vyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Zakazakazi: Siku Moja kabla ya mechi tulimkamata Mtu anapulizia dawa kwenye Vyumba vyetu Mkapa

    Msemaji wa Azam FC, Thabith Chumwi Zakaria (Zakazakazi), ameibuka na kauli kali akijibu malalamiko kutoka upande wa Young Africans S.C. (Yanga) kuhusu sakata la vyumba vya kubadilishia nguo uwanjani. Zakazakazi amesema wazi kuwa Yanga hawapaswi kutafuta sababu za nje kabla au baada ya mechi...
  2. 26 Life

    Bei ya vyumba Dodoma mjini imekaa vipi?

    Habari wakuu, Niko Dar es Salaam mwezi wa tatu kwa sasa, Sasa nataka nikamalizie project zangu Dodoma kama miezi mitatu hivi before sijageuka tena S.A. Gharama za guest au Air bnb ni kubwa sana, hivyo nahitaji chumba kimoja cha kawaida tu Dodoma mjini. Kiwe Self contained, Usalama mkubwa...
  3. M

    KERO Wanafunzi UDOM tunalipia gharama ya hosteli lakini ukikamilisha usajili unaambiwa vyumba vimejaa, tunalazimika kubebana

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tumelipia gharama za hostel lakini cha ajabu tunaambiwa vyumba / hostels zimejaa ilihali Mwanafunzi umeshalipia gharama za hostel. Kibaya zaidi mfumo wa Chuo (SR2) unakulazimisha ili ukamilishe usajili lazima ulipie accommodation fee (gharama ya hostel)...
  4. Voldemort

    Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

    Habari za leo wana JF 👋 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha wageni (public toilet).
  5. The dumb Professor

    Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Wakuu, Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
  6. aise

    Ramani ya Nyumba ya Kisasa: Vyumba 2, Jiko, Sebule na Choo cha Public pamoja na gharama

    Habari wakuu, nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master) Sebule, Jiko, Na choo Cha public. Ni ramani simple lakini ya Kisasa. Ramani hii itachukua Tofali 1,600 Saruji 30 Nondo 20 Mchanga mende 1 Kokoto gari 1 n.k n.k Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10. Karibu...
  7. DELETED ACCOUNT

    Chumba cha kubadilishia nguo ni special kwa wachezaji na benchi la ufundi siyo jukwaa la kisiasa

    Kuna haka katabia kalianza kunikera katika vilabu vya Simba na Yanga ka viongozi wa siasa kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji baada ya mechi na wakati mwingine kabla ya mechi na hata kipindi cha mapumziko. Ni katabia kalikoota mizizi na sasa imeonekana kama ni jambo la...
  8. A

    Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni

    Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni. Nisaidieni mawazo wakuu
  9. D

    Kwa Mahitaji ya Nyumba, Vyumba Frem Dar es salaam

    Nimerudia Kazi Yangu Jasiri haachi asili! Nimerudi rasmi kwenye kazi yangu ya udalali kwa nguvu mpya na uaminifu ule ule. Karibuni sana kwa huduma bora na zenye uhakika. Ninapangisha: Nyumba Vyumba Fremu za Biashara Eneo: Jiji zima la Dar es Salaam (kwa haraka zaidi maeneo ya Mbezi...
  10. Kasri Homes Tz

    INAUZWA Dar Kimara: Guest House Vyumba 10 Kwa Mil. 100 Tu

    . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  11. BabaMorgan

    Kuna baadhi ya vyumba vinatisha wakuu

    Chumba changu cha kwanza kupanga hapa DSM kilikuwa kipo vibaya ila kutokana na hali ikabidi nikizoee licha ya uchakavu wa chumba changu ili kuna baadhi ya vyumba mitaani vilikuwa too much nikakumbuka kuna mshikaji alipata kazi ya kupuliza dawa ya mbu kwenye wilaya fulani alikuwa akiniambia...
  12. Hharyson

    Affordable Servant Quota Design Ya Vyumba 3. PICHA ZA SITE DOWN

    Sio kila mtu huanza na nyumba kubwa — wengine hujenga ndoto kidogo kidogo. Hii servant quota design ni ndogo, affordable na imebeba kila kitu unahitaji: Master bedroom (self-contained) Chumba cha pili (self) Chumba cha tatu kinatumia public toilet Sebule ya kustarehe, dining, na jiko Hii ni...
  13. dalaliami

    House4Rent Nyumba Vyumba 3 in Mbezibeach Tangibovu

    Nyumba ina vyumba 3 vya Kulala, Sebule dinning, jiko, Choo ndani. —Tshs 500,000/- — Maelezo zaidi 0716442950
  14. radhiya

    Tunatafuta Nyumba ya vyumba vitatu vya kupanga

    Tupigie kama una nyumba yenye vigezo hivyo 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  15. Wachatech

    Ramani kali ya vyumba vitatu

    Ramani ya vyumba vitatu Sebule jiko dining store Choo Kwa maelezo zaidi +255678418272 WhatsApp
  16. stabilityman

    Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi

    Bure kabisa fatilia hapa Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi vya kulala Wasalaam Eng James 0743 257 669
  17. stabilityman

    Je kiwanja cha 27 kwa 15 kinaweza kujengwa nyumba ya vyumba vingap? Soma hapa

    Nimeulizwa swali Je kiwanja cha 27 kwa 15 kinaweza kujengwa nyumba ya vyumba vingap? Kiwanja chenye urefu wa mita 27 na upana wa mita 15 kinaweza kubeba idadi tofauti ya vyumba kulingana na mpangilio wa ramani, aina ya ujenzi, na nafasi ya fensi. 1. Idadi ya Vyumba Unavyoweza Kupata ✅ Nyumba ya...
  18. R

    Natafuta mhandisi mwenye sifa kuandaa michoro ya plumbing kulingana na house plan ya vyumba vitatu. Plan imeshapata kibali cha ujenzi.

    Kama una huo ujuzi tuongee. Hata kama huna degree ya engineering ili mradi una uzoefu wa kutosha
  19. Kasri Homes Tz

    House4Sale Kibamba: Nyumba ya Vyumba 3 ya Ghorofa 1 Inauzwa - Dar

    • Direction: • Features: • Facilities: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  20. stabilityman

    Ramani ya vyumba 3 vya kulala

    Raman ya vyumba 3 vya kulala Ina vitu vifuatavyo Chumba 1 master Chumba 1 hakina choo Chumba 1 hakina choo Seble Dinning Jiko Store Public toilet Inachukua mita 13 kwa mita 12 Sasa njoo whatsapp 0743 257 669 ili nikupe raman hii kwa bei simple sawa na bure raman imekamilika kila idara ina hadhi...
Back
Top Bottom