Teknologia imeongezeka kwa sasa hivi watu wanatumia pikipiki za umeme na magari ya umeme, kwa sheria za tanzania hivyo sio vyombo vya moto hivyo havina bima wala hahutaji leseni kuviendesha ni kama unaendesha baiskeli au guta au mkokoteni wa ngombe, pia hamna kuingia sheli kunywa mafuta ukifika...