vyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Nyumba vyumba 5 ni kaliiii sana wale wenye familia kubwa angalia hii mansion

    We do design and construction services 5bedrooms kali sana (mansion kabisa) Plot size 1500sqm Tupigie +255624004650 Tunapatikana sinza Dar es salaam
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Mimi fundi wa Kupaua, nyumba ya vyumba 3 napaua kwa TSh. Laki 8 bei ya ufundi

    Habari naombeni kazi mabosi zangu Nyumba ya vyumba ya vyumba 3 vya kulala napaua kwa lak 8 tu Namba zangu hizi 0743 257 669 Nipo banana ukonga
  3. Hharyson

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA VYUMBA 4 KALI KUWAHI TOKEA CHECK IT

    4BEDROOMS PROPOSAL DESIGN FOR OUR CLIENT (1200SQM PLOT) WE DO BUILDING DESIGN CALL US TO GET YOURS +255624004650
  4. A

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya kupangisha bajeti 30M

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka wadau, Nina million 30 nipo dar natamani nijenge vyumba kadhaa vya kupangisha vya single ila self sasa kwa bajeti hiyo inaweza kutoa vyumba vingapi? Nakaribisha maoni na ushauri
  5. A

    JamiiForums Tanzania Gharama msingi vyumba vitatu

    Wakuu Naomba kuuliza msingi wa vyumba vitatu kimoja self, jiko sebule na public toilet kwa Dar unaweza kutumia cement mifuko mingapi?
  6. Kitomai

    JamiiForums Tanzania ZINAUZWA HARAKA UPANGA! 🏢 Apartments mbili za vyumba 3 kwa TZS 350,000,000 kila moja!**

    **ZINAUZWA HARA 🔑 Vipengele Vikuu: ZIPO KATIKA UBORA: Zipo katika majengo yenye swimming pool, gym, lift, na genereta Mauzo ya Kibenki: Zinauzwa moja kwa moja na benki kwa uhakika wa usalama wa miamala. 📞 Mawasiliano ya Haraka: Piga simu kwa namba: 0784 225 000 ⚠️ Angalizo: "Hizi sio za...
  7. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kisasa vyumba bitatu inauzwa madale flamingo

    Modern house for sale Madale flamingo 3bedrooms house Area sqm. 600 Price 170 millions tsh Tittle deed availble 0742 892 195
  8. ahmedj

    JamiiForums Tanzania House4Rent Dalali wa nyumba, vyumba na viwanja Bagamoyo road

    4RENT - CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO LOCATION: GOBA SENTA BEI: TSHS 300000 CALL - 0716442950
  9. Bangida

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya heater bora kwa ajili ya nyumba ya vyumba 4

    Waungwana, amani na iwe kwenu. Bila kupepesa macho, naamini hapa ni sehemu sahihi kwa ajili ya hili suala linalonitatiza. Ntajitahidi nieleze kwa ufupi. Nipo katika hatua za mwisho za kufanya ukarabati wa nyumba kwa ajili ya kuweka wapangaji. Nyumba ina vyumba 4. Mojawapo ya amenities ambayo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Mabasi Nyegezi na Nyamuhongolo (Mwanza) Vyumba vingi vya Biashara vipo tupu kutokana na uendeshaji mbovu

    Stendi ya Nyegezi ni ya pili kwa ukubwa hapa Mwanza baada ya ile ya Nyamohongolo, wakati wa ujenzi wake ilielezwa kuwa zaidi ya Sh. Bilioni 15 zilitumika kwa mradi huo ikiwemo maegesho ya mabasi, magari madogo, vyumba maalumu za abiria na chumba cha Wanawake wanaohitaji kunyonyesha watoto...
  11. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania Contemporary Vyumba 3 Ndogo ya TOFALI na BATI Chache Sana & kiwanja Kidogo - Kuanzia Maisha na Kupangisha

    Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen Ukubwa - 91sqm Urefu - 12.3m Upana - 8.5m Gharama Ujenzi Boma - Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya vyumba vinne vs nyumba ya vyumba vitatu ipi nzuri

    Wadau natamani leo nione mawazo yetu hivi nyumba ya vyumba vinne ambazo tunaamini za kisasa na zile za vyumba vitatu tunaamini za zamani ipi Bora Kwa mimi naona vyumba vitatu sawa maana nyumba kuna wakati inakuwa kubwa mnabaki na familia chache ata kufanya marekebisho inakuwa inakushinda...
  13. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Je, kiwanja cha Futi 50 Kwa 40 kinajenga vyumba vingapi? Wataalamu tujuzane

    Habari zenu wana JF! Baada ya kuwaza sana kuhusu hivi viwanja vya mikopo vinavyouzwa, vyenye ukubwa wa Futi 50 Kwa 40 kama je, vinatosha kujenga nyumba? Kwangu Mimi nimeona itatosha endapo pale mnunuzi atakua hana mambo mengi. Kama vile kujenga vyumba vinne, choo cha ndani na sebule Kwa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naonya Mbinu Chafu isitumike hasa ile ya 4-4-2 ndani ya Vyumba vya Guinea leo, kwani Tutaumbuka vibaya na Kufungiwa

    Nasikia kuna Umafia umefanyika sasa kwakuwa sitaki Taifa Stars ishinde leo nawasanua Guinea ili FIFA na CAF wajue.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya kupanga maeneo ya Kimara Suka vinapositiwa bei rahisi alafu vizuri kinoma kuna nini huko?

    Wakuu kwema?. Naomba kuuliza mazee. Nimecheki Facebook nimeona VYUMBA vya kupanga maeneo ya KIMARA SUKA vinapositiwa bei rahisi alaf vizuri kinoma Kuna Nini huko. Mimi sijawahi kufika huko
  16. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Utandawazi usikuharibu, Epuka mahusiano na binti au vijana wa shule! Jela kupo na vyumba vya cell za polisi vinahitaji watu.

    Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa nyingi za mahusiano baina ya wanafunzi na walimu au hata watu wengine tu ambao si walimu zinafika...
  17. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUJUA MAKADIRIO YA MAWE (TRIPU ZA MAWE) KWENYE MSINGI WA VYUMBA VIWILI, MASTER BEDROOM MOJA, SITTING ROOM, KITCHEN, STORE NA PUBLIC TOILET..

    Habari za muda Huu wapendwa, Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo. Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya kupanga Single au Master

    Deleted
  19. USSR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasimamizi na waangalizi wa mitihani hawataruhusiwa kubeba simu zao za mkononi katika vyumba vya mitihani

    Wizara ya Elimu ya Kenya, kupitia Baraza la Kitaifa la Mitihani la Kenya (KNEC), imeanzisha sheria mpya za usimamizi wa mitihani ya KCSE (Mitihani ya taifa ya shule ya msingi) na KPSEA (Mitihani ya taifa ya shule ya sekondari) kwa mwaka 2024. Miongoni mwa sheria hizo ni kwamba wasimamizi na...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa hotel za Hilton ilibidi alale ofisini kwake ili tu a-utilize kila nafasi iliobaki kwa ajili ya vyumba vya kulala wageni

    Hilton alipoletewa ramani kwa ajili ya ujenzi wa hotel yake ya kwanza alihakikisha kila nafasi iliokuwa imeachwa wazi anaitengenezea kitu cha kumuingizia mapato. Kama vile lobby iliokuwa imewekwa aliieguza kuwa bar room na sehemu ya kuuzia sigara na vitu vingine vya kufanana ili tu hata...
Back
Top Bottom