vyoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded ‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma yatoa ufafanuzi kuhusu video ya uchakavu wa vyoo Shule ya Msingi Muhamani

    ‎‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imetoa ufafanuzi rasmi kufuatia video inayosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa Jamii Forums ikionyesha madai ya uchakavu wa vyoo katika Shule ya Msingi Muhamani iliyopo Kata ya Simbo. ‎ ‎Akizungumza kuhusu suala hilo Kaimu Afisa Elimu Awali na Msingi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vyoo vya Shule ya Muhamani - Kigoma Vijijini vimejaa, Wanafunzi hawana pa kujisaidia

    Hii ni Shule ya Muhamani Kigoma Vijijini, choo kimejaa na Wanafunzi wamerudishwa nyumbani, Madarasa hayo yanatumika na ni mabovu, Serikali isikie kilio chetu na itusaidie, tunahitaji msaada wa haraka sana.
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Wasanii wa sasa wamekuwa vyoo vya jamii na sio vioo vya jamii

    Mchungaji ashangazwa na kitendo cha wasanii wa bongofleva na bongomovie kulundikana kwenye mikutano ya siasa,adai kwasasa wamekuwa sio vioo vya jamii tena bali ni vyoo vya jamii. Neno moja kwake Soma pia: Kwa nini wasanii na masheikh ndio wamekuwa mstari wa mbele kujibu mashambulizi?
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mzunguko wa hewa huwa sio mzuri ndani ya Bus zenye viyoyozi (AC), bora kufungua vioo tu

    Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwana JF, hatimae Vyoo vya Stand ya Mkoa Hapa Sumbawanga vimerekebishwa.

    Moderator utanisaidia kuweka link ya ule uzi na jina la mleta uzi. Kwenye uzi ule MwanaJF alionyesha hali mbali mbaya ya choo cha stand ya Mkoa pale Katumba, Sumbawanga. Na mimi pia nilichangia. Uzi huu ni appreciation kwa Jamii africa, mleta uzi na watekelezaji. Hongera JF, Hongera Mwana JF...
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kero: Vyoo vya Simu 2000 ni vichafu sana

    Vyoo vya hii stendi jirani na kituo cha Polisi cha Simu 2000 ni vichafu sana. Unapoingia tu unakutana na masinki yale ya wakati wa COVID-19 ya kunawia mikono yana maji machafu yaliyotuama humo ni kama yamekuwa hapo kama mwaka hivi hadi yameoza. Ukitoka hapo unalipia lakini ukiingia ndani vyoo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa Chuo cha UDOM uboreshe usafi hasa vyoo vya mabweni, hali si nzuri huko

    Naomba kuwasilisha kero hii kupitia jukwaa hili labda Serikali inaweza kuchukua hatua hitajika ili kuweka mazingira salama kwa ajili ya usalama wa afya za Wanafunzi na kutoa mazingira rafiki kwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Hali ya usafi katika chuo hiki ni mbaya sana, hiyo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Mpanda yafafanua uchafu Vyoo Stendi ya Mizengo Pinda, yasema inafanya ukarabati

    Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kueleza kushangazwa na hali ya uchafu ya vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda, kutokana na kujaa maji taka na hivyo kuweka rehani afya za watumiaji ambao wanaweza kupata magonjwa mbalimbali kama UTI, Mamlaka imetoaufafanuzi. Kusoma hoja ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Natamani Viongozi wa Wilaya na Mkoa Katavi wangekuwa wanatumia Vyoo vya Stendi ya Mizengo Pinda labda wangevijali

    Leo Julai 16, 2025 nilikuwa nasafiri kutoka Mpanda kuelekea Sumbawanga, nikiwa Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda nilienda msalani, jambo la kushangaza na kutisha nimekuta vyoo upande wa Wanaume sio tu vichafu bali vimejaa maji taka hadi juu. Naziomba mamlaka hususani hasa Mkurugenzi wa...
  10. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo Stendi Kuu ya Nanenane (Dodoma) hali siyo nzuri, vile vya Walemavu wamevifunga

