vyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. USSR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasimamizi na waangalizi wa mitihani hawataruhusiwa kubeba simu zao za mkononi katika vyumba vya mitihani

    Wizara ya Elimu ya Kenya, kupitia Baraza la Kitaifa la Mitihani la Kenya (KNEC), imeanzisha sheria mpya za usimamizi wa mitihani ya KCSE (Mitihani ya taifa ya shule ya msingi) na KPSEA (Mitihani ya taifa ya shule ya sekondari) kwa mwaka 2024. Miongoni mwa sheria hizo ni kwamba wasimamizi na...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa hotel za Hilton ilibidi alale ofisini kwake ili tu a-utilize kila nafasi iliobaki kwa ajili ya vyumba vya kulala wageni

    Hilton alipoletewa ramani kwa ajili ya ujenzi wa hotel yake ya kwanza alihakikisha kila nafasi iliokuwa imeachwa wazi anaitengenezea kitu cha kumuingizia mapato. Kama vile lobby iliokuwa imewekwa aliieguza kuwa bar room na sehemu ya kuuzia sigara na vitu vingine vya kufanana ili tu hata...
  3. HOMEX DESIGN

    JamiiForums Tanzania Vyumba vinne

    Nyumba ya vyumba vinne, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public. Kwa mahitaji ya ramani yake na nyenginezo, ujenzi nk. tuwasiliane kwa namba 0719086787
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aongoza harambee ujenzi wa Ukumbi na Vyumba vya kulala Wageni Parokia ya Kasumo; zaidi ya milioni 45 zakusanywa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameshiriki Misa Takatifu na kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa ukumbi na vyumba vya kulala wageni katika Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Jimbo Katoliki la Kigoma ambapo zaidi ya shilingi Milioni 45 zimekusanywa. Harambee hiyo imefanyika...
  5. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Vyumba Master vinapangishwa Karibu na Stakishari Polisi, DSM

    CHUMBA MASTER MPYAA - NJIA PANDA YA SEGEREA JIRANI NA STAKISHARI POLISI (A) Chumba Master Kubwaa Mpya - Kodi 100,000 miezi 6 Zipo Ndani ya Geti. Umbali wa Kutembea Kwenda kituoni dk 10 Maji meter yako . Umeme Submeter Kupelekwa kuona 10,000. Ukilipia dalali malipo Mwezi mmoja. Sifa za...
  6. Manka R

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA VYUMBA VINNE - PUGU KIGOGO FRESH 150,000x4 -0684223374

    Gari inafika sebule, dinning, etc
  7. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi. Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
  8. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nakukaribisha uangalie ramani hii ya vyumba 3 vya kulala

    Vyumba 3 vya kulala 1 Master bedroom 2 Normal bedroom Seble, dinning room,jiko,store, public toilet 2 verandahSawa makadilio haya hapa NYUMBA YA VYUMBA VITATU INA SELF MOJA NA VYUMBA VIWILI VYA KAWAIDA : ✴️Sitting ro ✴️Dinnin ✴️Kitchen & Stor ✴️Public toile ✴️1 Self Bedroo ✴️2 Normal Bedroo...
  9. Manka R

    JamiiForums Tanzania House4Rent Kodi 150,000/=

    Ipo Pugu kigogo fresh, Nyumba ina vyumba vinne vya kulala, sebule, dinning, jiko, choo&bafu ndani 0684223374
  10. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kiwanja hatua 15x15 kinatosha nyumba ya vyumba vitatu na sebule na choo?

    Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
  11. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya kupiga plasta vyumba viwili nje na ndani

    Nataka kujua gharama ya kupiga plasta vyumba viwili nnje na ndani, chumba master na single, na katikat kuna ki korido kina Choo public, pamoja na kuweka zege chini kwenye floor kote ndani
  12. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Ramani ya vyumba vitatu

    Habari zenu mabibi na mababu. Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet. Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Ramani ya kisasa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hostel ya vyumba 12 inauzwa tanga mjini million 55

    Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 55 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga. Kwa mawasiliano 0612630936 Attachments
  14. exponential

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba vyumba viwili vya kulala Mbezi Beach

    FOR RENT - TSHS 300,000 NYUMBA VYUMBA 2 VYA KULALA NA SEBULE JIKO LA WAZI NA CHOO NDANI. MAELEZO ZAIDI - 0679268006 Ipo Mbezi beach Makonde, umbali wa kutembea kutoka kituo cha daladala. Maji bomba ndani, luku yake, Parking ipo.
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakuu Kwema;nikiwa na milioni 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi maeneo ya Bagamoyo?

    Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi naombe ushauri wenu.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Gharama ya ujenzi wa vyumba 3 vyote self?

    Habari. Naomba kujua sehemu yenye tambarare mazingira ya dar es salaam maendeo ya kivule gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba 3 vya kulala vyote self, jiko, dining na sebule inaweza kugharimu kiasi gani, naomba mwenye uzoefu anijuze. Asante.
  17. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Hostel ya vyumba 12 inauzwa Tanga Kange kasera

    Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 60 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga … mwenye uhitaji anicheki namba za simu 0612630936
  18. S

    JamiiForums Tanzania House4Rent Napangisha Nyumba ya vyumba vitatu Kiseke-Mwanza

    Napangisha Nyumba Ipo Kiseke PPF Mwanza room 3 mojawapo ni master, sebule, jiko etc Bei ni 2,500,000/- kwa mwaka.. unaruhusiwa kulipa miezi sita.. Karibu sana!
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Itakuwa vyumba vimejaa

  20. T

    JamiiForums Tanzania Ramani ya vyumba viwili, kimoja master, jiko, sebule na public toilet kwa 5000 tu

    Wakuu habari za hapa,ninauza ramani ya kuanzia maisha ,ramani ya vyumba viwili,KIMOJA master,jiko,sebule, choo cha public. Ramani hiyo Ina kurasa za paa,msingi,muonekano,na vipimo vyake. Kwa mawasiliano nichek inbox. NB: NAUZA KWA SABABU MIMI MWENYEWE NIMENUNUA,NDIO AMBAYO NIMEJENGA.
Back
Top Bottom