vyama

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunapata picha gani Viongozi wa CHADEMA ambayo haitashiriki uchaguzi kukubalika kwa wananchi kuliko vyama ambavyo vitashiriki uchaguzi

    Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya umma. Kulinda na kutetea maslahi ya umma. CCM ,CHAUMMA na wenzao ni mafisadi na wapo kwa ajiri ya...
  2. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa vyama vya Upinzani [to be specific CHADEMA] hawaaminiKI

    Huu ni ukweli ambao ni members wachache wataweza kuusema hapa hapa JF kuhofia kutukanwa na kuchukiwa. Hawa wafuasi hawaaminiki hata kidogo. Support yao mara nyingi imeishia hapa JF na X. Ikienda mbali basi labda IG na Club house. Juzi wamemsifu Gwajima kwa ujasiri mitandaoni. Lakini sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nafasi ya Uraisi, Uelekeo wa Vyama vingi vya Upinzani nchini ni Kumuunga mkono Mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan, Unadhani ni Kwanini?

    Ni kipi hasa kimewavutia zaidi vyama vya wapinzani nchini hata kujizuia kufikiria kusimamisha wagombea urais kupitia vyama vyao vya siasa, na kutoa fursa hiyo adhimu kwa kuunga mkono azma ya Dr.Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya uraisi wa JMT katika uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini kweli hawaoni yabayoendelea nchini kwa vyama vya upinzani hasa chadema inayopitia?

    Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki anayeitwa kiongozi wa chadema kuvuka mipaka ya nchi, mahakama nayo imebana kwa kuamua kesi ya chama...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha mahakama kuifungia CHADEMA kufanya siasa wakati huu, imethibitisha wazi ulaghai uliofanywa na Nyerere na CCM katika kuruhusu vyama vingi

    WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii! Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja! Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani! Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msajili wa vyama KUFUTA usajili wa CHADEMA sababu ya kesi inayowakibili mahakamani

    JF Kuna tetesi msajili anatafuta kifungi cha kuifutia usajili CHADEMA, sababu ya kesi na maamuzi ya mahakama kusitisha shughuli zote za kisiasa za CHADEMA. CCM mnatupeleka wapi.?
  7. K

    JamiiForums Tanzania TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!

    TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!. Chadema imefungiwa hata kabla kesi yake haijasikilizwa, kanisa la gwajima limefungiwa bila yeyote kusikiliza kesi au onyo, Lissu kafungwa kama hata kesi yake haijasikilizwa, mshahidi mpaka leo wa siri na hakuna...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nyie vyama "uchwara", akina ACT et al kama CCM wanafanya fujo kama leo kwenye mkutano, Je kwenye kupiga kura? Zitahesabiwa? Utatangazwa?

    ACT et al, tazama kilichotokea watu waliotumwana system... CHADEMA TAKE NOTE; Nawaza tu, nawaza tu, nawaza tu....Kitakachofuata ni kumpiga Heche risasi wakasingizia kuwa hawajui nani alipiga risasi maana polisi hawatakuwepo kama ilivyokuwa leo! Erythrocyte Ni kuchukua tahadhali tu!
  9. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kumshtaki Msajili wa Vyama vya Siasa Kupinga Kutengua Viongozi Walioteuliwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kimewaelekeza wanasheria wa chama hicho kumshitaki Msajili wa Vyama vya Siasa wakipinga kutenguliwa kwa viongozi walioteuliwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025. Soma pia: Heche amvaa Msajili Mei 13, 2025, Msajili wa Vyama vya...
  10. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Barua kutotambua uteuzi wa viongozi wa CHADEMA kwa jina la "msajili wa vyama vya siasa" ndiye aliyeandika ya kufuta kanisa la Gwajima.!

    Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa; Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
  11. JamiiForums Tanzania Itungwe Sheria kupiga marufuku viongozi wa dini KUWA wanachama wa vyama vya siasa. Hapa ndipo kosa lilianzia.

