vyema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia nikukumbushe tu, mtangulizi wako alianza nao vyema kama wewe, ulimponda kwa mabaya yake leo yamekukuta

    Ushauri wangu ni kwamba nchi yetu haina special person(specialized) wengi katika taaluma tofauti mfano Siasa ila ina mashabiki wengi baadhi yao wapenda udaku,mipira na wengine wapenda umbeya wa siasa(hawana taarifa ila ni waropokaji kwa taarifa wanazopatiwa). Ukitaka kutambua hili kuna mtu yupo...
  2. JamiiForums Tanzania Tusifikie hapa kwasababu hali inaweza kuwa mbaya zaidi , ni bora kushauri vyema kuliko kushauri hivi alivyo shauri huyu mtumishi

    Mimi nadhani kuendelea kuzungumza swala hili ni kulifanya liwe gumu zaidi badala yake kwakuwa tayari kanisa limesha toa msimamo wa kwenda mahakamani kupinga kinacho daiwa kufungwa Kwa kanisa Sasa hekima ni Bora kusubiri maamuzi ya mahakama kwanza kabala ya kuendelea kupambisha moto Hoja yenyewe...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi hotuba za Rais wetu, CHADEMA ni vyema mjiandae kimkakati kuelekea 2030, uchaguzi wa mwaka huu ni wazi hata kwa 0% hautakuwa wa huru na haki.

    Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90. Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni mwana ccm yeyote wa kukubali kuachia jimbo kizembe eti kisa wewe mpinzani. Chadema mwaka huu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Boni yai umefafanua vyema leo. Nimeelewa G55 ni nini na udhaifu wao. CHADEMA ametoa mwongozo mzuri kuhama basi

    Ni kweli kama uchaguzi ulikuwa mzuri na Mbowe alisimamia Demokrasia. Je hao G.55 walipatwa na nini. Njaa au kukosa maono ya maisha yao ya kisiasa. Asante Boni Umewasaidia Watanzania Bravo hotuba yako ina impact sana.
  5. JamiiForums Tanzania Wadada Wenye Miili Mikubwa Tujitahidi Kujisafisha vyema kupunguza Aibu

    Habari jamani leo naomba nije kasi na haraka maana kituko nilichoshuhudia jana ni aibu kubwa sana. Songa nami. Jana pale maeno ya Ubungo External kulikuwa na shughuli ya kumtoa mtoto 40. Waalikwa walikuwa ni wengi na palikuwa na hekaheka nyingi sana. Sasa basi katika makutano hayo alikuwapo...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Tunazifahamu Vyema Nchi za Kinordic?

    Nchi za Kinordic; Sweden, Norway, Denmark, Finland na Iceland zinajulikana sana miongoni mwa Watanzania kwa sifa chache mashuhuri—kama vile maisha bora ya wananchi wao, elimu ya bure, kiwango kidogo cha rushwa, usawa wa kijinsia na viwango vya juu vya furaha. Lakini je, tunafahamu zaidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania IFAHAMU KARAMA YAKO NA UITUMIE KUISHI VYEMA DUNIANI

    Hello Wana JF; Leo nakuja na Mada hii inayohusu KARAMA au wengine huita KIPAWA/KIPAJI. * Ifahamike kuwa kila binadamu aliyepo hapa duniani, basi kaletwa kwenye uwanja wa mapambano, mapambano ambayo yamegawanyika katika makundi, kuna mapambano ya kiimani, kiuchumi, n.k. Ila amini nakwambia hayo...
  8. JamiiForums Tanzania Si vyema mwandishi wa habari kuwa mtu wa akili ndogo na mawazo finyu.

    Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
  9. JamiiForums Tanzania Nimemshangaa sana aliyesema hapa JF kuwa Waziri Ulega hajui Kiingereza na katutia Aibu Watanzania kwani amejitahidi na kueleweka vyema tu

    Simkubali kutokana na Uchawa wake na Kofia aliyoivaa ikiwa na Herufi Kero fulani fulani Kwangu ila nimemsikiliza Kiingereza alichokiongea na niseme tu amejitahidi na kaeleweka. Halafu huwa nawashangaa sana Watanzania tunaacha Kujivunia lugha yetu adhimu na pendwa Afrika na Duniani kwa sasa ya...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Usaliti wanaopitia Ukraine na Ulaya kutoka kwa Marekani, kihistoria ni kawaida ya Marekani. Sio taifa la kuliamini kwa 100% Tujikumbushe kidogo

    Jinsi ambavyo ghafla Marekani imembadilikia Ukraine na kutafuta suluhu na Russia hii inatukumbusha matukio matatu makubwa jinsi Marekani anavyoweza kubadilika kama kinyonga na kutokuunga mkono. Kabla ya WW2 Marekani ilikuwa ikiunga mkono Ujerumani. Wakati wa WW2, Marekani iliunga mkono USSR...
  11. JamiiForums Tanzania Geti la Jahanamu wanalotaka kulifungulia Trump na Netanyahu huko Gaza, waangalie vyema lisije likafungukia upande wao

