Niliwahi Uliza , Huu Utekaji, Mauaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya kuua Viongozi wa Dini, Kumpa LISSU kesi ya kihuni, Kuzuia CHADEMA , kujtahidi sana Mbowe kua Mwenyekiti wa CHADEMA, kufadhili CHAUMA, haya yoooote ni sababu ya Urais wa Miaka mitano tu?.
Urais ambao Hayati Magufuli...