Je, Mashirika na Taasisi hizo zinatumia Teknolojia ya Ai kwenye vitu mbalimbali ili kuongeza ufanisi na kasi ya kiutendaji ?
Ni wazi Taasisi nyingi zina uhitaji wa teknolojia hii mpya ya Ai
Kwa kuzingatia uzito wa suala hilo JamiiAI imebuniwa kwa lengo kuu la kuiwezesha jamii ya Kiswahili...
Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Maandamano yaliyokabiliwa kwa nguvu na polisi na JWTZ yalisababisha...
Kilichowatokea Venezuela masaa machache yaliyopita, kinathibitisha ukweli wa ile narrative isemayo: ukitaka kuiponya nchi yako na uvamizi wowote kutoka nchi za nje, basi hakikisha una uungwaji mkono wa kutosha ndani ya nyumba yako -- wananchi, jeshi, na vyombo vingine vya usalama.
Huo utatu wa...
Akizungumza na Jamhuri TV Jaji Mkuu Mstaafu, Joseph Warioba ameeleza kuwa alionya jeshi kuhusishwa na siasa na sasa matokeo yake yanaonekana ni kuwepo kwa mgawanyiko ndani ya vyombo vya usalama.
"Nikasema tukihusisha vyombo vya ulinzi na usalama katika siasa tutapata matatizo na specifically...
Mkazi wa Dsm aliyejiyambulisha kwa jina la Amina Eli akitoa maoni yake kuhusu hali ya Disemba 09
"Tunashukuru jeshi la polisi na Vyombo vya usalama kwa hali ya Disemba 9 matarajio ya watu yamekwenda tofauti kwaio shukrani zetu tunazipeleka kwa Jeshi la Polisi na Serikali yetu kwa ujumla"
Haya mambo yakiendelea angalau mara tano ,sita , nawakikishieni hata vyombo vya usalama vitachoka kumlinda.
Leo watu wameandaa maandamano hewa jamaa wamejaa kwenye mfumo , wamepoteza pesa kizembe na wameishia kujichosha.
Hata hivyo vyombo vya usalama wanachoka kuzurula na hayo magari, siku kuu...
Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote...
Rais najua umelala, Mimi sijalala kama kweli kwenye walioandamana Kuna walio kuwa na silaha, na wengine hawajui Kiswahili nchi haiko salama.
Rais wakati ukiwa kwenye kampeni kuna mengi Tanzania yalijili lakini binafsi siamini kama tulifika HATUA hii
Yaani silaha zilipitishwa mipakani kama...
Hivi karibuni tu ilitoka moja ya ndege kubwa zaidi ya cargo JNIA (Uwanja wa ndege ya Julius Nyerere, Dar es Salaam).
https://fr24.com/VDA7720/3d20aa2e
Ndege hii ya aina ya Antonov An-124-100 maarufu kama 'Ruslan' ina uwezo wa kubeba mpaka kifaru.
Ndege ilifika Dar saa 6 na nusu leo...
Mauaji ya Mwaka huu October 2025 yamefikia zaidi ya 6,900 yamethibitika kwa Samia kupewa idadi hii na mtu ambaye amekuwa anawasiliana naye moia kwa moja tarehe 29 kwamba wauwawe ni shoot to kill Kama nilivyoleta Uzi hapa !
Kikwete amehusika katika kuwapa order kikosi kuwakamata wanaogusa ugali...
Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu.
Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba uchaguzi alafu vyombo vya usalama vinajioa akili na kumpigia saluti kuwa ni rais.
Wananchi tutachukua...
Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa.
Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama.
Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipaya, Oktoba 24,2025 ameongoza vyombo vya ulinzi na usalama, wananchi na vikundi mbalimbali vya Jogging na hamasa katika matembezi ya miguu kuzunguka maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Mtwara Mikindani. Matembezi hayo ya miguu yalihudhuriwa na Kamanda wa...
INSPEKTA WA POLISI AMWAGA MAZITO YA KUHAKIKISHIA RAIA USALAMA NA USHIRIKIANO OKTOBA 29
Hello, important plz.
Mimi ni police rank ya inspector, naomba nikujuze kwamba tumeshajipanga vizuri kuikomboa nchi, wa Tanzania wasiogope kutoka ndani na wala wasiogope hayo magari hivyo ni vitisho tu...
Nimeeleza kwenye moja ya mada za Britannica namna vyombo vya usalama vinavyofuatilia na kuteka watu wasipatikane kwa muda au hadi uchaguzi utakapokamilika. Mimi soma profile yangu nipo kama mchambuzi fulani hivi lakini baada ya kuona mambo fulani hivi imebidi niingie in details kuongea na Gen Z...
Leo, tarehe 10 Oktoba 2025, maafisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali kutoka Makao Makuu ya Polisi Zanzibar na Mkoa wa Mjini Nagharibi Unguja wameungana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na Idara Maalum ya Vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika matembezi ya pamoja...
Wanasheria wa Humphrey Polepole wameitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua za haraka, kutumia rasilimali zote zilizopo kuhakikisha usalama wake na kutoa taarifa kwa Watanzania na jamii ya kimataifa kuhusu matokeo ya juhudi hizo, pamoja na hali ya kisheria ya Polepole. Wanasheria wake...
Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida?
Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.