vyama

  1. JamiiForums Tanzania Je, Vyombo vya Habari vioneshe wazi vyama wanavyosapoti kama Nchi zilizoendelea?

    Vyombo vya Habari vya nchi zilizoendelea kama Marekani, vimekuwa na kawaida ya kusema wazi Vyama au Itikadi ambazo wanazisapoti katika vipindi vya uchaguzi, na hali hiyo huendlea hata baada ya uchaguzi. Katika nchi zetu za Afrika vyombo vya habari haviweki wazi labda baadhi ya magazeti ambayo...
  2. JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana vyama, wapinzani mkubali CCM imebadilika na imefanya makubwa

    Waswahili wanasema mnyonge myongeni ila haki yake mpeni. Vyama vyote vya kisiasa vilianzishwa kw nia moja kubwa ni kushinda uchaguzi na kukamata dola ili kuwatumikia wananchi. kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 Ccm kilionekana kama chama ambacho kimechafuka na hii ni kwa sababu kulikuwa na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliosema wamehama vyama vyao na kujiunga na CCM kwa kuwa wananafurahishwa na Magufuli, siku Magufuli muda wake ukiisha wataenda nae Chato?

    Hakuna kitu kilichokuwa kikinishangaza - kama sio kuchefusha, kama kumsikia mwanasiasa, mwanaume au mwanamke mzima ambaye tunatumaini ana akili timamu na za kutosha, akitamka hadharani kwamba ameamua kutoka chama chake kwa kuwa eti amefurahishwa sana na Magufuli! Hivi kweli hawa wanasiasa...
  4. JamiiForums Tanzania Video: CCM yawatupa waliosaliti vyama vyao na kuikimbilia, makubaliano ya kubebwa yatupwa rasmi, kila punda kubeba mzigo wake

    Haya tuliyaona mapema na tukawaonya wasaliti wote kwamba Usaliti ni laana na inateketeza hadi kizazi cha 4 kwa bahati mbaya wakaona kununuliwa kama mafungu ya dagaa ni kuzuri, sasa yamewakuta. Hivi mbunge kama Mtolea wa Temeke atamshinda nani kwenye kura za maoni ?
  5. JamiiForums Tanzania Mnyika: Rasmu ya uchaguzi iliyotolewa na vyama kulazimishwa kusaini haifai

    Akiongea na CHADEMA TV katibu mkuu wa chadema amekosoa vikali rasmu mpya ya uchaguzi iliyotolea kwa kuwa na mapungufu mengi ambayo hutakiwi kuyahoji bali tulitakiwa kusaini tu, na usiposaini hatutaruhusiwa kushiriki uchaguzi mkuu msikilize
  6. JamiiForums Tanzania Wanaojenga hoja kuhusu Matumizi ya ruzuku kwenye vyama vya siasa wasikilizwe, ni fedha za walipa kodi lazima wajue zinavyotumika

    Nimekua nafuatilia mijadala mbalimbali inayohusu matumizi ya fedha za ruzuku kwenye vyama vya siasa. Wapo wanaosema kwamba fedha hizo ni jukumu la chama husika kupanga bajeti ya matumizi na haipaswa mtu mwingine kuhoji wala kujua matumizi yake, na lipo kundi la pili linalosema kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania ‘Fair comments’ kuhusu CCM, Vyama mbadala na Uchaguzi wa Oktoba

    Kwenye siasa za Tanzania, kuna watu wanafanya wanachofanya kwa kuwa tu wanalipwa, kuna wengine kwa sababu ya ushabiki tu, wengine changamoto ya uelewa wa mambo, na wachache kwa sababu wanaelewa wanachokifanya na wanajua umuhimu wake kwao wenyewe, jamii na hatima ya Tanzania. Kwa bahati mbaya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Unafiki: Sifa kuu ya wanasiasa ambayo utaikuta katika vyama vyote

    Ni vigumu sana kumtofautisha mwanasiasa na unafiki ndio maana mstaafu Kikwete alisema " zilongwa mbali zitendwa mbali" Unafiki ni sifa kuu ya mwanasiasa na kila anapozidi kuusaka umaarufu na kiwango chake cha unafiki huongezeka. Ukilielewa hili hutashangaa kumuona mkutubi wa maktaba ya Kanisa...
  9. JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama tusaidie: Ruzuku kazi yake kutibia Viongozi wa vyama? Mbowe rudisha milioni 400 za matibabu

    Kazi ya ruzuku Ni ipi? Kutibia Viongozi wa vyama au kuwalipia faini wakifanya uhalifu? Msajili wa vyama tusaidie.Mbowe alichukua pesa za ruzuku milioni 400 kea kile kinachoitwa kumtibia Lisu.Wateuana kikundi Cha wezi watatu Mbowe,Godbless Lema na Msigwa wakaa muda mrefu Sana Nairobi wakilipwa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wanaohama Vyama Wataendelea kuhama

    Nimekuwa nikifuatilia hamahama ya wanasiasa na kila anayehama amekuwa akitoa sababu mbalimbali. Kila mtu ana haki ya msingi ya kujiunga na chama chochote cha siasa anapovutiwa sera, katiba na Itikadi!! Ukifuatilia wanasiasa wengi Tanzania waliohama vyama mara Nyingi wamekuwa hawana hoja au...
  11. JamiiForums Tanzania Tumsadie Lijualikali na wengine kuzijua Katiba za Vyama vya Siasa

    Hii ni katiba ya CHADEMA kila anayejiunga na chama hiki nikuwa amesoma ameikubali, na unapochukua fomu ya kugombea uongozi ni lazima unakuwa uneikubali kwanza Katiba ya Chama. Sasa kelele za Lijualikali hazina maana zaidi ni propaganda za waliomrubuni asaliti chama tu na mkumbuke Lijualikali...
  12. JamiiForums Tanzania Mchakato wa kufuta mfumo wa vyama vingi unagharimu kiasi gani?

