhiwa Katibu Mkuu wa CCM na Mwanazuoni Dkt. Bashiru Ally Kakurwa alipiga Marufuku Wabunge wote wa CCM Kuanzisha Mashindano ambayo yanabeba Majina yao ( kwa Mfano GENTAMYCINE CUP ) na badala yake...
  2. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa fedha Liberia wakatisha likizo ya Wabunge

    Bunge la Liberia laitishwa kwa dharura Rais George Weah wa Liberia amewaomba Wabunge wa Bunge la nchi hiyo kukatisha likizo yao na kukutana kwa dharura kujadili mambo muhimu yanayolihusu Taifa hilo likiwemo lile linaloelezwa kuwa ni ukosefu wa fedha. Taarifa iliyotolewa na Bunge la Liberia...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge Uganda wapinga nchi yao kutumia passport ya Afrika Mashariki, wahoji uhalali wake

    The move to have an East African Community (EAC) international passport has hit a snag in Uganda after MPs blocked it over its legality and the cost to users. In 2016, EAC leaders agreed to upgrade the EAC passport from a regional to an international document, with Kenya and Tanzania launching...
  4. JamiiForums Tanzania Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

    Wanabodi, Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwasababu kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana na kutubadilisha to change for the better!. Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…