    Bado nasimamia kwamba Trump na Netanyahu wamechanganyikiwa kuhusiana na wapalestina na hasa Hamas. Wanapenda na wangetamani vita vingekwisha na kutangaza ushindi.Jambo hilo ni gumu kwa sasa na Hamas wameganda bado huko Gaza. Katika nyakati tofauti raisi Trump na mwenzake huyo wametoa matamshi...
  12. JamiiForums Tanzania Juma Ayo: Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba apewe Derby ya Kariakoo, anajua kutafsiri vyema sheria za soka

    “Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo. Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio” Hayo ni maneno...
  13. JamiiForums Tanzania Kuongea kwa kukandamiza siyo ushamba bali KARAMA hivyo WASUKUMA tueleweke vyema

    Amani iwe kwenu watanzania wote Kumeibuka tabia ya watu wengi kutokujua ni nini maana ya ushamba, na hii yote inachangiwa na watu kutokuwa na elimu vyema , hasa ukizingatia kuwa CCM wamewanyima watanzania elimu iliyo bora ili waendelee kuwatawala inavyotakiwa yaan kisawa sawa Watanzania wengi...
  14. JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup: Ukishindwa kujipanga vyema, unapanga kushindwa vyema.

    Mashindano ya Mapinduzi Cup yamejikuta katika sitofahamu baada ya Burundi na Uganda Cranes kujiondoa ghafla, kulazimisha mabadiliko ya mfumo wa mashindano. Hali hii inatoa somo muhimu sana: "Ukishindwa kujipanga vyema, unapanga kushindwa vyema." Awali, Mapinduzi Cup ilitarajiwa kushirikisha...
  15. JamiiForums Tanzania First impression at first sight ndiyo hubeba kibali cha mahusiano yoyote. Jipange vyema unapokwenda kukutana na mtu au taasisi kwa mara ya kwanza

    Usijieleze sana, maana haibadilishi chochote. Binadamu anakupenda ama kukukubali dakika tano tu za kwanza anapokuona, hata kabla hujajieleza. Namaanisha, binadamu anakukataa moyoni dakika tano tu za kwanza mara anapokuona kwa mara ya kwanza. BILA SABABU YOYOTE, yaani, JINSI ULIVYO TU...
  16. JamiiForums Tanzania Ukiagiza bidhaa au gari na ukakwama ushuru ni vyema baada ya gari kufika ukapeleka Bonded Warehouse

    Kama umeagiza gari au bidhaa na ikawa imefika Kwenye Bandari na wakati huo pesa ya ushuru umepungukiwa,kukwama au hukuwa na taarifa sahihi za ushuru na makadirio ya kodi yamekuja zaidi ya kiwango ulichopanga njia sahihi ni kumwambia wakala wa Forodha(Clearing Agent) afanye maombi (TRA) ya...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusikubali kwamba tumeshindwa na hivyo tukampa nchi Elon musk atuongoze vyema. Hakika tutafika mbali.

    Inajulikana wazi susi waafrica hatuna tunachojua zaidi ya kupas kwa ungo na ulozi mwingi. Nchi zetu tumeshindwa kuziendeleza mpaka Mungu anstucheka. Nahauri tumpe nchi Elon musk au tumpe Africa yote kabisa. Tukse palee tutulie mwanaume akiwa kazini.
  18. E

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba ACT wazalendo wamemtendea vyema kiongozi aliyetekwa kuliko CHADEMA kwa wafuasi wao

    Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
  19. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni madude makubwa, washabiki wake wanaongozwa na imani, ni vyema kuwa makini pale tunapogusa mambo yake

    Hizi timu mambo yake na washabiki wake ni kama imani ya dini. Hata uwaambie nini, mashabiki wa timu hizi wamelewa, na wamejaa ushabiki, na hawataki uwaulize kwa kwa nini wanazipenda timu hizo, huwa hawana sababu. Ni sawa na dini. Pole Saidi Mtanda, mnyama akiwa mawindoni, kaa mbali
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini hawa Wanamuziki Wakongwe wa Miziki ya Dansi na waliofanya vyema Kipindi chao tukionyeshwa Wanaumwa wanaonekana 'Wamedhoofu' mno?

    Mwezi Mmoja uliopita huko Mitandaoni tulionyeshwa Picha Mjongeo ya Marehemu Mzee King Kikii na hali yake ya Kiafya na wenye Maono tukajua ni suala la muda tu Israeli atafanya yake na imekuwa. Muda si mrefu tena (yaani leo) kuna Picha Mjongeo nyingine inamuonyesha Mwanamuziki mahiri kipindi chake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…