    Kiongozi wa kidini anawaumini wa vyama vyote hivyo ili awahudumie inabidi awe nyutro. NI hayo tu. Suala la CCM kuruhusu wachungaji ( mashehe sijaona) KUWA wanachama wake na kuwapa uongozi wa kisiasa ndio limetufikisha hapa. Ni afadhali ijulikane kikatiba mtu ukiwa kiongozi wa kidini...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA kukaa Kikao cha dharura cha Kamati Kuu Juni 3 kujadili Taarifa ya Msajili wa Vyama

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu viongozi wake, wanachama, na umma kwa ujumla kuwa tarehe 3 Juni 2025, Chama kitafanya kikao cha dharura cha Kamati Kuu. Pia, Soma: CHADEMA kuijadili barua ya Msajili Juni 3.2025 Kikao hicho kitaanza saa 3:00 asubuhi na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Gwajimanization, kati ya hawa nani utampigia kura ya urais

    Hotuba ya Mh Rais jana imeleta feelings mpya among Tanzanians particularly kuhusu watu kutekwa, kuuawa, kupotezwa. Swali lilikuwa nani anawateka? ni akina nani watu wasiojulikana? Ni kama kitendawili kimeteguliwa jana! Watu fikra zinaweza kuwa zimebadilik kuhusu mustakabali wa taifa hili...
  14. E

    JamiiForums Tanzania CCM inaungwa mkono na vyama vya kikomunisti tu?

    Katika mkutano mkutano mkuu wa CCM unaoendelea jijini Dodoma, karibu vyama vyote vilivyotoa salamu hapa ni vya kikomunisti. Vyama vilivyotoa salamu ni pamoja na Russia (All-Russian Political Party United Russia), China (CPC), Communist Party of China (CPC), Korea Kaskazini Korean Workers' Party...
  15. JamiiForums Tanzania Wananchi wanawajibu wa kuhudhuria mikutano ya vyama kwa ujumla wake!

    Ipo kauli ilitolewa na bw. Lema akitaka watanzania wasiende kuhudhuria mikutano ya baadhi ya vyama, napinga kauli ya bw. Lema kwa nguvu zote, watanzania wanao wajibu wa kuhudhuria mikutano yote ya vyama kwa wingi kabisa, ili waweze kubaini ni yupi au chama gani kitawafaa kwa sababu kura ni siri...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya no reform no elections ,ni matumizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa

    Labda kama kapeni hii imefadhiliwa na EU au USA, vinginevyo ni matimizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa ambayo ni hela za walipakodi walalahoi wa kitanzania. Nasema hivyo kwa sababu the main goal ya kuzuia uchaguzi haitafanikiwa kwa sasa. Poor timing.sasa kama kapeni hii haiwezi kuletea...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali inakataza watumishi kuwa kwenye vyama vya siasa ila CCM inawafanya serikali kuwatumia watumishi kwenye siasa za CCM

    Leo tunaona msajili wa vyama kukumbatia CCm. Leo tunaona polisi kama sio mwana CCm basi maisha yako ni kenge. Leo tunaona magari ya polisi kubeba wananchi washiriki mkutano wa CCM. Leo tunaona watumishi wanaendeshwa na CCM wala sio serikali. Hivi tutafika kwa maisha haya.
  18. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Kesi ya Mbatia dhidi ya NCCR imeonesha tuna Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye ni Jaji wa ovyo kuwahi kutokea!

    Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika. Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA. Sasa hapa ni...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Chadema fungua shauri mahakamani kupinga maagizo ya msajiri wa vyama vya siasa, "inaezekana" ana maagizo ya mamlaka yake ya uteuzi, anaweza kuifuta.

    TAKE IT SERIOUSLY Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake! Hawa CCM and it affiliates siyo watu tena, ni wanyama kabisa, na kweli ataifuta (ingawa inaweza kuleta...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Heche kumtunishia misuli msajili wa vyama – analazimisha CHADEMA kufutwa?

    Vyama vya siasa nchini vinaendeshwa kwa mujibu wa sheria, na Msajili wa Vyama vya Siasa ana jukumu la kuhakikisha kuwa sheria hizo zinatekelezwa ipasavyo. Hakuna chama kilicho juu ya sheria. Lakini ni wazi kwamba baadhi ya viongozi wa juu ndani ya CHADEMA, akiwemo John Heche, wameamua kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…