vyuoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Wanafunzi wa vyuo kuna ucheleweshwaji wa hela ya kujikimu (meals and accomodations)

    Tunaomba mamlaka zinazohusika kutatua suala hilo mana wapo watoto wanaotegemea hilo kujisomesha na inapotokea linachelewa ndo mwanzo wa kuingia katika vitendo visivyofaa. Pia wengine vipato vya wazazi vya hali ya chini na wanaamini ukishapata boom basi hatutawasumbua tena; sasa tatizo hatujui...
  2. stabilityman

    Elimu tata duniani zilizopigwa marufuku kufundishwa vyuoni

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya elimu/mada tata ambazo zimepigwa marufuku au kuzuiwa sana kufundishwa vyuoni katika nchi mbalimbali duniani (hadi mwaka 2026): - Afghanistan (chini ya Taliban) - Masomo yote yanayohusu haki za wanawake - Gender studies / Jinsia na masuala ya kijinsia -...
  3. Samia atosha tukutane2030

    Hizi alama A za msingi na sekondari na GPA za juu vyuoni zina mchango gani hapa Tanzania kama hazina uvumbuzi wenye tija ?

    Najua kwa mliopata A flat na mkaitwa wanasayansi mtasema nina wivu. Mimi primary tena ya kijijini ndani ndani huko darasa letu lilikuwa la pili kumaliza STD 7 nilipata A flat na kupangiwa shule ya vipaji. Enzi hizo ukipata shule ya vipaji kijiji kizima unajulikana. Mpaka kijiji jirani...
  4. Life2

    Leo wanawatumia kuandamana kesho watawatumia kwenye ajira, vyuoni na kwenye hospitali

    Ni jana tumeshuhudia wanaojiita wakatoliki feki wakiandamana kuelekea kwa Balozi Mwakilishi wa Baba Mtakatifu Tanzania. Mungu alivyokua wa Ajabu hata kabla ya Sinema zao kaamua kuwaaibisha, kwa ishara na matendo yao. Leo walioratibu huo mpango either wanatoka Serikalini au Chama cha Mapinduzi...
  5. M

    Wanafunzi wa kike wa vyuoni huwa wanawahi kurudi vyuoni kwa sababu wana ndoa zinawasubiri

    Msione wanafunzi wana usongo wa kurudi vyuoni , wana ndoa zao vyuoni
  6. feyzal

    Mabinti vyuoni wanachapika sio masihara

    Wakuu habari. Leo nimekaa nikafikiria hili suala sana kuhusu kuoa hasa msomi na mambo ninayoshuhudia vyuoni ni noma na nusu tangu nipo diploma mpaka leo napiga bachelor kwakweli mambo yanasikitisha sana wazee. Mabinti kuanzia mwaka wa kwanza mpaka anamaliza wanahama tu magheto ya wana. Binti...
  7. Traxtion

    Tanzania ina watu wengi magenius sana wenye IQ kubwa hususani vyuoni lakini serikali halijui jinsi ya kuwatumia

    Mbeya University of Science and Technology (MUST) Hiki chuo mnakifahamu? Moja ya vyuo vyenye watu magenius hapa Tanzania ni pamoja na hiki chuo. Ubunifu unaofanyika kwenye hiki chuo unaweza sema ni wanafunzi wa Kichina, kumbe ni wa hapahapa Bongo. Kwa mtu anayejua chuo cha MUST nadhani...
  8. M

    Mlioko Shuleni na Vyuoni ,ChatGTP imeleta fursa na Changamoto gani katika Taaluma?

    Bila shaka maendeleo ya teknolojia yqnaenda kwa kasi ya ajabu.Majuzi nimeshuhudia mtoto wa darasa la nne akitumia ChatGTP kufanya Home Work ! Sasa najiuliza huko.elimu ya juu Hali ikoje! ? Vijana wanafanya takehome essay kweli? Je Hali hii inaleta fursa na Changamoto gani katika kazi za...
  9. GENTAMYCINE

    Tafadhali toa mbinu sahihi itakayowafanya Walimu na Wahadhiri wa Kiume wasiwatani Kingono Mwanafunzi wa Kike Shuleni na Vyuoni

    Kwa aina ya Watoto wa Shule za Sekondari na Vyuoni ninaowaona hapa / huku niliko walivyo Kiumbwaji na Mungu na Kiushawishi kuanzia leo GENTAMYCINE sitowalaumu tena Walimu au Wahadhiri wa Kiume wanaowatamani Kingono Wanafunzi ndani na nje ya Tanzania. Haya Dada yangu Waziri mwana JamiiForums...
  10. A

    UFUTWAJI WA BAADHI YA SHAHADA VYUONI.

    Hivi karibuni katika kuanza kwa mchakato wa udahili wa wanafunzi wa shahada mbalimbali katika Chuo kikuu cha sokoine( SUA) kumekuwa na mabadiliko kidogo ya uondoaji na uunganishwaji wabaadhi ya programu za shahada mbalimbali kama ifuatavyo 1. Shahada ya sayansi ya usimamizi wa malisho yaani...
  11. M

    Unawashauri Nini Form six graduate wanaoelekea vyuoni ?

