waajiriwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO TaESA wamechelewesha malipo ya waajiriwa kwa zaidi ya Miezi miwili

    Naomba kuwasilisha suala hili kwa lengo la kupata ufafanuzi kutoka kwa uongozi wa TaESA au mamlaka husika. Baadhi ya waajiriwa wa muda wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) hatujalipwa mishahara yetu ya mwezi Disemba mwaka jana na Januari mwaka huu licha ya kusaini mkataba unaoonesha...
  2. Munch wa Annabelle

    Ualimu ndo kada ambayo waajiriwa wake akipata kesi na kuhukumiwa miaka 3 jela au faini 3m asilimia 90 wataenda jela

    Walimu mpo!!! Niende Kwenye mada, hii kada ni kama inalaana maana watumishi wao wanaoishi kama kuku, hawawaz mbele wao wanaangalia hapohapo alipo tu, wakijitahidi sana basi atajiongeza kuwa bodaboda, mpesa uchwara, duka njaa, upishi kweny sherehe uswahiln na semina, tuishen na kuuza ubuyu na...
  3. M

    Hii hali ya kuwa kuna waajiriwa wana maisha mazuri kuliko wafanyabiashara kibao ni kitu watu huwa hawataki kukubali ila ukweli hauwezi kubadilika.

    watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa, Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini haimaanishi watu wenye ajira wana maisha mabaya. kuna waajiriwa wengi wana maisha mazuri ya uhakika kuzidi...
  4. A

    Serikali ifuatilie baadhi ya shule binafsi mapato yake kila Mwaka na mishahara ya Wafanyakazi wake haviendani, waajiriwa wananyonywa

    Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina usawa.
  5. Silivian

    Mshahara wako unaopokea kila mwisho wa mwezi unatosha kwa matumizi ya mwezi mzima?

    ‎Mwaka 2023 kuna jamaa angu aliajiriwa alikua analipwa 600k kwa mwezi, ili mishahara yake haijawahi kukutana, kila mwezi alikua anaanza na zero.Na hapo alikua hana mke wala mtoto. ‎ ‎Tuongee ukweli! Huo mshahara wako unaopokea kila mwisho wa mwezi unatosha kwa matumizi ya mwezi mzima?? 🤔 ‎ ‎ ‎ ‎
  6. T

    Majaliwa: Mashirika ya ndege yanayokuja nchini huajiri mhudumu maalum anayezungumza Kiswahili lakini waajiriwa wale si Watanzania

    Nimeshangazwa sana na waziri mkuu kushangazwa na wanaoajiriwa kwenye ndege za mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kuzungumza kiswahili sio watanzania. Kwa mtazamo wangu nilidhani waziri mkuu angekuja na mpango ambao serikali imefanya kuwafanya watanzania wanaozungumza kiswahili waajiriwe kwenye...
  7. Right Marker

    Stori za watumishi (waajiriwa) wakiwa eneo lao la kazi

    Leo nawaletea stori nne (4) ambazo zinawachelewesha watumishi (waajiriwa) kwenye maendeleo binafsi. 1. KUSIMULIANA STORI ZA MPIRA, MAPENZI NA POMBE: Hii ni kwa watu wengi, lakini kwa wafanyakazi (waajiriwa) imeshamiri sana. Waajiriwa wanapokuwa kwenye uhuru wa kupiga stori hasa wakati wa Lunch...
  8. A

    KERO Kama Open University ni kwa ajili ya waajiriwa na wanasiasa watuambie tu

    Haiwezekani sisi wengine vitu vinakuwa vigumu kufanyika kwetu. Ishu ya mitihani kupotea ni jambo la kawaida sana pale chuoni, ishu ya kusahihishwa mitihani kwa muda mrefu hata miezi miwili japokuwa wanafunzi ni wachache pale ila ni kawaida sana, research kucheleshwa bila ya sababu ya msingi...
  9. R

    Kwanini imezoeleka kuona mtu alietokea maisha yenye hali nzuri (wa kishua) wazazi wake ni waajiriwa, kwanini sio wazazi wafanyabiashara ?