    Tanzania ukiwa mwanasiasa wa chama cha upinzani unajeuka kuwa adui wa chama tawala na dola. Wapinzani wananyanyasika, wanatekwa, wanafunguliwa kesi nzito nzito, wanafungwa jela na wengine kupoteza maisha. Ni budget ya shilingi ngapi/au ni utaratibu gani unahitajika kufuta mfumo wa vyama vingi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania za vyama vyote zimefikia hali mbaya sana ya chuki, ubabe, kukomoana, kusalitiana, kutukanana, kudharauliana na hata kuuana!

    Hali ya siasa za Tanzania ni ya kutisha sana, na vyama vyote vya siasa vina hatia, CCM kama chama tawala na vyama vya upinzani. Imefikia mahali ambapo kuna chuki, ubabe, kukomoana, kusalitiana, kutukanana, kudharauliana na hata kuuana, sio tu kati ya chama tawala na vyama vya upinzani, bali pia...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

    Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM. Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana. HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI CCM inatoa salamu za mwaka mpya 2020, niwahakikishie watanzania kuwa tutaongoza siasa safi,ni mwaka wa kuheshimu maoni na uamuzi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Pepo la kuasi liko ndani ya vyama vyote vya siasa siyo upinzani pekee

    MEZA YA BUSARA WAPO RADIO ipo hewani muda huu ni vizuri kuiskiliza, leo imekuja na hoja kuwa Upinzani ni uasi. Huku ni kipindi maalum kilichozinduliwa na Polepole wiki iliyopita mahsusi kwa kampeni za uchaguzi kwa CCM.
  16. JamiiForums Tanzania Niwaombe wabunge na madiwani mnaohama vyama katikati ya safari fanyeni hivyo baada ya vipindi vyenu vya miaka mitano kuisha, mnaumiza wananchi sana

    Kifupi kwa kuhama katikati ya ubunge wenu au udiwani mnawaumiza sana wananchi nadhani muwe mnasubiri kwanza kipindi cha uwakilishi kwa vyama vyenu mlicho pewa na wananchi kikisha pita ndio muhame au mstaafu Mnaumiza sana wananchi wenu muwe na huruma ya ndani ya nafsi zenu , ni kwa sababu tu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ngome ya upinzani itaendelea kubaki Kaskazini watakaobadilika ni viongozi na vyama tu, alianza Mrema, Mbowe na sasa Mbatia

    Katika hili ni lazima niwapongeze wanakaskazini kwa sababu wanajitambua tofauti na wanakusini. Wengi waliamini baada ya Chadema kuishiwa " mipango " basi ACT wazalendo watakuwa chama kikuu cha upinzani, hata mimi awali niliamini hivyo kumbe siyo. Ngome ya upinzani ni Kaskazini ndio maana...
  18. J

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi haina ushawishi kwa kizazi kipya, bado naamini CCM na CHADEMA vitaendelea kuwa vyama pendwa hapa nchini.

    Niwe tu mkweli kwamba naifahamu NCCR mageuzi tokea ikiwa katika harakati za kupigania mfumo wa vyama vingi. Kiukweli Nccr kimsingi siyo chama cha siasa bali ni taasisi ya harakati zilizojikita kwenye siasa ndio maana " Wanasiasa" huwa hawajiungi nacho na ikitokea mwanasiasa kaingia huko basi...
  19. JamiiForums Tanzania Vyama vizee Afrika vinakufa na vingine vimeshakufa. Je, kuendelea kuving'ang'ania ni kupingana na asili au ujinga wa ving'ang'anizi?

    Waswahili husema hakuna marefu yasiyo na ncha. Pia hakuna kitu kitadumu milele duniani. Siasa Siasa za ulaya na merikani zinatoa nafasi sawa ya haki kushundana bila mpinzani kupata kashkashi yoyote ile mfano marekani democrats na republic ni vyama kongwe sana huwezi kusikia mmoja akishika dola...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Siasa kwenye Corona ni matokeo ya zuio la mikutano ya vyama vya siasa, wanasiasa wana " kiu" ya kuongea chochote wajulikane uwepo wao!

    Kuna baadhi ya vyama vya siasa vinatumia janga hili la Corona kutukumbusha kuwa na wao wapo baada ya kuwa wamesahaulika kwa miaka 5. Kwa sasa Corona inazungumzwa zaidi na wanasiasa kuliko wataalamu hali inayofanya hata mapokeo yake kwa baadhi ya watu kuwa na mrengo wa kisiasa. Hii haina afya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…