vyuo vya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya afya Tanzania na duniani

    Jamani wakuu mnisaidie hapa tujulishane kuhusu vyuo vya afya vya jeshi vipoje make sivifaham kbc hata vipoje Kama Kuna mtu anauelewa atupe ma concept.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee watoto wa Vyuo vya Afya (NACTEVET) wanaofanya mitihani yao ya mwisho wa Mwaka (semester II)

    Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea. Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies. Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mh Waziri Ummy Mwalimu walazimishe Wizara yako watoe ratiba ya mitihani ya vyuo vya Afya

    Watoto wako kwenye suspense hawajui lini wanaanza mitihani . Ratiba mpaka leo haijatoka Wana lengo gani kutokutoa ratiba mpaka leo? Wanataka kuwashitukiza watoto ili iweje? Wao walitendea hivyo wakati wanasoma?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo maalum wa uendeshaji wa vyuo vya Afya- Colleges Health And Allied Sciences (COHAS)

    Habari wa jamiiforums Kwa uendeshaji wa vyuo vya Afya nimeandaa mfumo maalum wa uratibu wa matokeo na ada kwa vyuo vya afya kwa ngazi ya NTA level 4,5 & 6 Mfumo huu utarahisisha kuhifadhi taarifa na kutoa matokeo kwa wanafunzi kwa wakati, Wanafunzi ambao hawajatoa ada wanaweza kuzuiwa kuona...
  5. R

    JamiiForums Tanzania NACTE admission za vyuo vya Afya 2021/2022 toeni majina ya waliochaguliwa

    Time is running very fast, we need to know the fate of our applicants. Tafadhali toeni majina watoto wajiandae pamoja na wazazi mambo ya ada na gharama zingine.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa Vyuo vya Afya yashatangazwa?

    Eti wameshatangaza waliochaguliwa vyuo vya afya au bado maana walisema wanatangaza 22/8 nao mpka sasa hivi sijasikia kitu. Naombeni msaada hapo
Back
Top Bottom