vyombo vya ulinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    BAKWATA: Pongezi za ziada ziende kwa vyombo vya ulinzi kuhakikisha Amani na Usalama vilirejea ndani ya muda mfupi Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaj Nuhu Mruma, akizungumza kwenye Baraza la Idd el-Fitri leo tarehe 21 Machi, 2026 jijini Dar es Salaam.
  2. S

    Kesi ya Lissu ni ushahidi kuwa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, kuna shida ya watu Wazalendo

    Huu ndio ukweli mchungu na ndio maana tupo katika halii hii na huenda tukaendelea kushuduhia mambo mengi zaidi ya haya tunayoyaona leo. Pia, yaliyotokea Oktoba 29 ni ushahidii mwingine wa kukosekana wazalendo katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Jambo la msingi: Kupitia mauji ya Oktoba...
  3. Waufukweni

    Ado Shaibu: Vyombo vya dola vifanye uchunguzi wa kina, vijiridhishe kama waliokamatwa Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru kama alivyoahidi Rais

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amezitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria kufanya uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kama watu wote waliokamatwa katika matukio ya Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru, kama...
  4. The Palm Beach

    Unawaelewa wazee hawa? Haya ndi maazimio yao juu ya matukio ya mauaji ya 29/10 - 4/11/2025 yaliyofanya na vyombo vya ulinzi na usalama vya serikali

    https://www.youtube.com/live/EJPutwDEwWI?si=34CGu0w1t3vdHky0 Leo taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation ilikusanya wazee na kujadili mauaji ya zaidi Watanganyika 10,000 yaliyofanywa na serikali ya Samia na CCM Binafsi sijawaelewa.. Nimesikiliza hayo maazimio ya hawa wanaojiita "wazee" na...
  5. The Palm Beach

    Reuters: Mauji ya maelfu ya Raia wa Tanzania trh 29/10/2025 yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na Usalama - Tanzania yalipangwa na kukusudiwa!

    "Hawa watu wametukaba koo kweli"; Alisikika Mwigulu Nchemba akimwambia Jakaya Kikwete ktk korido za Lumumba "Na sisi tutahakikisha tunatumia kila njia kujisafisha, na kama mbwai basi na iwe mbai. Tutahakikisha Samia wetu haendi kwenye ile mahakama ya kimatifa!" Akajibu Jakaya Kikwete Hii ni...
  6. Fbn

    Tunaomba kupata mwongozo kwamba serikali na vyombo vya ulinzi vikikukuta na kadi ya CHADEMA ni uhaini

    Kwa sasa nimeshindwa kuelewa wakihisi kwamba sio CCM .Wakikukamata wa kikukagua wakakuta una kadi ya CHADEMA au kukupekuwa nyumbani kwako basi vyombo vya ulinzi unatafutiwa kesi. Je vitendo hivi vyombo vya ulinzi vituoneshe sheria hipi kwa sasa imeingizwa. Moderator unaweza kuweka idara...
  7. DuaZaMama

    PostGE2025 Simbachawene: Vyombo vya ulinzi mmefanya kazi nzuri kuwalinda raia na mali zao

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwa kuhakikisha hali ya amani na utulivu nchini, hasa baada ya kuibuka fununu za uwepo wa maandamano yasiyo na kikomo. Waziri Simbachawene ametoa kauli hii alipotembelea na...
  8. L

    PostGE2025 Watanzania wavimiminia na kuvimwagia Sifa na Pongezi vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa Uhodari na uimara wake katika kulinda Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Imeeleweka ni kwanini maadui zetu huviogopa sana vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania, imeeleweka vizuri ni kwanini Askari wa kitanzania hupata tuzo na nishani mbalimbali wawapo katika misheni mbalimbali nje ya nchi. Imefahamika ni kwanini Tanzania imekuwa salama...
  9. R

    PostGE2025 Video: Vyombo vya ulinzi vikiendelea kufanya ukaguzi wa usalama kwa nyia ya anga

    Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama. Vipi hali huko mitaani wakuu?
  10. Lord Denning

    'Inkotanyi': Falsafa muhimu inayopaswa kufundishwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama hasa JWTZ na TISS

    Nchini Rwanda kuna falsafa muhimu sana inayotumiwa kumaanisha kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo na kuwalinda Wananchi na maslahi yao. Falsafa hiyo inapatikana kwenye neno Inkotanyi. Neno hili linamaanisha nguvu ya pamoja inayofanywa kwa ujasiri ili kulinda Wananchi na kusimamia maslahi mapana...
  11. DuaZaMama

    PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya ulinzi viko tayari wakati wowote kuelekea Desemba 9

    "Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako salama, mali zao ziko salama, mipaka ya nchi yetu iko salama." Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali
  12. Lord Denning

    Nawahakikishia Vyombo vya Ulinzi na Usalama. Endeleeni kumkumbatia ila kuanzia Aprili 2026 mtaanza kupokea mishahara na posho tarehe 70

    Najua mna akili za kuvukia barabara tu. Najua wengi wenu hamuelewi hata maana ya kusimamia maslahi ya Taifa na Wananchi ni nini? Najua wengi wenu hamuelewi kuwa kiapo cha kwanza cha askari dunia nzima ni kulinda raia na wananchi. Najua wengi wenu mnanogewa na hivyo vimishahara mnavyolipwa na...
  13. Fbn

    Kama likitokea vyombo vya ulinzi kupinduana tunaweza kukuta vyombo vya ulinzi vitakavyo pingana na wengine ni CCM.

    Mfumo waliofanya CCM ni kama vyombo vya ulinzi ndio wanaviongoza na vina wafuwasi wao ndani. Kuna mda unakuta mtu anakutamkia wazi kama sio mwana CCM hawezi kukuogopa sababu yeye ni polisi, gereza, usalama ,TAKUKURU, uhamiaji na JWTZ
  14. N

    Tetesi: Homa ya D9: Vyombo vya ulinzi (JWTZ, polisi, jeshi la magereza n.k.) kufanya usafi nchi nzima kuanzia Disemba 7

    Haya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana. Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi. Mikoa ambayo...
  15. S

    Mtazamo: Hotuba ya Mama huenda imeandaliwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Nafikiri hao ndio waliomundalia hiotuba kama vile anaenda kuhutubia askari walioko au wanaojiandaa kwenda kwenye uwanja wa vita huki wananchi wakiwa ndio Jeshi la adui aliokuwa akiwaemq. Sijui mmenielewa?
  16. O

    Vyombo vya Ulinzi; kwanini hatukujifunza nchi jirani, au tuliwadharau kwa kuwa sisi tulikuwa kisiwa?

    Bila kupepesa macho, vyombo vyetu ya ulinzi na usalama hasa vyenye mamlaka na intelijensia ya nchi vinafaa kutupiwa lawama, Ni mwaka jana Julai 2024 hapo nchi jirani kulitokea na maandamano yaliyoakisi mwelekeo wa siasa za Afrika mashariki, kwamba tusifanye kazi kwa mazoea. Wakati maandamano...
  17. Samia atosha tukutane2030

    Natoa elimu fupi kupitia picha hii. Tujielimishe!

    Tanzania tuna vyombo vya ulinzi na usalama takribani 6 na tuna idara saidizi za ulinzi na usalama kadhaa. Kila chombo kiko huru kujisimamia ingawa vyombo hivi hutegemeana. Wakati mwingine chombo kimoja kinaweza kufanya majukumu ya chombo kingine lakini kwa kushirikiana na chombo husika. Yaani...
  18. Idugunde

    Anachomaanisha waziri mkuu ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kulinda mipaka ya nchi yetu

    Impliedly ni kuwa Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini kwetu wameshindwa kulinda mipaka ya nchi hii. Raia wa kigeni wanaingia nchini wakiwa na silaha za kivita kisha wanawachochea vijana wa kitanzania watu wazima kuingia mitaani kuikataa CCM. Kwa ujumla hawa wakuu wa vyombo vya...
  19. Waufukweni

    PostGE2025 RC Chalamila: Vyombo vya ulinzi na usalama vimefanya kazi kubwa, bila hivyo Dar ingekuwa giza

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema miundombinu ya Mkoa huo imeendelea kudumu na kuimarika kutokana na ufanisi wa vyombo vya ulinzi na usalama, ambavyo vimefanya kazi kubwa katika kudhibiti athari za maandamano ya Oktoba 29, 2025. Akizungumza leo Novemba 24, 2025 katika...
  20. uhuruborn

    PostGE2025 Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Historia inawaangalia

    Watanzania wanalia baada ya mauaji ya kikatili ya wananchi mnamo tarehe 29 Oktoba 2025, na siku hiyo hiyo uchaguzi wa kiguni ulitokea ambapo viongozi wengine walichaguliwa bila kupigiwa kura na watanzania. Watanzania milioni sitini na sita (66) wanaendelea kuteseka, huku haki yao ya msingi...
Back
Top Bottom