    Kwanini imezoeleka kukadiria mu flani kama kwao wana maisha mazuri basi wazazi wameajiriwa, kwanini isiwe imezoeleka kukadiria wazazi ni wafanyabiashara ? Yusufu kwao wana maisha - mzee ni Engineer, Mama ni Muhasibu Abdallah kwao wa kishua - Baba mkurugenzi, Mama ni mhadhiri pale IFM Jacky...
  10. R

    Waajiriwa na mnaotafuta ajira hasa za serikalini, mna lipi la kuwaambia wanaosema ajira ni utumwa?

    Ajira ni Utumwa Hakuna Tajiri alieajiriwa Huwezi kurithisha watoto wa ajira
  11. Harvey Specter

    PreGE2025 Serikali itangaze ijumaa siku ya mapumziko kuruhusu waajiriwa kushiriki zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura

    Wakuu, Kwa hii foleni niliyoiona huku kwenye vituo vya kujiandikishia sidhani kama zoezi litafanikiwa hapa Dar es Salaam kwa siku saba kama ilivyopangwa. Kwanza wananchi wengi wanakua makazini Jumatatu-Ijumaa kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni. Serikali nayo imeweka muda...
  12. Wale watu

    Cha ziada kufanyika kwa pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya

    Ni hatua zipi za ziada waajiriwa wapya wafuate ili waweze kulipwa pesa zao za kujikimu maana shida zinaonekana ziko kwa ma DT wamefanya zibadilike majina na kuwa pesa za ziada
  13. Amani Ne

    Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?

    Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati? Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
  14. Genius Man

    Kwa muujibu wa sheria ya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1 kinaeleza waajiriwa wa vyombo vya habari kusoma na sio mtu wakawaida haruhusiwi kutoa

    Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1, Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
  15. ELI COHEN

    Kama wewe ni muajiriwa na kipato chako na taarifa zako limited sio lazima uanzishe biashara. Utalia na kusaga meno

    Wengi mnaona biashara ni kama mgodi. Ni heli ukope ujenge kibanda chako uhamie na familia yako, lakini sio ukope uende kuanzisha biashara kama beginner. Labda kama wewe ni mpigaji, unapata pesa za kutosha nje ya system ila wale wenzetu upo chini ya salary na malupu lupu, baba na mama wanauza...
  16. Jack Daniel

    Kwa wageni na waajiriwa wapya makazini, zingatia haya

    Hii ni Furahi day,ijumaa fulani tulivu japo haiwezi kuwa Kwa wote. Leo nije na kero moja,ambayo wengi hupuuzia au huumia ila hakuna namna. Hii moja Kwa moja inawahusu wageni kwenye shughuli zote za uendeshaji wa taifa hili. Nianze na wale ambao ndiyo Kwanza wanaajiriwa, 1.Usipende kutamani...
  17. Nangose 1

    Kuitwa kazini Bodi ya Korosho Tanzania

    Wale waajiriwa wapya wa bodi ya korosho Tanzania.. mkeka wenu huu hapa... Hongereni sana.
  18. NostradamusEstrademe

    Serikali kuwapima afya ya akili waajiriwa wapya

    chanzo gazeti la mwananchi la jana 19 Dec 2024 Ila mimi kwa mawazo yangu waache kuonea watumishi wa umma.Wangeenda mbali zaidi na Wanasiasa hadi Bungeni. kuna baadhi ya mambo wanapitisha mpaka unawaza wanafikiria kwa kutumia matumbo au kichwa? Ni mambo yapi ambayo mnafikiri wabunge wetu wakati...
  19. M

    Posho kwa waajiriwa kwenye maduka ya hardware(construction material)

    Hellow
Back
Top Bottom