Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema jumla ya wanafunzi 149,818 sawa na asilimia 69.96 wakiwemo wasichana 76,491 na wavulana 73,327 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika shule za sekondari za serikali 694.
Akitoa taarifa kwa umma Ijumaa Juni 6, 2025...