Hivi karibuni Wabunge wa Zanzibar ambao wanawakilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano waliamua kujichanga na kutoa zawadi wa Wananchi wa Pemba, ambapo waliandaa nyama.
Nyama hiyo iliingizwa Pemba kupitia Bandari ya Wete, haijulikani nini kilitokea, ilichelewa au ilikwama au ni yenyewe tu...
Ubinafsi ulioonyeshwa na wabunge wetu wakibanwa imewafanya watie aibu katika jamii.
Sakata la vikwazo vya Marekani liko mbele yetu kama nchi.
Wahusika binafsi ni wale waliofanya mambo mabaya dhidi ya umma wa Kitanzania.
Watu hao ni watekati, waliovuruga utaratibu wa uchaguzi, walioua...
Nimesikiliza Wabunge na hata waziri wa mambo ya nchi za nje wakipiga kelele Bungeni kuhusu tishio la vikwazo vya USA kwa viongozi wa CCM na watendaji wengine. Wamefika hata kudai kuwaleta viongozi wa USA hapa Tanzania na kulipia gharama zao za usafiri, malazi na chakula ili waje wajionee kuwa...
26 May 2026
CCM Parliament
Dodoma
Tanzania
13th Parliament 3rd Session, 37th Session today May 26, 2026
Tanzanian parliament session : How a CCM MP Ms. Mariam Anzuruni Mungula was deeply Disturbed by the US's Agitation for severe Sanctions on Tanzanian Government Leaders...
Wachangiaji wote waliochangia bajeti ya mambo ya nje Kila mtu alimsifia Samia
Nape Samia
Bulaya Samia
Kingu Samia
Samia Samia Samia
Wao wanafanya kazi Gani Sasa kama Kila kitu anafanya Samia?
Kwani huwezi ongea bila kutaja jina la raisi?
Kwann waitwe waheshimiwa Hawa ?
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limetikiswa na shangwe na makofi kutoka kwa wabunge mara baada ya kutambulishwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, aliyekuwa miongoni mwa wageni wa Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, wakati akiwasilisha Bajeti ya Wizara...
Inatia moyo kwa wabunge wetu kwa kuikemea serikali kwa kuvunja sheria.
Kisheria fedha za ROAD FUND zinalindwa kutotumika kwingine kokote, ila ujenzi na ukarabati wa barabara nchini.
Sasa leo kuna wajanja serikalini wamevunja sheria.
Kwanza tutaomba watajwe hao wahusika serikalini.
Pili...
Wabunge wenye michango yenye mashiko katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wapo wengi. Lakini hapa wanatajwa wabunge 7 tu ambao wakipewa nafasi ya kuongea, michango yao au hoja zao hutikisa bunge lenyewe na kuvuka mipaka hadi mitandaoni, wakati mwingine mpaka kurasa za mbele za...
Leo, Mei 14, 2026 Mfumo wa sauti Bungeni umebuma. Wabunge wamerudi ukumbi wa Msekwa.
Vifaa viliwekwa na Mchina, ku-upgrade wameleta Mzungu, ngoma imebuma.
Jana jioni ilianza kupiga alarm ya moto ilhali hakuna moto. Kazi kwelikweli
Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport?
https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck
Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao.
Tumechelewa sana kuweka...
airport
baada
bado
haraka
jambo
kanda
kanda ya ziwa
kuhusu
kujenga
kujenga uwanja
kujengwa
kupinga
kuzuia
kwenu
moyo
mradi
muhimu
mvutano
mwanza
sababu
sana
sauti
serengeti
tanzania
ujenzi
ujenzi wa uwanja
utalii
uwanja
wabunge
ziwa
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amehoji sababu za wazazi wa wabunge kutojumuishwa katika huduma za bima ya afya wanazopata wabunge, huku akielezea changamoto kubwa wanazopata familia nyingi wakati wazazi wanapougua.
Akizungumza bungeni leo Mei 12, 2026, Waitara ameeleza kuwa utaratibu...
Mbunge wa Jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amesema kuna mtandao unaokwamisha juhudi za kuanzisha viwanda vya dawa nchini, akidai kuwa baadhi ya viongozi wanahujumu sekta hiyo kwa maslahi binafsi huku wananchi wakiendelea kuumia kutokana na gharama kubwa za dawa.
Akichangia hotuba ya Wizara ya Afya...
Wakuu,
Kuna taarifa nzito sana imetolewa na Bunge la Ulaya (European Parliament) kuhusu mahusiano yetu ya kidiplomasia na hali ya haki za binadamu hapa nchini.
Kwa mujibu wa chapisho rasmi kutoka kwenye tovuti ya bunge hilo, Serikali ya Tanzania imeikatalia kamati ya Wabunge wa Ulaya kufanya...
Mh. Spika Refa kutoka Kenya Alichezesha vizuri na fainal ya Simba na Yanga kila mtu ameridhika.
Je hatuoni ni wakati sahihi sasa kuleta pia wageni katika nyanja mbalimbali kama Urais, Uwaziri, Ubunge, Majaji na sehemu nyingine zilizojaa rushwa na ukosefu wa weledi?
Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka amemwomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa uwanja kwa ajili ya klabu ya Simba kama ilivyopewa klabu ya Yanga
Kweli pamoja na kero chungu nzima mbunge anaenda kuomba Simba apewe uwanja kama alivyopewa Yanga, hivi ndio vipaumbele vya wabunge wa CCM...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba levo amesema kuwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawapo bungeni kwa ajili ya kukubaliana na kila hoja inayowasilishwa, bali huchambua na kuchukua msimamo kulingana na maslahi ya wananchi.
Ameongeza kuwa tayari kuna baadhi ya...
Nimesoma humu kuwa wabunge hupokea lita 1,000 za mafuta kila mwezi. Hii wanapewa mafuta kama mafuta au pesa kulingana, bei ya mafuta ya wakati huo au pesa fulani fixed kila mwezi?
Wakuu sijawah kuongelea siasa, wala kutanabai uwezo wa viongoz wa CCM kutawala nchi na kuzitapanya kama si kuzibananga rasilimal za nchi kwa maslah yao binafsi. Ila kwa hili naomba niliseme tu!
Kusini maenedleo hali sio nzuri, uchawi uchawi! Kila Ng'anya basi N'ganya, viongoz wanaotoka kule...