    Nimefika kwenye Vyoo vilivyopo kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi upande wa Wanaume mazingira yake siyo mazuri, sehemu za huduma ya haja ndogo yale ma-sink yameondolewa. Wahusika wanaosimamia wanatoza Shilingi 300 kwa kila mtu anayeingia hapo lakini hali ndio kama hivyo unavyoiona, kwa ufupi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya Uwanja wa ndege wa Sheikh Abeid Aman Karume ni aibu tupu

    Jaman wahusika waambiwe tunalitia aibu taifa vyoo vya terminal 3 tayari vinafanana na vya stendi ya zamani ya ubungo. Zile shimo za kutolea maji chini ziko wazi imagine wageni walikuwa wanasifu uwanja leo wanauponda kuta za terminal 3 tayari zimekwanguka hasa upande wanaowasiri wageni wa nje...
  12. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyopo Manispaa ya Songea (Ruvuma) ni hatari kwa Wanafunzi

    Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Licha ya makusanyo makubwa, hali ya Vyoo vya Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho inasikitisha

    Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama unavyojionea. Kinachoshangaza ni kuwa hali hiyo imekuwepo kwa muda sasa, licha ya kuwa abiria ni...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya treni ya SGR (Ordinary) vimeanza kuharibika, hakuna hatua zinazochukuliwa

    Mfano, ingia behewa namba 7 kwenye treni ya ordinary uone jinsi vyoo vilivyoharibika na ni zaidi ya mwezi sasa hakuna hatua zozote. Huu ni mwanzo wa kuiua treni yetu.
  15. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Aseeee Kuna vyuo vikuu na Vyoo vikuu aseeeee : haloooo

    Dah hatari kweli......!!!!!!!!!!!! Hatari na nusu....
  16. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Swali la Kiimani & Sayansi:- Kwanini watu hawapati stroke (kupigwa na majini) kwenye vyoo vya umma?

    Ni kawaida sana kwa watu kupatwa na stroke wakiwa kwenye vyoo vya majumbani kwao. Lakini sio kawaida hata kidogo kukuta mtu kapatwa na stroke kwenye vyoo vya umma. Kwanini Hali hii utokea hivi?
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hospitali ya wilaya ya Tunduru vyoo vya wagonjwa vichafu na havina maji

    Hospitali ya wilaya ya Tunduru vyoo vya wagonjwa vichafu na pia hakuna maji yapata mwezi Sasa , je viongozi hawalioni hili?
  18. Half american

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye nyumba za kupanga ujenzi wa vyoo vizuri hauzingatiwi?

    Ujenzi wa choo kizuri na salama kwa matumizi sio jambo linalozingatiwa sana hasa kwenye nyumba za kupanga hasa hizi za bei za kawaida (10K-150K). Unakuta nyumba nzuri na mazingira n mazuri ila chooni utadhani kulisahaulika wakafosi kujenga ili choo kiwepo. Vyoo vingi ni vidogo sana, na namna...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Miundombinu ya Stendi ya Urambo ni duni, inatia aibu, Vyoo navyo ni hatari kwa Afya za Watumiaji

    Juzi nikiwa katika safari zangu nilipita Urambo, nilipofika katika Stendi ya Wilaya ambapo basi letu lilipita hapo, nilishangazwa na muonekano wa Kituo hicho, kilikuwa ‘too local’, mazingira yake sio mazuri na ukweli hali hiyo inasikitisha. Tulishuka na wenzangu kadhaa na kwenda kwenye vyoo vya...
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Huduma ya vyoo katika mabasi ya mikoani

    Ndugu abiria tunapenda kuwafahamisha kuwa ndani ya basi letu tuna huduma ya choo kwa ajili ya haja ndogo pekee! Kama utakuwa na uhitaji wa ziada usisite kuomba msaada wa kondakta. Hii ni kauli ambayo Inatolewa Na wahudumu wengi ndani Ya mabasi haswa ukiwa safarini. Na huwa wanasisitiza kuwa...
Back
Top Bottom