    College, Institute, University Graduates, Watumishi wa Umma munawashauri Nini ndugu zetu wa form six wanaojiandaa kwenda Vyuoni? Ukizingatia Ufaulu wao ulivyo juu, Competition ya admission ya vyuo itakavyokuwa na kubwa zaidi maisha baada ya kusoma watakaporudi mtaani. Ni kozi Gani...
  12. K

    Kuna haja ya serikali, kuanzisha chombo kitakachodhibiti suala la mavazi vyuoni

    Muonekano na tabia ya mtu daima hupambwa na mavazi. mavazi hubeba dhima kuu za tabia ya mwanadamu kisaikolojia . Na ndio, maana hata tapeli, nyakati nyingine, akitaka kumkwida mtu huangazia kwanza muonekano wa mtu, uliobebwa na mavazi . kifupi yako mavazi ukivaa hata kama moyoni unajiona...
  13. W

    PreGE2025 CHASO yaitaka serikali iache uoga iruhusu siasa vyuoni

    Akizungumza mbele ya Makamu Mwenyekiti John Heche, Mwenyekiti wa jumuiya ya wanafunzi wa CHADEMA vyuo na vyuo vikuu CHASO ameitaka serikali kuacha uoga wa kuzuia siasa vyuoni. Amekumbusha kuwa wapo viongozi mbalimbali waliojulikana kwa kupitia vyuo akataja mfano wa Jaji Joseph Warioba
  14. R

    Changamoto wanayopitia mabinti wa chuo kutoka kwa baadhi ya walimu

    Lecturer hana tofauti sana na Mungu mtu kwa maisha ya chuoni, ana uwezo mkubwa wa kuamua kufanya maisha yako yawe magumu au yawe mepesi, kukufelisha au kukufaulisha Hata kama ni mke wako huna cha kumwambia mwalimu wake kwenye suala la marks. Wanafunzi wengi ni ngumu kuchomoa kwasababu kuu...
  15. Fbn

    “The Year 2000” .Kitabu kilichotoka mwaka 1967.

    Kitabu “The Year 2000” (1967) cha Herman Kahn na Anthony J. Wiener ni jaribio la kutabiri hali ya dunia ifikapo mwaka 2000 kwa kutumia mbinu za kisayansi na mifano ya uchambuzi wa siku za usoni. Katika kitabu hiki, waandishi walitoa makadirio kuhusu maendeleo ya teknolojia, uchumi, na...
  16. A

    KERO Ucheleweshaji wa kutoa vyeti Zanzibar University

    Mimi ni mdau niliyesoma Chuo Kikuu cha ZANZIBAR Tunguu Mkoa wa Kusini Zanzibar, nalalamikia kwamba katika kipindi hichi Wanafunzi tuliomaliza Mwaka 2024 - 2025 katika kozi tofauti chuoni hapo tunacheleweshewa kupewa vyeti vyetu pamoja na transcript ambazo zinatusaidia katika kutafuta ajira na...
  17. Pfizer

    Mradi wa TESP kuweka mazingira mazuri katika utoaji wa elimu ya ualimu vyuoni

    Mratibu wa Mradi wa Kuendeleza Elimu ya Ualimu (TESP), Mwl. Cosmas Mahenge, ameelezea mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia mradi huo, ikiwemo ongezeko la vitabu na vifaa vya kujifunzia na kufundishia kwa wakufunzi na wanafunzi. Aidha, ameeleza kuwa Mradi huo umewezesha ujenzi na ukarabati...
  18. Burure

    Wadada wetu wa vyuoni wanajiuza sana hasa kwenye sehemu za starehe

    Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini 1. Ugumu wa Maisha Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
  19. M

    Usaliti, uchawi vingekuwa uhai wangu, vijana kiweni makini vyuoni

    Vijana vyuoni hii inaweza kuwa funzo kubwa sana kwenu, lakini pia hata raia wengine kuna cha kujifunza hapa. Ni stori ya kweli ni mkusanyiko wa visa vilivotaka kuchukua uhai kama siyo akili yangu. Nianzie mwaka 2017 nilipojiunga na chuo kikuu maarufu sana hapa nchini. First year semester ya...
  20. hitler2006

    Wanavyuo wa leo hawajitambui au mambo yao yapo vizuri sana vyuoni kuliko miaka ya nyuma?

    Miaka ya nyuma kidogo kulikua na kashikashi sana katika vyuo vya elimu ya juu nchini hasa vya serikali... Nakumbuka niliwahi kuhudhuria mdahalo pale nkruhma hall UDSM nikiwa mwanafunzi wa kidato cha tano makongo na mdahalo huo ulikuwa umeandaliwa na Tahliso chini ya Julius Mtatiro. Lakini pia...
Back
Top Bottom